DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA) imesema imetandaza maafisa wake kila sehemu kuhakikisha wanafatilia kwa karibu mchakato wa watia nia ya kugombea nafasi za uongozi kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025
Akizungumza na wasafi media Mkurugenzi Mkuu wa ZAECA Ali Abdalla Ali amesema mamlaka hiyo inaendelea kufatilia kwa karibu mchakato wote wa uchukuaji wa fomu ambao umeanza jana kwa Chama cha Mapinduzi CCM na vyama vyengine vya sisasa na kuwaonya watia nia hao kutojihusisha na matendo hayo na endapo watabaini kuwepo kwa utoaji wa Rushwa hawatasita kuwachukulia hatua kwa mujibu wa sheria namba 5 ya mwaka 2023.