wagombea wa ccm?

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Kuna haja kuwa na vyama vyenye wagombea wanaowaunga mkono wagombea wa CCM?

    Nimeona video ya mgombea urais Zanzibar kupitia AAFP, Said Soud Said akifurahia kukabidhiwa gari na Tume ya Uchaguzi Zanzibar. Kasahau kama nae ni mgombea Urais kaanza kumnadi mgombea urais kupitia CCM. Kwa maoni yangu naona hii si aina ya ushindani ambao tunahitaji kwenye uchaguzi, ni ujinga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…