GE2025 Kuna haja kuwa na vyama vyenye wagombea wanaowaunga mkono wagombea wa CCM?

GE2025 Kuna haja kuwa na vyama vyenye wagombea wanaowaunga mkono wagombea wa CCM?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Nimeona video ya mgombea urais Zanzibar kupitia AAFP, Said Soud Said akifurahia kukabidhiwa gari na Tume ya Uchaguzi Zanzibar. Kasahau kama nae ni mgombea Urais kaanza kumnadi mgombea urais kupitia CCM.

Kwa maoni yangu naona hii si aina ya ushindani ambao tunahitaji kwenye uchaguzi, ni ujinga wa hali ya juu kuendelea kuhudumia vyama vyenye wagombea wa aina hii kwa pesa za walipa kodi.

Sasa naelewe kwanini CHADEMA wamegoma kushiriki uchaguzi, wagombea kama hao wanatia hasira na mamlaka zinawaangalia. Hapo ilibidi gari lichukuliwe, sasa anakwenda kulifanyia nini ikiwa kaonesha dhahiri kumuunga mkono Mwinyi na Samia

Soma
 
Back
Top Bottom