Usafiri wa mwendokasi umekuwa ni usafiri uliojaa changamoto kwa muda mrefu. Pamoja na changamoto zake umebaki kuwa usafiri wa haraka na tegemeo kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam.
Kwa sasa kuna uhaba mkubwa wa mabasi kiasi kwamba unaweza kukaa kituoni mpaka masaa mawili unasubiri usafiri hivyo...
WAGONJWA 6,847 WATIBIWA HOSPITALI YA WILAYA HANDENI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema wagonjwa wapatao 6,846 wamepata huduma za Afya Katika Hospitali ya Wilaya ya Handeni tangu ilipokamilika na kuanza kutoa huduma.
Waziri...
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, amesema kuwa hospitali zote za umma na binafsi zinapaswa kuwahudumia wajawazito na wagonjwa wa dharura bila masharti ya malipo ya awali.
Ametoa kauli hiyo bungeni Ijumaa, Januari 31, 2025, akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu, Anatropia Theonest...
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe.Daniel Chongolo, amepongeza maendeleo ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Momba iliyopo katika Kata ya Chitete, akibainisha kuwa licha ya kasoro ndogo zilizojitokeza, majengo yaliyojengwa ni mazuri na yanaonesha matumizi mazuri ya rasilimali. Alisema hayo wakati wa...
Ndugu wa wagonjwa wenye wagonjwa wanaopatiwa huduma za matibabu katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wameshauriwa wanapowatembelea wagonjwa wao kuwapelekea vyakula vyenye kuongeza damu kutokana na mahitaji makubwa ya damu ili kukabiliana na upungufu wa damu mwilini...
Nimeweka huu Uzi ili watu wanaoishi na ugonjwa kisukari kuelezana na kusaidia mawazo na uzoefu na changamoto za ugonjwa na kuelezana namna kukabiliana nazo karibuni
Katika jamii ya kisasa, ambapo maendeleo ya sayansi na teknolojia yanazidi kuimarika, kuna wachungaji na viongozi wa dini ambao wanadai uwezo wa kufanya miujiza, ikiwa ni pamoja na kuponya magonjwa makubwa na matatizo mengine ya kiafya.
Wachungaji hawa mara nyingi hutumia majina ya Mungu au...
Nawasalimu waungana wote
Kuna Jambo nilikuwa nataka tujadili kidogo, nimeshalishuhudia zaidi ya mara 5 katika maeneo na mikoa tofauti.
Unakuta Vijana mtaani wote wanajua kuwa demu Fulani na Fulani Wana HIV positive na ukiwauliza Wana kumbia taarifa zote tumezipata kwa dokta Fulani, yaani kila...
Mimi ni Mwananchi ambaye nimekuwa nikipata huduma katika Hospitali ya Wilaya ya Magharibi, Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja (Hospitali ya Ijitimai) kuna kero ambayo imekuwa ikinisumbua muda mrefu na ninaamini inasumbua watu wengi pia.
Nimekuwa nikifika kituoni hapo kupata huduma ya Ugonjwa wa...
Wasalaam.
Tunapouanza mwaka mpya wa 2025,ninafahamu kuwa Kuna watu wengi wanaendelea kupambania afya zao,wengine wako mahospitali,wengine kwa waganga wa kienyeji na wengine walishakata tamaa wako majumbani kusubiri hatma ya siku za kutwaliwa kwao. Kama ndugu zangu wa hapa duniani,ninawatia moyo...
Wana JF kuna Kero moja ambayo imekuwa ikitutafuna sisi wakazi wa Kijiji cha Mshikamano, Kata ya Rusumo ambayo ni wahudumu wa Kituo cha Afya cha Rusumo kilichopo Wilayani Ngara mkoani Kagera.
Hiki kituo kilijengwa mahususi kwaajili ya kurahisisha huduma za afya kwa wakazi wa kijiji hicho na...
Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila imemkamata Bw. Steven K. Julius kwa tuhuma za wizi wa mali za wa wagonjwa ikiwemo simu za wagonjwa waliolazwa hospitalini hapo kwa kujifanya ni mwajiriwa wa Muhimbili Mloganzila kwa cheo cha Afisa Muuguzi.
Baada ya mahojiano Bw. Julius amekiri kuiba simu...
Ili kukabiliana na gharama kubwa ya huduma ya dialisisi kwa wagonjwa wa figo, Serikali imeingiza nchini mashine mpya aina ya SWS 6000 ambazo zimewezesha zishuke kutoka Sh250,000 mpaka Sh150,000.
Mashine hizo moja ina thamani ya Sh31.76 milioni ambazo tayari zimefungwa katika hospitali za rufaa...
Nimekuwa nikifuatilia kwa makini jinsi desturi ya kuchangia na kufanya sherehe kubwa, hususan harusi, inavyozidi kushika kasi hapa nchini. Kinachoshangaza zaidi ni kwamba ule wigo wa kuomba michango sasa umepanuka kiasi cha kutisha. Leo hii, mtu ambaye jina lako halijui vizuri anaweza kukuomba...
Wagonjwa wa Kipindupindu Wafikia 22 Mbeya: Mamalishe na Vilabu vya Pombe Hatarini
Katika mji wa Mbeya, Tanzania, hali ya afya imekuwa ya wasiwasi kufuatia ripoti za wagonjwa 22 walioathirika na kipindupindu. Ugonjwa huu, unaosababishwa na bakteria wa Vibrio cholerae, unenea kwa urahisi kupitia...
JamiiCheck imefuatilia hotuba iliyotolewa na Stephen Wasira akiwa kwenye mkutano wa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa mkoani Mwanza tarehe 26-11-2024 ambapo mbali na mambo mengine alisema kuwa Serikali katika awamu hii sita ilinunua magari ya wagonjwa 528, lakini pia CHADEMA ilijipanga...
Nimefika Hospitali ya Mnazi Mmoja Ilala Jijini Dar esa salaam.
Baadhi ya wagonjwa wanalalamikia ucheleweshaji wa huduma mbalimbali zitolewazo hospitalini hapo.
Tusikilize baadhi ya wagonjwa akiwemo mama huyu mgonjwa ambaye amefika hospitalini hapo kwa ajili ya kupata huduma toka asubuhi ya saa...
Mnamo tarehe 18 Novemba 2024 nilienda hospitali ya rufaa ya Mloganzila kumtazama shemeji yangu aliyelazwa pale na kichanga wake aliyejifungua kwa oparesheni. Nilipofika getini nilielekezwa na walinzi sehemu ya kusubiria muda wa kuingia kuona wagonjwa. Nikiwa eneo hilo nilipata kusikia mawili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.