63% (watu 61,631) ya raia 97,625 wa ushelisheli wameshapata dozi mbili (Fully vaccinated) ya chanjo ya covid-19, lakini hali ya maambukizi imekuwa mbaya sana kiasi kwamba serikali imeamua kufunga, shule, kuweka lock downs na masharti mengine makali ya kujikinga na corona.
Zaidi soma hapa...
Kila kona wanasikika Bavicha tu mara wamepeleka tende kwa wale Uamsho kwa ajili ya sikukuu mara wanasindikiza malori ya TBL yanayopeleka bia wilayani Hai, lakini wenzao wa UVCCM hawasikiki kabisa sikukuu hii.
Ni kawaida ya UVCCM kutembelea wagonjwa na watoto yatima wakati wa Eid El Fitr na...
Utafiti uliofanywa na Watafiti kutoka Ottawa umebaini kulazwa Chumba cha Uangalizi Maalum (ICU) huongeza hatari ya Mtu kutaka kujiua au kujidhuru baadaye.
Imeelezwa, kitendo hicho kinaweza kuwaathiri Wagonjwa kwani kukaa Hospitali wiki au miezi kadhaa kisha kupitia kupindi cha uponaji ili mwili...
Watu 82 wamefariki wengine zaidi ya 100 wamejeruhiwa baada ya mitungi ya oksijeni kulipuka katika hospitali ya Ibn Khatibu ambay ina wagnjwa wa COVID19, Jumamosi Usiku.
Waziri Mkuu wa Iraq, Mustafa al-Kadhimi amemsimamisha kazi Waziri wa Afya ili kupisha uchunguzi wa tukio hilo.
===
At least...
Mh. Lusinde amesema Ikulu sio wodi ya wagonjwa na kumnanga dk Slaa.
Awali ilielezwa ña mbunge mmoja kuwa zikianzishwa mbio kati ya Kinana,Maalim Seif na Slaa basi padri ataishia hospitalini kwa afya mgogoro. Spika nae akachagiza kuomba VIP marathon ili watu wasiofiti kiafya wajulikane.
Chanzo...
Serikali imelenga kuziwezesha Hospitali zote za Rufaa za Mikoa (26) nchini ili kuweza kuanzisha huduma za matibabu ya ugonjwa sugu wa figo ikiwemo usafishaji damu ifikapo mwaka 2025.
Hayo yamebainishwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima...
Mbunge wa Same Magharibi Mh David Mathayo amekabidhi magari ya wagonjwa kwa kila kata katika jimbo lake.
Mathayo amesema magari hayo imara sana ameyanunua yeye mwenyewe ili kuwasaidia wapiga kura wake na hasa akina mama ukizingatia Same ni eneo lenye milima.
Chanzo: Upendo TV
Maendeleo hayana...
RC Mbeya, Albert Chalamila akiwa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Konde kwenye Uzinduzi wa Ofisi Kuu ya Dayosisi na Kanisa Kuu amenena haya kuhusu hospitali mkoani humo kujaa wagonjwa
“Wapo Watu wanatishia Watu wanasema Mahospitalini huko kumejaa sana wagonjwa, Serikali ijenge Vituo vya Afya kwa...
Ambassador to Tanzania. I want to talk to you about COVID-19, and how we can work together to prevent its spread and help all of us stay safe.
Since the start of the Covid-19 pandemic, almost two and a half million people have died of the disease. The loss is staggering, and no country has...
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Prof. Mabula Mchembe amewaasa Wananchi kuacha kuzusha maneno ya kuwa hospitali zimejaa na kusababisha wagonjwa kutofika ili kupatiwa matibabu
Profesa Mabula amesema hayo leo FebruarI 12, 2021 mkoani Arusha.
Naomba kueleza matatizo tunayoyapata sisi tuliopeleka wagonjwa wetu muhimbili kutibiwa. Ni shida tena mateso kuja kumuona mgonjwa wako wodini walinzi na wahusika wamefanya dili kutengeneza pesa ukitaka kumuona mgonjwa wako utaruhusiwa ila utatoa chochote na wengine hawaruhusiwi kabisa, watakaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.