Watu wawili wamepoteza maisha na askari mmoja kujeruhiwa vibaya kutokana na shambulio la risasi kutoka kwa mtu ambaye alipora bunduki kutoka kwa askari polisi Jijini Cape Town Nchini Afrika Kusini.
Polisi wamesema aliyefanya matukio hayo ni mwanaume mwenye umri wa miaka 40 ambaye alifyatua...
Wizara ya Afya imetoa ripoti inayoonesha kuna ongezeko la wagonjwa wa UVIKO-19, wagonjwa 8 katika wiki ya tatu ya mwezi Aprili, 2022 hadi kufikia wagonjwa 32 katika wiki ya nne ya mwezi huo, huku Mkoa wa Dar es Salaam ukiongoza kuwa na visa vya watu 70 waliothibitika kuwa na ugonjwa huo.
Katika...
Welcome back hero. Uliipigania nchi yako, ulisimama kizalendo kudeal na wauza madawa ya kulevya, waiba magari ya watanzania na kuyapeleka kwa jirani, wahujumu uchumi na wakwepa kodi. Uliipigania nchi yako ili mapato ya serikali yako yaongezeke Taifa lako litekeleze miradi yake kwa fedha za...
Kenya imetangaza mlipuko wa homa ya manjano baada ya watu watatu kufariki dunia na kubainika wengine 15 wanashukiwa kuambukizwa katika kaunti ya Isiolo, Kaskazini mwa nchi hiyo.
Wizara ya Afya inasema imetuma jopo la wataalamu wa kushughulikia suala hilo kwa haraka. Wizara ilisema pia kuwa...
AJALI za bodaboda zinachangia ugonjwa wa kifafa kwa waathirika wa ajali hizo kutokana na majeraha kwenye kichwa ambayo yanaathiri ubongo, imeelezwa.
Hayo yamebainishwa na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Mfumo wa Fahamu na Ubongo kwa watoto, Dk Edward Kija wakati akizungumza katika kipindi cha...
Picha: Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi
Serikali ya Zanzibar imeeleza kuwa hivi sasa hakuna mgonjwa hata mmoja wa Ugonjwa wa Uviko19 (Covid-19) japokuwa hawawezi kuweka wazi kama ugonjwa huo umeisha moja kwa moja visiwani hapo.
Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ameyazungumza hayo...
Nilishawahi kusema, nanitazidi kusema kuwa ngozi nyeusi ina laana, ukishazaliwa mweusi basi huna tofauti na waliomwasi Mungu. Maana yangu ni hii hapa achane kupaniki Nina hoja zangu kubwa za msingi.
MC Pilipili huwa anajitolea kuwafata wagonjwa kwenye mikoa ya mbali kwa gharama zake mwenyewe...
Taarifa za mwaka 2021 kutoka kanzi data ya wagonjwa iliopo Taasisi ya Saratani ya Ocean Road inaonesha kuwa Saratani zinazoathiri wanaume zaidi ni:
Saratani ya tezi dume“Prostate cancer” (21%), Saratani ya Koo (Esophageal Cancer) (11.8%),Saratani ya utumbo mkubwa na mdogo (9%) na Saratani ya...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto- Idara ya Afya, Prof. Abel Makubi akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wadau idara ya Afya wakiwemo wakurugenzi kutoka Wizara ya Afya, wawakilishi kutoka balozi mbalimbali, Madaktari bigwa katika Kongamano la...
Taratibu sasa GENTAMYCINE naanza Kuelewa ni kwanini Watanzania na Taifa letu la Tanzania tunadharaulika sana kama siyo mno na Mataifa mengine ( hasa hasa ya Jirani ukiiondoa tu Burundi inayojipendekeza Kutwa kwa Tanzania utadhani imeolewa na Tanzania ) yenye Raia makini, Werevu na wenye kujua...
Imekuwa mazoea sasa ambapo watu wanaopata huduma ya Dialysis pale Bugando kushindwa kufanyiwa huduma kwa kuambiwa kuwa vifaa havipo au havijafika.
Wagonjwa wa Dialysis idadi yao inajulikana na forecast inafanywa kwa kujua mahitaji lakini inafikia sehemu wagonjwa mpaka wanalala kwenye chumba cha...
Habari zinazozunguka mtandaoni kwa sasa zinasema kuwa klabu ya Yanga na Azam zina wagonjwa wa mafua makali na homa ambapo zinaweza kupelekea wachezaji hao kukosa mechi za ligi kuu zinazowakabili.
Kocha wa Yanga,Nasreddine Nabi amesema kuwa kuna wachezaji wagonjwa klabuni hapo kuelekea mchezo...
Rais Cyril Ramaphosa anasema Hospitali Nchini humo zinaandaliwa kulaza wagonjwa zaidi hospitalini, wakati Kirusi cha Omicron kikiendelea kuenea na kupelekea Wimbi la Nne
Rais Ramaphosa anasema idadi ya maambukizi ya siku imeongezeka mara tano zaidi ya wiki iliyopita. Amewataka Wananchi kupata...
Je, hupaswi kupata chanjo ya COVID-19 ikiwa kwa sasa unapokea matibabu ya saratani?
Jibu: Baada ya kukagua kwa uangalifu chanjo hizi, wataalam wa matibabu wa MD Anderson katika Chuo Kikuu cha Texas wameamua kuwa chanjo za COVID-19 ni salama na zinapendekezwa kwa wagonjwa wa saratani.
Wataalam...
Taarifa ya mwendelezo wa mwenendo wa #COVID19 iliyotolewa na Wizara ya Afya inaonesha kuwa kwa wiki ya kuanzia Oktoba 16 - Oktoba 22, 2021 hakuna kifo kilichoripotiwa nchini
Taarifa hiyo inaonesha kuwa mikoa 10 kati ya 26 imerekodi jumla ya wagonjwa 39 huku mkoa wa Dar ukiwa na wagonjwa wapya...
BASHE AKABIDHI ZAHANATI, GARI YA KISASA YA WAGONJWA NA PIKIPIKI KATIKA KIJIJI CHA IDUDUMO
Nzega Mjini, TABORA.
Mbunge wa jimbo la Nzega Mjini na Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe amefanikiwa kukabidhi zahanati, Gari ya kisasa ya wagonjwa (ambulance) pamoja na usafiri aina ya pikipiki...
Mara nyingi nimeona mabandiko humu jukwaani la ajira ya kumhudumia mgonjwa au mzee majumbani. Huku mtaani hitaji hili linaongezeka. Magojwa kama kiharusi huwapata watu wengi na kuna wanao athirika na kuhitaji msaada wa karibu katika kuendesha maisha yao ya kila siku.
Kutokana na uhaba wa...
Katika kijiji cha Kitewele Wilaya ya Ludewa Mkoa wa Njombe hali sio hali, kwani hakuna huduma ya za afya karibu, Wananchi wanalazimika kutembea zaidi ya km 30 kufuata huduma katika kituo cha afya.
Pamoja na kukosekana huduma ya kitutua cha afya barabara katika kijiji hicho hazipitiki iwe kwa...
Wakazi wa kijiji cha Kitewele chenye jamii za wafugaji,wavuvi na wakulima wilayani Ludewa mkoani Njombe wanadai kulazimika kusafirisha wagonjwa kwa machela za miti na mhanzi zaidi ya km 32 kunusuru maisha ya ndugu zao kutokana na barabara ambayo vyombo vya moto haviwezi kupita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.