Waungwana habari ya leo....?
Bila shaka wengi wetu tu wazima na Mungu katupatia neema ya kuiona siku ya leo na walio wagonjwa Mungu aendelee kuwapigania.
Nakuja kwenu kuomba msaada wa kujua ni wapi naweza kupata hizi bidhaa/ product (diapers and sanitary pads) kwa makampuni mbali mbali kama...
Naomba niwasalimie kwa jina Yesu aliye hai.
Naomba kushare na nyie naamini itawasaidia Watanzania wenzangu.
Mimi ni moja wapo wa watumishi wa afya na nimekuwa nikuwahudumia watu mbali mbali pamoja na wenye matatizo ya upumuaji, ninachofurahia na kupendeza zaidi sina ubaguzi katika kumsaidia...
MGONJWA aliyekuwa akiwahishwa katika Hospitali ya Wilaya Same, Ester Paresetwi (35) na gari likapinduka na kuua muuguzi na dereva amepona mara tu baada ya ajali.
Katika ajali hiyo ya gari la wagonjwa, muuguzi wa zahanati ya Kisiwani wilayani humo, Joshua Jacob (29) na dereva, Jumanne Makumbe...
Hatua za haraka zichukuliwe na viongozi na mamlaka zinazohusika na afya. Kuna idadi kubwa ya watu wenye mafua makali na vikohozi vikali. Wengine wakidai kusikia maumivu maeneo ya koo.
Hiyo hali mimi nilikutana nayo. Kichwa kuuma, maumivu kwenye koo ukimeza mate au chakula, mafua makali na...
Kituo kituo kikubwa kabisa kinachoshughulika na magonjwa ya kuambukiza cha marekani (CDC) kimelazimika kutoa matokeo yanayoonesha kuwa chanjo haimkingi kabisa aliyechanjwa kuambukizwa corona!! ROBO TATU ya maambukizi mapya yanawapata waliochanjwa chanjo ya corona. Asilimia 80 ya wanaoelemewa na...
Wakati wakazi wa Dodoma nchini Tanzania wakitakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Uviko-19, uongozi wa mkoa huo umesema hospitali zake hazijazidiwa na idadi ya wagonjwa.
Aidha, Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma imeanza kufua hewa ya oksijeni ambapo kwa siku wana uwezo wa kuzalisha...
Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini ya KCMC imezidiwa na idadi ya wagonjwa wanaohitaji hewa ya Oksijeni ukilinganisha na mitungi 400 inayozalishwa kwa siku huku mgonjwa mmoja akitumia mitungi 8 hadi 10 kwa siku.Hayo yamesemwa leo Ijumaa Julai 23 na Mkurugenzi Mtendaji Hospitali hiyo...
Mkurugenzi Mtendaji wa KCMC, Profesa Gilleard Masenga amesema mgonjwa mmoja wa #COVID19 anatumia hadi mitungi 10 kwa siku.
Hospitali ya Rufaa ya KCMC inzalisha mitungi 400 na idadi ya wagonjwa inazidi kuongezeka hali inayofanya hospitali kuzidiwa.
----
Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini...
Wagonjwa wa COVID19 wamezidi kuongezeka huku wengi wakiishia kutibiwa majumbani kutokana na hospitali kukosa wafanyakazi na vifaa tiba.
Wananchi wameonekana kwa misururu ya foleni wakiwa wananunua gesi ya oksijeni ili kuwanusuru ndugu zao wanaowatibia nyumbani.
Wanaharakati wamelaumu jeshi...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka watanzania waendelee kuchukua hatua dhidi ya COVID-19.
Amesema hadi sasa kuna wagonjwa wachache ambao wanatakiwa kuendelewa kuombewa ili kupona.
Amesema hayo katika baraza la eid el-adha baada ya swala ya Eid iliyofanyika Msikiti wa Mtoro, Dar es Salaam.
Serikali ya Rwanda imetangaza marufuku ya kutoka nje ya muda wa siku 10 katika mji mkuu wa Kigali na wilaya nane baada ya ripoti za vifo na wagonjwa wa corona kuongezeka.
Watu wametakiwa kutotoka nje ya nyumba zao kuanzia Jumamosi tarehe 17 mpaka tarehe 26 Julai, ili kuzuia maambukizi ya virusi...
Waziri wa Afya nchini Tanzania Dk Dorothy Gwajima, amesema mkoa wa Dodoma hadi sasa una wagonjwa 26 wa COVID-19 na kati ya hao wagonjwa 22 wanapumulia gesi.
Dk. Gwajima amewataka Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya wimbi la tatu la ugonjwa wa COVID 19.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dk, Philemon Sengati, kulia akizungumza na wagonjwa wa Corona alipowatembelea katika Hospitali ya Rufaa mkoani humo, ambapo alikuta hakuna idadi ya wagonjwa wengi kama ilivyoenezwa kwenye mitandao ya kijamii.
Na Marco Maduhu, Shinyanga.
SERIKALI mkoani Shinyanga...
Nimekutana na video ya Freeman Mbowe mitandaoni akitangaza msiba wa kaka yake Charles Mbowe kuwa amefariki kwa ugonjwa wa Corona!
Swali Mbowe amekuwa nani wa kutangaza magonjwa ya Corona?
Agizo lilipo mpaka sasa ni kwamba ugonjwa wa Corona utaongelewa na kutangazwa na
1. Waziri mkuu
2. Rais...
Hospitali katika Kisiwa cha Java Nchini humo zinakabiliwa na uhaba wa Oksijeni, Dawa, Vitanda na Wafanyakazi wakati huu ambapo ongezeko la maambukizi ya COVID19 limepelekea Sekta ya Afya kulemewa.
Imeripotiwa kuwa, Hospitali kadhaa zimelazimika kufunga huduma za dharura kutokana na kukosa...
WAUGUZI wawili wa Kituo cha Afya cha Bwanga wilayani Chato mkoa wa Geita, wamehamishwa, kwa kutuhumiwa kuomba Sh. 90,000 kwa wagonjwa waliokuwa wamelazwa.
Wanadaiwa kuomba fedha hizo kwa wagonjwa ili kuitumia kama nauli kwenda kufuata damu katika vituo vingine vya afya kutokana na kituo...
Rais Samia ameshauri uwepo mpango mzuri ili kutozuia maiti kwenda kuzikwa.
Ameenda mbali na kushauri kwamba wagojwa walipe gharama wakati wa matibabu ili kupunguza mzigo akifariki.
Naomba nimshauri Rais wetu:
1. Wagonjwa watibiwe tu ili wapone. Ukiaamrishwa walipe wakati wakitibiwa kutawafanya...
😀😀😀😀😀 niko hapa sebuleni kwangu naangalia Tv nimefurahi sana Rais Samia alivyosita kuingia wodini baada ya kuambiwa ni maalum kwa ajili ya wagonjwa wenye matatizo ya kupumua hospitali ya Mwananyamala.
Utafiti uliochapishwa na The Lancet umeeleza kuwa, Wagonjwa mahututi wa COVID19 wapo hatarini zaidi kupoteza maisha barani Afrika kuliko sehemu nyingine yoyote duniani.
Kwa mujibu wa Utafiti huo, hali hiyo ni kutokana na Hospitali kukumbwa na uhaba wa vifaa muhimu ambavyo vinasaidia kuokoa...
Janga la ugonjwa wa Corona au COVID-19 limeongeza mara nne mahitaji ya kila siku ya hewa ya oksijeni kwa wagonjwa katika nchi za kipato cha chini na kati, amesema Philippe Duneton, Mkurugenzi wa UNITAID, ambalo ni shirika tanzu la shirika la Umoja wa Mataifa la afya ulimwenguni, WHO likiwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.