Wagonjwa walionufaika na matibabu ya upasuaji wa nyonga na magoti yaliyotolewa na jopo la madaktari wa mifupa na nyonga kutoka Los Angles, Marekani Agosti mwaka huu kupitia mpango wa 'Samia Love', wamerejesha tabasamu baada ya hali zao kuimarika.
Wagonjwa 45 waliofanyiwa upasuaji huo wameanza...