wahamiaji haramu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Watanzania 36 waliozamia Afrika Kusini wahukumiwa kwa kuondoka nchini kinyume cha sheria

    Wakuu, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu Watanzania 36 kulipa faini ya shilingi 30,000 kila mmoja au kutumikia kifungo cha miezi mitatu jela kwa kosa la kuondoka nchini Tanzania kinyume cha sheria na kuingia Afrika Kusini bila vibali halali. Hukumu hiyo imetolewa Jumanne, Machi 11...
  2. Rozela

    Nina mashaka na uraia wa ndugu Wallace Karia

    Vyombo vya ulinzi na usalama especially Uhamiaji, lichunguzeni hili. === MAJIBU YA IDARA YA UHAMIAJI KUHUSU URAIA WA WALLACE KARIA
  3. Roving Journalist

    Bashungwa atoa angalizo kwa Maafisa wa Uhamiaji wanaoingiza Wahamiaji Haramu Nchini

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amewataka Maafisa na Askari wa Idara ya Uhamiaji kutekeleza majukumu yao kwa uzalendo, uadilifu na kujiepusha na vitendo vya rushwa ambavyo vinaweza kupelekea uingiaji wa wahamiaji haramu nchini. Bashungwa ameeleza hayo, leo Machi 04, 2025...
  4. Roving Journalist

    Pre GE2025 Balozi Omar Ramadhan Mapuri: Nilikuwa sijui kama Morogoro pia kuna tatizo la Wahamiaji Haramu

    Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Balozi Omar Ramadhan Mapuri, tarehe 23 Februari, 2025 amefanya ziara ya kutembelea washiriki wa mafunzo ya watendaji wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika ngazi ya jimbo katika Halmashauri ya wilaya ya Gairo. Mafunzo hayo ya siku mbili...
  5. T

    Papa Francis aambiwa asiingilie maamuzi ya Rais Trump kuhusu wahamiaji haramu, ajikite kwenye shughuli za kikanisa

    Baada ya ombi la kiongozi mkuu wa kanisa katoliki duniani Papa Francis kwa serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani kulegeza sera yake dhidi ya wahamiaji haramu kwamba utekelezwaji wake unawakandamiza wahamiaji haramu waliokimbia umasikini na machafuko kwenye mataifa yao, mshauri wa masuala ya...
  6. chiembe

    Kwa yanayotokea Goma, ni dhahiri vyombo vya dola vinatakiwa kuwa makini zaidi kudhibiti wahamiaji haramu mipakani

    Ni dhahiri kwamba maeneo ya mipakani yanahitaji strict observation ya vyombo vya dola. Kinachotokea Goma, pamoja na mambo mengine, ni laxity katika udhibiti wa maeneo ya mipakani. Sawa, kuna wa jamii ambazo zinapatikana pande zote za nchi, wale wa kwetu tuwatambue na kuwasajili baada ya kupata...
  7. J

    Watanzania 24 wanashikiliwa na Mamlaka ya Uhamiaji Marekani

    Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani umesema Serikali ina taarifa rasmi ya watu 24 wanaoaminika kuwa Watanzania wanaoshikiliwa na Mamlaka ya Uhamiaji na Forodha ya Marekani (ICE) kwa kuishi nchini humo kinyume cha sheria. “ICE imetuarifu kwamba, watu wanne kati ya hao wameshakamilisha taratibu...
  8. M

    Trump ni Magufuli mweupe, anachokisema anakitekeleza haraka, wiki 1 tu kafukuza wahamiaji haramu na Kafuta USAID. Rais Samia pata somo

    Kasi ya Trump kwenye kutekeleza maamuzi magumu ni kubwa sana, natamani Rais wetu Samia na yeye awe na hii kasi. Hata Tanzania kuna taasisi kibao zinafilisi serikali hakuna cha maana zinazofanywa zinapaswa kufutwa fasta fasta TRUMP anatoa THANK YOU haraka kuliko thank you za Simba na Yanga.
  9. Nyani Ngabu

    Wanaandamana kupinga kuondolewa kwa wahamiaji haramu Marekani huku wakipeperusha bendera za Mexico, Honduras, na nchi zinginezo

    Huu ni ujinga. Ni upumbavu wa hali ya juu. Hawa ni waandamanaji wanaopinga sera za Rais wa sasa wa Marekani za kukabiliana na suala na uhamiaji haramu. Wengi wa hawa waandamanaji ni Walatino. Hapa ni katika moja ya viunga vya mji wa Atlanta, GA. Wanaadamana kupigania istihaki [privilege] ya...
  10. Z

    Kama Marekani inadhibiti suala la wahamiaji haramu nasi yatupasa kuchukua hatua

    Kila mmoja wetu anashuhudia kinacho endelea Marekani Chini Ya Truph kuhusu kudhibiti suala la wahamiaji haramu. Naunga Mkono zoezi hilo kwa maslahi ya usalama wa nchi. Sisi pia Tanzania kupitia Jeshi letu la Uhamiaji wanapaswa waongeze bidii na umakini kwenye mipaka yetu ili kudhibiti wimbi...
  11. Mindyou

    Luhaga Mpina: Kuna watendaji wa Serikali katika ngazi za maamuzi ambao sio raia wa Tanzania

    Wakuu. Kwa namna ambavyo Mpina ameendelea kuwa mwiba mkali kwa serikali ya CCM, nashauri angekuwa na tiketi ya ndege na passport kabisa. ========================================================= Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina akizungumza hivi karibuni na vyombo vya habari na wanahabari hivi...
  12. A

    Ushauri: Serikali ipitishe operesheni mpya ya kuwatambua na kuwarudisha kwao wahamiaji haramu wote kutoka nchi jirani

    Baada ya ile operesheni ya Mhe. Jakaya Kikwete katika hawamu ya nne na kwa kuzingatia ule ushauri uliotolewa na mkuu wa majeshi CDF ,serikali inahitaji kuchukua hatua za haraka sana iwezekanavyo. Kwa sasa nchi nyingi duniani zinakumbwa na machafuko na ghasia kutokana na wahamiaji haramu. Mara...
  13. Heparin

    Hadi kufikia Novemba 24, 2024, Idadi ya watu waliopaswa kuondoka Marekani ni 1,445,549, wamo watanzania 301

    Rais wa 47 wa Marekani, Donald Trump, ameendelea kuonesha msimamo mkali kuhusu suala la wahamiaji. Katika sera zake, amesisitiza kuimarisha usalama wa mipaka, ikiwemo ujenzi wa ukuta mpakani na Mexico, pamoja na kuimarisha sheria za uhamiaji ili kupunguza wahamiaji wasio na vibali halali. Trump...
  14. The Assassin

    Trump atishia vikwazo, Colombia yasalimu amri kuhusu wahamiaji haramu

    Wapambe wa Trump wanasema he is not there for playing games, you Around with him and Find out. Leo ndege 2 za kijeshi zenye rais 160 wa Columbia ambao walikua wahamiaji haramu nchini Marekani zilikataliwa kutua nchini Columbia na kulazimika kurudi Marekani. Baada ya hapo Trump akatishia kesho...
  15. ngara23

    Jeshi la Uhamiaji rejesheni operation kama Kikwete za kuwafukuza wahamiaji haramu

    Uhamiaji kwanini mlisitisha operation za wahamiaji haramu muda mrefu hivi Kwa mkoa wa Kagera na Kigoma Zamani sisi watu wa Kagera na Kigoma tulizoea ikifika mwezi march ni msako nyumba Kwa nyumba kuwasaka wahamiaji haramu ila Kwa Sasa kipo kimya miaka zaidi ya 10 Uhamiaji ni jeshi mpo tu...
  16. U

    Maofisa uhamiaji Marekani sasa wapewa mamlaka kukamata wahamiaji haramu na wahalifu watakaojificha au kukimbilia makanisani, mashuleni na hospitalini

    Wadau hamjamboni nyote? Wahamiaji haramu hawana kinga tena wakijificha maeneo hayo kama ilivyokuwa zamani Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Guardian staff and agencies Wed 22 Jan 2025 00.51 GMT Share US immigration authorities will be able to arrest migrants at schools, churches and...
  17. Nyani Ngabu

    Donald Trump: Kuanzia sasa Serikali ya Marekani itatambua jinsia mbili pekee, Mwanaume na Mwanamke

    Rais wa 47 wa Marekani, Donald Trump **** NIMEOKOLEWA NA MUNGU KUIFANYA TENA MAREKANI KUWA TAIFA KUBWA "Uhuru wetu na hatima tukufu ya taifa letu haitakataliwa tena, na tutarejesha mara moja uadilifu, umahiri na uaminifu wa serikali ya Marekani. Kwa muda wa miaka minane iliyopita, nimejaribiwa...
  18. ngara23

    DOKEZO Raia wa Rwanda wanapenyaje hadi kujazana nchini?

    Zamani ilikuwa ni kawaida Kwa sisi watu wa wa mkoa wa Kagera kuishi na Wanyarwanda na wamesoma hapa Tanzania na Sasa wana kazi kubwa serikalini na likizo Huwa wanaenda kwao Rwanda kusherehekea na ndugu zao huku, na likizo zikiisha hurejea Tanzania katika ajira za serikali kabisa Wanyarwanda...
  19. Tea Party

    Kitakachompa urais Trump mwaka huu ni sakata la wahamiaji haramu

    Habari zenu wanajamvi. Mko vizuri? Kama unafuatilia jukwaa hili basi bila shaka utakuwa unafahamu mengi kuhusu mbio za uchaguzi zinazoendelea Marekani. Ni Trump Vs Kamala. Hii hata watoto wa 2000 watakuwa wanafahamu. Wengi wasichofahamu ni kuwa karibu kila opinion poll Marekani inatabiri kuwa...
  20. D

    Mipaka yetu ina shida ndio maana vitu feki vimejaa nchini

    The borders are are porous all over na ndo mana vitu fake vimejaa mtaani. Inaeleweka wazi kazi ya jeshi ni kulinda mipaka lakini tanzani mipaka iko wazi sana. Ni ama kuna rushwa au jeshi halifanyi kazi yake ipasavyo. Au kazi yao ni nini jamani?
Back
Top Bottom