Double standard kwenye kuripoti matukio!
Waharifu wengine wanaanikwa picha zao hata kama uchunguzi unaendelea inakuwaje hawa picha hazijawekwa wazi?
Wakiwa wanaripoti Waharifu wengine huwaonesha kwa mbwembwe wakiwa wanawapigapiga mabegani watuhumiwa kuonesha msisitizo!
Lakini wakikosea wao...
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya, linawashikilia Askari watano wa Jeshi hilo kwa tuhuma za kujihusisha na usafirishaji wa wahamiaji haramu raia wa Ethiopia kuwapeleka nchini Malawi kupitia mpaka wa Kasumulu uliopo wilayani Kyela.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya,Kamishna Msaidizi wa Polisi, Benjamin...
Mkuu wa mkoa wa Tanga, Omari Mgumba ametoa kilio cha mlundikano wa wahamiaji haramu katika magereza yaliyopo katika mkoa huo mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan hii leo.
Akizungumza mbele ya Rais Samia ambaye yupo mkoani humo kwa ziara ya siku mbili, mkuu huyo wa mkoa amesema kwamba mkoa huo una...
Hongera sana Rais wangu mahiri Samia Suluhu Hassan
Huu ndo mwendo wa kwenda nao hawa wapuuzi wote wa Kenya. Lazima sasa wajue waliokuwa wanamuona kama The Sleeping Giant, ameamka rasmi
Sasa tunawaonyesha kwa jinsi gani tunalinda maslahi mapana ya Tanzania
---
Kamishna Jenerali wa Jeshi la...
Polisi Dodoma wanamshikilia Joachim Joseph wa Arusha kwa kusafirisha Wahamiaji 16 Waethiopia wasio na vibali kutoka Kilimanjaro akiwapeleka Mbeya kisha Afrika Kusini huku akitumia namba feki za SU kwenye Land Cruiser hii ili asisimamishwe, namba zake ni T752 BVL.
=====
Polisi Dodoma...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia wahamiaji haramu kumi na moja [11] raia wa nchini Rwanda na Burundi kwa kosa la kuingia nchini bila kuwa na kibali.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ulrich Matei ameeleza kuwa wahamiaji hao walikamatwa mnamo Februari 7, 2022 majira ya saa 12:00 jioni...
Kilichotokea Haiti kila mmoja wetu anakijua, ni jambo la kutisha kuuliwa Rais ktk makazi yake lkn waliotekeleza mauaji hayo ni wahamiaji haramu.
Kwa nchi yetu yenye wimbi la wahamiaji haramu inapaswa vyombo vyetu viwe macho masaa 24, operation ktk mahoteli ziwe zinafanyika.
Wapo wahamiaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.