wahamiaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Senegal: Boti iliyobeba Wahamiaji 200 yapotea kwenye maji

    Waokoaji wa Uhispania wanaendelea na msako wa mashua hiyo karibu na Visiwa vya Canary ambapo inadaiwa haijulikani ilipo tangu ilipoanza safari zaidi ya wiki moja iliyopita. Kundi la misaada la Walking Borders linasema boti hiyo ya wavuvi ilisafiri kutoka Mji wa Kafountine, Kusini mwa Senegal...
  2. JanguKamaJangu

    Tunisia: Wahamiaji washambuliwa na kufukuzwa kwenye nyumba

    Wahamiaji kutoka Kusini mwa Jangwa la Sahara wameshambuliwa katika Mji wa Sfax huku zaidi ya 10 wakiripotiwa kujeruhiwa wakiwemo Wanawake na Watoto. Machafuko hayo ya kulipiza kisasi yamechochewa na mauaji ya raia wa Tunisia yaliyotokea wakati wa makabiliano na Wahamiaji kadhaa, Julai 3, 2023...
  3. Kipondo Cha ugoko

    DOKEZO Serikali chukueni hatua za haraka kudhibiti wimbi la wahamiaji haramu hasa Wamalawi

    Sijajua vyombo vyetu vya ulinzi na usalama wa nchi vimejisahau au vimelala. Wakuu kumekua na wimbi kubwa sana la wahamiaji haramu hasa wamalawi, aisee jamaa wametapakaa mitaani sana Nadhani kwa wadau ambao ni wakazi wa pembezoni mwa miji hasa goba watakubaliana na Mimi(sijajua katikati ya Jiji...
  4. JanguKamaJangu

    Tunisia: Meli mbili zapata ajali, Wahamiaji 27 hawajulikani walipo

    Inaaminika watu hao wanaweza kuwa wamepoteza maisha kutokana na ajali hizo ziliyotokea Pwani ya Tunisia wakati meli husika zikiwa njiani kuelekea Italia. Meli ya kwanza ilikuwa na watu 37 na ya pili ilikuwa na watu 36, baadhi wameokolewa na wengine hawajulikani walipo. Tangu Machi 2023 kuna...
  5. JanguKamaJangu

    Mexico: Watu 40 wafariki kwa moto katika kituo cha Wahamiaji

    Watu waandamana nje ya kituo cha wahamiaji cha Mexico baada ya moto kuzuka katika kituo hicho, Machi 28, 2023 Takriban watu 40 wamefariki na wengine 29 kujeruhiwa baada ya moto kuzuka katika kituo cha wahamiaji cha Mexico kwenye mpaka na Marekani. Kituo hicho katika Mji wa Mexico wa Ciudad...
  6. JanguKamaJangu

    Italia: Wahamiaji 59 wafariki baada ya boti kuzama baharini

    Watoto 12 ni miongoni mwa waliopoteza maisha katika ajali hiyo huku watu wengine kadhaa wakiwa hawajulikani walipo ikiaminika ilibeba zaidi ya abiria 150. Watu 80 wamesalimika na baadhi yao wanasema meli ilikuwa inakaribia Pwani ya Crotone eneo la Calabria. Meli hiyo iliyotengenezwa kwa mbao...
  7. JanguKamaJangu

    Libya: Wahamiaji 73 hawajulikani walipo baada ya boti kuzama

    Inadaiwa watu hao wanaweza kuwa wamefariki baada ya kupata ajali katika Pwani ya Libya, Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji (IOM) limeeleza ni watu saba pekee ndio waliofanikiwa kujiokoa katika tukio hilo lakini hali zao za kiafya ni mbaya. Vikosi vya Msalaba Mwekundu na Polisi vimefanikiwa...
  8. comte

    Wahamiaji haramu 3,000 kwenye magereza yetu! Hatuwezi kuwarejesha kwao tukaokoa gharama za kutunza?

  9. Tango73

    Uhamiaji dhibitini wahamiaji kutoka Asia

    Hivi China ni nchi tajiri au ubabaishaji tuu? Kwa nini raia wake masikini watupwe Africa?
  10. JanguKamaJangu

    Miili 27 yatupwa kando ya barabara nchini Zambia

    Miili hiyo inayoaminika kuwa ni ya Wahamiaji wenye umri kati ya miaka 20 hadi 38 kutoka Ethiopia imekutwa kando ya barabara ya Ngwerere, Kaskazini mwa Mji Mkuu wa Lusaka. Inaaminika walifariki Dunia kwa kukosa hewa wakiwa njiani kusafirishwa. Zambia imekuwa ikitumika kama njia panda ya...
  11. D

    Picha za Polisi watano waliosafilisha wahamiaji haramu zimehifadhiwa! Lakini watu wengine wanaanikwa wazi

    Double standard kwenye kuripoti matukio! Waharifu wengine wanaanikwa picha zao hata kama uchunguzi unaendelea inakuwaje hawa picha hazijawekwa wazi? Wakiwa wanaripoti Waharifu wengine huwaonesha kwa mbwembwe wakiwa wanawapigapiga mabegani watuhumiwa kuonesha msisitizo! Lakini wakikosea wao...
  12. B

    RC Tanga alia na mrundikano wa wahamiaji haramu mkoani kwake

    Mkuu wa mkoa wa Tanga, Omari Mgumba ametoa kilio cha mlundikano wa wahamiaji haramu katika magereza yaliyopo katika mkoa huo mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan hii leo. Akizungumza mbele ya Rais Samia ambaye yupo mkoani humo kwa ziara ya siku mbili, mkuu huyo wa mkoa amesema kwamba mkoa huo una...
  13. JanguKamaJangu

    Wahamiaji 14 waliokuwa wakizamia kwenda Ulaya wafariki baada ya boti kushika moto Senegal

    Wahamiaji 14 wamefariki Dunia baada ya boti waliyokuwa wakiitumia kushika moto katika Jimbo la Kasamance Nchini Senegal. Safari yao ilikuwa ni kuelekea Ulaya kupitia Visiwa vya Kanari vya Hispania. Meya wa Mji wa Kafountine jimboni hapo, David Diatta amesema wamefanikiwa kupata mili 14 baada...
  14. Lord denning

    Tanzania Yatangaza Operesheni Maalum kuondoa Wahamiaji haramu eneo la Ngorongoro na Loliondo

    Hongera sana Rais wangu mahiri Samia Suluhu Hassan Huu ndo mwendo wa kwenda nao hawa wapuuzi wote wa Kenya. Lazima sasa wajue waliokuwa wanamuona kama The Sleeping Giant, ameamka rasmi Sasa tunawaonyesha kwa jinsi gani tunalinda maslahi mapana ya Tanzania --- Kamishna Jenerali wa Jeshi la...
  15. mwanamwana

    Dodoma: Akamatwa kwa kufoji namba za gari (SU) na kusafirisha wahamiaji haramu

    Polisi Dodoma wanamshikilia Joachim Joseph wa Arusha kwa kusafirisha Wahamiaji 16 Waethiopia wasio na vibali kutoka Kilimanjaro akiwapeleka Mbeya kisha Afrika Kusini huku akitumia namba feki za SU kwenye Land Cruiser hii ili asisimamishwe, namba zake ni T752 BVL. ===== Polisi Dodoma...
  16. Abdul Nondo

    Wahamiaji kutoka Ethiopia na Somalia kufungwa na kuwekwa mahabusu ni msongamano na gharama kwa serikali

    Tangu mwanzo niliwahi sema na ninarudia kusema kwa kuishauri serikali, wahamiaji haramu hasa kutoka nchi mbalimbali na wengine hawa kutoka Ethiopia na Somalia wamejaa katika Magereza yetu. Nilipokuwa Mahabusu Gereza la Iringa 2018 April, kulikuwepo na Wahamiaji wengi kutoka Somalia, wengine...
  17. John Haramba

    Polisi wawanasa wahamiaji haramu 11 wakitoka Tabora kwenda Mbeya

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia wahamiaji haramu kumi na moja [11] raia wa nchini Rwanda na Burundi kwa kosa la kuingia nchini bila kuwa na kibali. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ulrich Matei ameeleza kuwa wahamiaji hao walikamatwa mnamo Februari 7, 2022 majira ya saa 12:00 jioni...
  18. Miss Zomboko

    Mtanzania mmoja akamatwa kwa kusafirisha wahamiaji 16 wa Ethiopia

    Kamanda wa polisi wa mkoa wa Mbeya, Ulrich Matei ametangaza kuwa polisi wamemkamata raia mmoja wa Tanzania akihusishwa na usafirishaji wa wahamiaji haramu 16 wa Ethiopia, na kuongeza kuwa mtuhumiwa huyo ni Yohana Adam, mkazi wa Kasumulu katika wilaya ya Kyela mkoani Mbeya. Matei amesema kuwa...
  19. beth

    Marekani: Utawala wa Rais Joe Biden kuendeleza Sera ya kudhibiti wahamiaji

    Utawala wa Rais Joe Biden umesema utaongeza muda wa Sera ya "Title 42" iliyokuwepo katika Utawala wa Donald Trump, ambayo inaruhusu Marekani kufukuza wahamiaji wasio na Hati. Uamuzi huo unakuja wakati Wahamiaji wakiendelea kumiminika katika Mpaka wa Marekani ikielezwa 210,000 waliripotiwa mwezi...
Back
Top Bottom