wahandisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyanswe Nsame

    HUU HAPA MGOGORO WA SONGORO MARINE NA WAHANDISI

    UTAPELI UNAOFANYWA NA KAMPUNI YA SONGORO MARINE WAWEKWA HADHARANI Kampuni ya Songoro Marine ya Ilemela jijini Mwanza inakabiliwa na tuhuma za kujipatia zabuni tatu za kujenga meli katika maeneo mbalimbali hapa nchini bila kuwa na sifa zinazohitajika kitendo ambacho kinatajwa ni cha uhujumu...
  2. The Watchman

    Pre GE2025 DC Nachingwea awaonya wahandisi miradi kujengwa chini ya kiwango

    Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mohamed Hassan Moyo amewataka Wahandisi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea kusimama miradi yote kwa ubora unaotakiwa kulingana na thamani ya fedha zinazotolewa na Serikali. Akizungumza katika ziara ya ukaguzi wa miradi mbalimbali alisema kuwa haridhishwi viwango...
  3. Stephano Mgendanyi

    ERB, ECI Waanza Utekelezaji wa Makubaliano ya Kuongeza Ufanisi kwa Wahandisi

    ERB, ECI WAANZA UTEKELEZAJI WA MAKUBALIANO YA KUONGEZA UFANISI KWA WAHANDISI. Bodi ya Usajili wa Wahandisi Tanzania (ERB) na Baraza la Uhandisi la India (ECI) wameanza utekelezaji wa makubaliano kati yao ambayo yalisainiwa mwezi Disemba 2024 lengo kuu likiwa ni kuchangia maendeleo ya kiuchumi...
  4. Roving Journalist

    Serikali yasema imeweka mazingira mazuri kwa Wahandisi Wanawake kushiriki katika utekelezaji wa miradi

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali imeweka mazingira wezeshi kwa ajili ya kutoa fursa kwa Wahandisi Wanawake kushiriki kikamilifu utekelezaji wa miradi mbalimbali ya ujenzi na matengenezo ya barabara na madaraja nchini. Ameeleza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  5. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa Mgeni Rasmi Kongamano la 9 la Wahandisi Wanawake, 2024

    BASHUNGWA MGENI RASMI KONGAMANO LA 9 LA WAHANDISI WANAWAKE, 2024. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) leo tarehe 21 Agosti 2024 atafungua Kongamano la tisa (9) la Wahandisi Wanawake nchini linalofanyika Katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Dar es Salaam (JNICC)...
  6. A

    KERO Udidimizaji wa Haki za Wahandisi wanaofundisha Shule za Sekondari za Ufundi ni changamoto inayohitaji utatuzi wa haraka

    Habari, Mimi ni mhandisi ambaye niliajiriwa ajira za waalimu kwa tangazo la mwaka 2020 kwa niaba ya wenzangu wahandisi kutoka shule za ufundi tunapenda kutoa masikitiko yetu juu haki zetu kama watumishi wa umma. Ikumbukwe serikali ilituajiri tukiwa wahandisi lakini mambo yalibadilika...
  7. stabilityman

    Pre GE2025 Wahandisi tunamshukuru Rais Samia kwa miradi mikubwa kedekede tunayoipata

    Kama mlivyoona juzi mwakilishi wetu, Kiukweli katika uongozi wa mama watu wanajenga na nchi. Miradi mingi inafanya kazi hivyo kwenye sekta ya uhandisi kiukweli tunanufaika sana. Asante mama, nina imani ukipata mitano mingine Nchi itafika mbali sana. Pia soma=> Kuelekea 2025 - Wahandisi na...
  8. Cute Wife

    Pre GE2025 Wahandisi na Wakandarasi wamnunulia Rais Samia helkopta kwaajili ya Kampeni za Urais 2025 pamoja na mafuta ya Tsh. 100,000,000/-

    Heka heka na vimbwanga vinazidi kupamba moto, mpaka uchaguzi ufike tutaona mengi! Eti wanarudisha fadhila kwa yale Rais Samia amefanyia nchi! Kwa hali ngumu ya maisha na wizi unaoendelea serikalini kweli? Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Ndio...
  9. MINING GEOLOGY IT

    EUROTUNNEL: Barabara chini ya maji iliyowaunganisha Wataalamu wa Jiolojia na Wahandisi wa kila aina

    Eurotunnel, ambayo pia inajulikana kama Channel Tunnel, ni mfereji wa reli chini ya Bahari ya Kiingereza ambao unaunganisha Uingereza na Ufaransa. Hii ni miundo mikubwa ya uhandisi iliyopo ulimwenguni. Ujenzi wa Eurotunnel ulianza rasmi mwaka 1988 na ulikamilika mnamo mwaka 1994.Tunnel hii...
  10. Stephano Mgendanyi

    Waziri Bashungwa Aagiza Wahandisi Washauri Wanaoshindwa Kusimamia Makandarasi Kutopewa Kazi

    WAZIRI BASHUNGWA AAGIZA WAHANDISI WASHAURI WANAOSHINDWA KUSIMAMIA MAKANDARASI KUTOPEWA KAZI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameiagiza Wakala wa Barabara (TANROADS) kutowapatia kazi za usimamizi wa miradi Wahandisi Washauri wanaoshindwa kuwasimamia Wakandarasi kutekeleza miradi ya ujenzi wa...
  11. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa Atoa Mwezi Mmoja kwa Wahandisi Wote Nchini Kuwa na Leseni

    BASHUNGWA ATOA MWEZI MMOJA KWA WAHANDISI WOTE NCHINI KUWA NA LESENI. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewataka Wahandisi na Washauri elekezi wote nchini kuhakikisha wanakuwa na leseni zinazowapa uhalali wa kufanya kazi za kihandisi nchini ifikapo tarehe 31 Machi 2024. Amesema hayo...
  12. tutafikatu

    Wahandisi nauliza: Kwanini Tanzania hatutengenezi mfumo maji na taka mapema tunapojenga msingi?

    Nimezoea kuona bongo watu wakibomoa bomoa msingi au kuta walizojenga ili wapitishe mabomba ya maji na choo. Hivi haiwezekani kutengeneza plan ya maji safi na taka na kujenga mfumo maji na taka mapema kabisa katika hatua ya kujenga msingi ili kila kitu kiwe sawa?
  13. B

    Mbunge Fyandomo ashtukia upigaji ujenzi wa stendi Tukuyu. Hizi sio paving ni mchanga na wahandisi wapo

    Mbunge wa vitu maalum Mkoa wa Mbeya Mhe. Suma Ikenda Fyandomo, ameshtukia mchezo unaofanywa na wataalamu katika ujenzi wa stendi ya mabasi katika Mamlaka ya mji mdogo wa Tukuyu Mkoani Mbeya, kwa kupanga tofali ndogo za nzege (PAVING BLOCK) zilizo chini ya kiwango hali inayo hatarisha ubora wa...
  14. Underdog

    Wahandisi waliosajiliwa wananufaikaje?

    Bila shaka mu bukheri wa afya na mnaendelea vyema na majukumu ya kila siku. Leo ningependa tujadiliane kidogo kuhusiana na manufaa tuyapatayo sisi Wahandisi tuliosajiliwa (Professional Engineers). Kwa Wahandisi tofauti na wale Civil Enginners, tuchukulie mfano Mechanical Engineers na wengine...
  15. KingPower

    Waraka kwa Rais Samia kuhusu vilio vyetu sisi Wahandisi tulioajiriwa kama Walimu

    Nimefurahishwa Sana na kusikia rais wetu wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dr Samia Suluhu Hassan ni mtembeleaji mzuri wa jukwaa hili la JamiiForums na tunaamini atatusikia juu ya hiki kilio chetu. Sisi Wahandisi tulioajiriwa kama walimu katika shule za ufundi Tanzania. Bwiru Boys...
  16. J

    Mkuu wa Wilaya Jokate awataka wahandisi wa maji kutatua changamoto za maji Korogwe

    DC JOKATE AWATAKA WAHANDISI WA MAJI KUTATUA CHANGAMOTO ZA MAJI KOROGWE Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe Jokate Mwegelo amewataka Wahandisi wa Maji Wilayani Korogwe kutatua changamoto za maji zilizopo ndani ya uwezo wa mamlaka hiyo. Akizungumza kwenye kikao Cha Taftishi kuhusu ombi la kurekebisha...
  17. jey n

    Msaada, namna ya kuwa register ERB bodi ya wahandisi

    Habari za muda wadau wa jukwaa,naomba kwa anaejua anisaidie namna ya resubmit vyeti vyangu kwenye ukurusa wa erb
  18. jey n

    Msaada namna ya kuwa register erb bodi ya wahandisi

    Habari za muda huu wakuu,naombeni msaada namna ya kuresubmit vyeti vyangu hapa
  19. B

    Wizara ya Elimu kutegua kitendawili kizito cha Wahandisi mitambo

    Kongamano la saba la kimataifa linaloendelea katika chuo kikuu cha Dar es Salaam UDSM ili wanya0yofundishwa yaendane na yale ya uhalisia wataj0ayokutana nayo katika ulimwengu wa nje ya vyuo yaani kule wanapokwenda kuajiriwa au kujiajiri. Marekebisho ya mitaala ya elimu katika vyuo vikuu...
  20. Chiefrb21

    SoC02 Tuanze na haya kuboresha mfumo wa elimu ya Chuo Kikuu ili tupate Wahandisi wenye tija kwa taifa

    Kwa mujibu wa tovuti ya tathimini ya idadi ya watu duniani ya mwaka 2022, makadirio ya umri wa ukomo wa kuishi kwa mtanzania ni miaka 66. Kwa mtanzania aliye bahatika kuhitimu shahada yake ya awali akiwa na miaka 23 hadi 24 atakuwa ametumia takribani asilimia 34.85 (miaka 23) hadi asilimia 36.36...
Back
Top Bottom