Wakuu poleni na majukumu.
Kuna ndugu yangu ameomba kufanya Usajili wa kuwa mhandisi. Amewasilisha report zake katika bodi ya maengineer yaani ERB. Kila akiulizia Usajili umefikia wapi, anaambiwa bodi ya ERB iliyopo imemaliza muda wake.
Ombi kwa RAIS, tunaomba uteue mwenyekiti mpya wa bodi, na...
Maeneo mengi nchini humo yamekumbwa na kukatika kwa umeme baada ya muungano wa sekta ya Nishati kugoma kupinga kurekebisha sheria inayosimamia sekta ya nishati ambayo ni pamoja na kuondoa vikwazo vya ushindani wa zabuni kwa miradi ya nishati mbadala.
Takriban wahandisi 900 kati ya 1,100 wa Bodi...
Hivi watendaji wa Awamu hii wanatuonaje Watanzania ? Kuanzia report ya CAG ni Wizi kweupe kabisa hata kama mama sio mkali jamani huu upigaji unapitiliza sanaa
Handeni. Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameliagiza jeshi la polisi wilayani Handeni kuwakamata na kuwaweka ndani watumishi wawili wa wizara hiyo na mkandarasi anayejenga bwawa la Kwenkambala kwa kushindwa kumpa taarifa sahihi kuhusu ujenzi wa bwawa hilo.
Waziri Aweso ametoa agizo hilo leo Jumanne...
asante
bado
bwawa
chafu
hata
hii
kuchimba
kupotea
mahakamani
maji
milioni
pole sana
sana
taarifa
video
wahandisi
waziri
waziri wa maji
wizara
wizara ya maji
yako
Huwa siwaelewi wahandisi wa serikali wanaangalia nini wanapo design na kujenga au kujengewa majengo ya serikali. Hapa nazungumzia majengo kama mahakama, hospitali, shule, kumbi za mikutano, ofisi n.k. Kila siku yanaibuka kama uyoga lakini kwa ubora wa chini.
Andiko hili linatokana na habari...
Hawa wahandisi wa mradi wa JNHPP wanamdanganya sana huyu waziri January Makamba kwa sababu yeye mambo ya sayansi ni mashikolo mageni. Eti tani 26 ni uzito mkubwa sana unaohitaji a special immobile crane kuunyanyua!
Mhuuuuu! Kweli? Kwa nini hawa wahandisi wanamfanyia hivyo Makamba? Mbona tani 26...
Si zaidi ya hapo; ni kama ifuatavyo:-
1. Mwalimu
Waelimishaji waliohitimu kwa viwango stahiki wanahitajika sana, na ikiwa utahitaji kujenga jamii imara walimu ni kundi muhimu na la lazima.
Ili vijana waweze kubadilisha ulimwengu na taifa, basi hii ndiyo taaluma ya muhimu na ya lazima popote...
Asalam!
Nianze kwa kuipongeza Serikali chini ya Rais Mama Samia kwa kuipa Elimu kipaumbele hasa eneo la miundo mbinu. Hili limekuwa likisumbua kila mwaka. Tunashukuru kwa kazi hii njema.
Pili, baada ya miundo mbinu Sasa tumuombe Mama Samia Ajielekeze kwenye Walimu na Vifaa vya ufundishaji...
Kama kufungua biashara ya duka la dawa ni lazima udhaminiwe na dakitari inakuwaje shughuli za kihandisi zinafanyika bila kuhusisha wahandisi.
Kufungua gereji, ujenzi wa majengo ya gharama, sehemu za kuchomelea, n.k yote haya yanafanyika holela.
Kama madaktari wameweza hivi sisi wahandisi...
Wahandisi tutoke vipi? taasisi ambazo zingekuwa zinatusaidia tupige hatua zimesinzia kabisa.
Kazi yao ni kuandaa safari za kutalihi tu kwenye miradi.
Mimi nilitegemea labda tusikie taasisi hizi zikipendekeza namna gani jamii inaweza kuwatumia wataalamu
Mimi nilitegemea kusikia labda...
Kuna vitu unaviona hata kama sio mhandisi lakini unashangaa, huyu ama hawa wahandisi wamesomea wapi?
Ukiangalia barabara zote za Dar kiuhalisia hakuna foleni kiviile ila shida kubwa inayochangia kuwepo na foleni ni vituo vya daladala kua barabarani ama karibu sana na taa za Barabarani.
Mfano...
Ndugu wahandisi wenzangu ambao taaluma zetu siyo Civil engineers tunahitaji kuunda chama chetu baada "institution for engineers Tanzania/ chama cha wahandisi tanzania kushindwa kusiamamia haki zetu na kupelekea sekita zetu kutokua.
IET imemezwa na civil engineers na haiko kusimamia maslahi ya...
Nimepata fursa ya kuandika haya Muda huu!
Nimekusikia Mh. JPM ukitangaza nia ya kujenga bwawa hilo kubwa la umeme. Kwakweli hilo ni jambo jema sana, na kwa namna ninavyokufahamu ukishatamka jambo kinachofata ni utekelezaji! Nataka nikuhakikishie kwamba wahandisi wa kitanzania hawajashindwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.