Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limetangaza kampeni ya kutoa elimu kwa waandishi ya namna ya kuhamasisha jamii kutoa maoni yao kupinga ndoa za utotoni.
Akizungumza katika hafla ya kutoa Tuzo kwa Waandishi wa habari za Watoto, pamoja na mambo mengine Mwenyekiti wa TEF, Deodatus Balile amesema...
Saalamu,
Siku chache zilizopita tulishuhudia mjadala makini ulioitishwa na wanahabari huku mgeni rasmi alikiwa makamo wa raisi huko mkoani Iringa.
Dhina ya mkutano ule ilikuwa ni kumpatia mh mpango taarifa za kiuchunguzi juu ya chanzo cha mto ruaha mkuu kukauka kwani mpaka siku wanafanya kile...
Wengi tuliona video clip ikimuonyesha Mzee Makamba akimpiga vibao begani na kumfokea na kumkashifu Mwandishi wa Habari kwenye Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma.
Shambulio hilo baya na la aibu amefanyiwa mwandishi wa habari mchana kweupe na kila mtanzania ameliona lakini jambo la kusikitika jukwaa la...
Hawa kina Maharage Chande kazi imewashinda kabsaa, wameandaa slide kuhadaa umma hatua za JNHP, wakati si kweli.
Kigoma wamezima majenerata, umeme mdogo, unakatikakatika na kusuasua, katoa majibu ya kibabaishaji akimuingiza Ndalichako kutafuta huruma, nonsense kabisa.
Mkurugenzi hilo la kigoma...
Sitaki kuchangia sana.
Ukijiuliza maswali ni kama kuna kitu nyuma ya pazia, maana kama sisi wananchi wa kawaida tulishanga kwani hatukuwai msikia mama akisema, ila tulimsikia tu akizuia watu kuanza kutengeneza makundi ya kutafuta Urais 2025, iweje jamaa watesti kutingisha kiberiti mapema?
Hata...
Mjitafakari sana kwanini watu Waite TBCCCM huku ni chombo cha Taifa. Muwe na chembe ya aibu kubalance story ili walaji wafikiwe na ujumbe wa kitaifa.
Chakateni taarifa kabla ya walaji, iweje walaji waanze kuchakata news baada ya kurusha huku mna wataalamu ndani ya vyombo vyenu. Aibu kubwa sana
Wahariri wa magezeti ya Cyprian Musiba wamesema Musiba ni mhuni hajawalipa miezi mitatu na hapokei simu.
Wamesema wanadai mishahara ya miezi mitatu watampeleka mahakamani Jumatatu.
Wahariri wamesema tangu mwezi wa tatu hawajapokea malipo yao ambayo ni haki yao ikiwa na wao wanafamilia...
Hivi kweli wahariri zaidi ya 50 mliohudhuria mkutano wa Rais Samia suluhu Hassan mmeshindwa kuuliza maswali mazito yanayotesa taifa kwa miaka mitano mizima ambayo mwenye majibu ni Rais wa Nchi ya Tanzania? Mfano hata hili la kikatiba juu ya Wabunge waliopo bungeni bila kuwa na chama cha siasa...
Kitendo cha Balile kulifananisha Jukwaa la Wahariri na Bunge au Mahakama linafikirisha sana. Yaani kweli Bunge tukufu ndio la kufananishwa na Jukwaa la Wahariri? Yaani kwa sababu bunge linapewa fedha na serikali za kujiendesha?
Kwamba kwa sababu bunge halina vyanzo vyake vya mapato basi nao...
Hongereni kukutana na Mhe. Rais. Hongereni kupata vinywaji Ikulu.
Hakika hamkujipanga,mlitakiwa wahariri mkutane kwanza muandae maswali Magumu na mazuri na mngegawana maswali na majina mngempa MC kwaniaba ya wahariri.
Mhariri umetoka mkoani unamuuliza Rais anauonaje Urais (mwandishi kweli)...
Rais wa Jamhui ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akutana kuzungumza na waandishi wa habari Ikulu, Dar es Salaam leo Juni 28, 2021
Updates:
Deodatus Balile, Mwenyekiti - Jukwaa la Wahariri
Tangu ulivyoingia madarakani hakuna redio iliyofungiwa, gazeti lililofungiwa, mtandao au...
Wajumbe.
Rais Samia Suluhu anazungumzia na wahariri leo mnamo saa 9 alasiri. Tukio hilo linafuatia Rais kumaliza siku 100 akiwa madarakani.
JamiiForums kama mdau mkuu wa habari humu nchini tupendekeze hapa maswali ambayo tungependa wahariri kamuulize mama . Japo siyo hayo lakini yenye mlengo...
Spika Job Ndugai ametoa maagizo kwa Kamati ya Maadili ya Bunge, kumhoji Mwanahabari Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema kwa kuandika makala ikiwa na kichwa "Bunge linajipendekeza?"
Makala hiyo inayodaiwa kulidhalilisha Bunge ilitoka kwenye toleo la Jumatatu tarehe 9 Aprili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.