Wahaya wa Tanzania, wanaoishi karibu na Ziwa Victoria, walianzisha mchakato wa hali ya juu wa kutengeneza chuma zaidi ya miaka 2,000 iliyopita, muda mrefu kabla ya mbinu kama hizo kutokea Ulaya. Uchimbaji wa kiakiolojia katika miaka ya 1970 katika kijiji cha Buhaya ulifichua tanuru za zamani za...
Heshima kubwa sana kwenu, nilikua nasikiaga tu sifa zenu ila jana nimejionea 🙌🏽🔥🙌🏽🙌🏽🙌🏽.
Wakora sana, nahisi nimempata omugonzibwa wange 😅😅😅😂.
https://youtu.be/wrEDCIdx0ek?si=W-8HZWjEOf5oA5eR
Haya yameandikwa katika kitabu Zamani Mpaka Siku Hizi. Inadaiwa Wahima(Watutsi ni Wahima walioelekea magharibi kwenye vilima vilivyoitwa Tutsi) Walipotoka kaskazini kwenye karne ya 14 walikuwa na nguvu na maarifa mengi. Hilo liliwafanya kila walikopita, kuanzia Uganda hadi Kusini Mashariki ya...
Mficha uchi hazai/mificha maradhi kifo kitamuumbua na kuuliza siku zote sio ujinga.
Hii nyimbo Ina miaka kadhaa Sasa lakini Kila ninapo zungukia kwenye sherehe hasa kijijini haijarishi iwe Kwa wasukuma ama makabila mengine huku Kanda ya Ziwa nyimbo hii Bado Iko kwenye chati.
Nyimbo hii Ina...
Kinachowafanya wahaya na wachaga kufanikiwa katika Elimu , Biashara n.k
Ni Kwa sababu wanakumbuka Nyumbani na kutunza ile Asili yao.
Wahaya ukifia hata Marekani huwa wanahakikisha unaletwa kuzikwa kwenu .
Pia wachaga the same.
Binadamu anapatikana katika mambo mawili Energy and matter...
Wakuu kwema?
Kipi kimejificha kwa hili kabila la kihaya! Kila mmoja wao akifikisha kuanzia miaka 30 tayari anakuwa na upaa.
Shida itakuwa Nini wakuu.
Merry Christmas.
Leo nilikuwa natazama chomoza TV nimekutana na jamaa mmoja muhaya anaitwa Dr Ellie Waminian huyu jamaa Ana akili Sana .
Nimeambiwa ni muhaya
Hili kabila litakuwa na DNA Kama za wazungu
Nilidhani wahaya wangefanyia tamasha hili mkoani kwao ili wapaone palivyochoka. Lakini wameamua kukaa Dar wakiangalia jiji linavyopendeza, huku makwao pakiwa choka mbaya.
Ilikuwa ni fursa kwao kuangalia nyumba za babu na baba zao zilivyochoka, mazao ya ndizi na kahawa yalivyoanguka, jinsi...
Muhimu naomba jina liwe fupi, lisizidi herufi nane (8)
kuna simulizi naiandika nimekwama kwenye majina ya koo maarufu za wasukuma na wahaya, nimekutana na majina mengi sana, natafuta jina za koo maarufu hata watu wa mbali wakisikia tu wanajua asili yake.
Mfano mtu akiikia Laizer anajua ni...
Hawayuu wasomi wenzangu,
Leo katika harakati zangu za hapa na pale za kutafuta mkate wa siku wakati natoka kufundisha subtopic ya quantum tunneling pale UD.
Nikadandia daladala moja ya kwenda Mbezi, ilikuwa imeshona mno na kulikuwa na kafoleni kimtindo. Mimi nlikosa siti nkawa nimenin'ginia...
Ndugu zetu wahaya wamebarikiwa kuwa na akili Sana. wapo na IQ kubwa.
Na wengi wanajua wanataka nini katika MAISHA.
Hongereni Sana
Sijui tungekuwa wapi bila wahaya, hongera Sana Max na wengineo.
NB: Huu ni mtazamo tu tusijenge chuki.
DNA factor, zina mchango wake.
Wasomi na wafanyabiashara wakubwa toka kabila la Wahaya wameanza utamaduni wa kurejea nyumbani Bukoba kama wanavyofanya Wachaga. Wengi wanatokea nje ya nchi (New York, Washington DC, Geneva, Paris, London, Sydney, Stockholm, Copenhagen) na hapa nchini wengi wanaishi Jijini Dar es Salaam, Dodoma...
Mkoa wa kwanza kwa ufukara ni Simiyu. Mkoa unaofuata ni Kagera (Mkoa uliotoa Maprofesa wengi nchini). Yani Simiyu tu ndio imeizidi Kagera kwa viwango vya umaskini. Ina maana hakuna uhusiano wowote kati ya SHULE na MAOKOTO?
Inakuaje Wahaya wamesoma sana halafu wanaburuza mkia kwenye kusaka...
Tena kwakuwa GENTAMYCINE ni Mtani wenu mkubwa kutoka Uzanakini Wilayani Butiama Mkoani Mara ( Musoma ) leo nawachana na mtulie kama mmemwagiwa Maji Baridi sawa?
Kanisa Katoliki halikumteua Kadinali Rugambwa atokae Kwenu Kagera ili awe ni wa Kwenu na muanze Kumtambia na Kutukoga Sisi wengine...
Takwimu zinaonesha kwamba, Kagera ni kati ya mikoa ambayo watu wake wana kipato kidogo zaidi. Pamoja na yote tunayofahamu kuhusu wenyeji wa mkoa huo (Si unajua tena: wasomi, wenye pesa, watu wa kwenda nje ya nchi na mengine). Mkoa huo umezidi kudorora kwenye kila nyanja ya maendeleo.
Toa Maoni...
Sisi wahaya ni watu ambao ndio makabila ya mwanzo kuanza kuvuka border, ni watu tuliwahi kupata exposure mapema, ukibisha basi nenda Vatican umuulize Pope ni kabila gani kutoka Tanzania ambalo kila siku makadinali wake wanaongoza kuongia Vatican utaambiwa ni wahaya, Juzi kati tu Papa kamuapisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.