Ndugu wanajamvi kwa kuwa wahaya wote wanapinga mkoa wa Chato kwa vigezo hapana sifa eti wilaya ni mpya basi mie napendekeza uundwe mkoa wa Biharamulo na maeneo yake iwe wilya ya Ngara, Biharamuo, Chato.
Je, Wahaya hili watalikubali? Kama watalikataa basi ina maana hoja ya kusema Chato bado...
Hakuna kitu nachokichukia na kinachonikera kama kusikia kuna watu wana amini kuwa eti Ushairi umeendelea kwa sababu ya waarabu na wengine kwenda mbali zaidi na kusema Kiswahili ni kiarabu na wengine kupitiliza mipaka ya kufikiria hovyo kabisa na kuona kwamba ukichanganya maneno ya kiarabu hata...
Wandugu ina maana mmeshindwa kabisa kufuga senene tule mwaka mzima?
Wamarekani wanakula mdudu mmoja anafanana na senene anaitwa Cricket kwa Kiswahili nyenje au nyenze. Wameanza kumfuga na ni biashara kubwa sana.
Fanyeni mambo tupate senene mwaka mzima. Dunia inakoenda wadudu watakuwa ni source...
Hili lazima tuliseme maana nasi ni wananchi wa Tanzania.
Magufuli aliendesha developmental genocide against mkabila hayo matatu, tena kwa makusudi.
Aliamua kuwaajiri nakuteua kwa kuwaruka wenyeji wa mkabila hayo matatu.
Kwa vile mchakato wake ulikuwa wa miaka zaidi ya mitano matokeo tunayaona...
Magufuli alitaka kuunda mkoa nyumbani kwake kwa utashi tu binafsi bila kujali vigezo vyenye mantiki vya kuunda mkoa huo.
Yaani katika muendelezo wake wa "unyumbani" akavunja protokali zote za kimantiki na kivigezo katika kuubda mkoa mpya.
Leo hii mkoa wa Geita ni miongoni mwa mikoa michanga...
Baadhi ya wahaya wanadai na wako serious makamu wa Rais mpya wa Marekani Kamala Harris ni damu yao. Labda utetezi wao ni kutokana na jina lake la kwanza.
Ki ukweli Kamala Harris baba yake ni asili ya Jamaica aliyehamia Marekani Donald Harris na mama yake Shyamala Gopalan ni mhindi aliyehamia...
1. Wachagga: hivi kuna mchaga asiye kunywa pombe? Nahisi atakuwa anatumia dawa, ila hakuna asiejua wachaga kwenye utafutaji,akili na maendeleo pia.
2. Wanyakyusa: kwanza kabisa Mbeya hakujawahi kutokea njaa na mkoa wa Mbeya ukiacha kulima Tanzania kutakuwa na baa la njaa. Hawa watu wanapiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.