wahaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wahaya kama Washana tuu kwenye uhunzi

    Wahaya wa Tanzania, wanaoishi karibu na Ziwa Victoria, walianzisha mchakato wa hali ya juu wa kutengeneza chuma zaidi ya miaka 2,000 iliyopita, muda mrefu kabla ya mbinu kama hizo kutokea Ulaya. Uchimbaji wa kiakiolojia katika miaka ya 1970 katika kijiji cha Buhaya ulifichua tanuru za zamani za...
  2. Vijana wa kihaya - mnaitwa πŸ™ŒπŸ½

    Heshima kubwa sana kwenu, nilikua nasikiaga tu sifa zenu ila jana nimejionea πŸ™ŒπŸ½πŸ”₯πŸ™ŒπŸ½πŸ™ŒπŸ½πŸ™ŒπŸ½. Wakora sana, nahisi nimempata omugonzibwa wange πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚. https://youtu.be/wrEDCIdx0ek?si=W-8HZWjEOf5oA5eR
  3. Watawala wa Wasukuma, Waha, Wahaya, Wazinza, Wanyamwezi na Wafipa walikuwa Wahima(Watutsi). Kuna ukweli kiasi gani?

    Haya yameandikwa katika kitabu Zamani Mpaka Siku Hizi. Inadaiwa Wahima(Watutsi ni Wahima walioelekea magharibi kwenye vilima vilivyoitwa Tutsi) Walipotoka kaskazini kwenye karne ya 14 walikuwa na nguvu na maarifa mengi. Hilo liliwafanya kila walikopita, kuanzia Uganda hadi Kusini Mashariki ya...
  4. Wahaya kichwani wamebarikiwa sana hii haina ubishi.

    Kuna Jamaa anajiita Coy mzungu founder wa Cheka TU huyu jamaa ni muhaya and is very bright enough.
  5. Ndg zangu wahaya hii nyimbo "Bakunyimenyeite(Tetemesha)" ya mwanadada Saida karoli Huwa inamaana Gani ?

    Mficha uchi hazai/mificha maradhi kifo kitamuumbua na kuuliza siku zote sio ujinga. Hii nyimbo Ina miaka kadhaa Sasa lakini Kila ninapo zungukia kwenye sherehe hasa kijijini haijarishi iwe Kwa wasukuma ama makabila mengine huku Kanda ya Ziwa nyimbo hii Bado Iko kwenye chati. Nyimbo hii Ina...
  6. Mnajua kwanini wahaya na wachaga wamefanikiwa sana ?

    Kinachowafanya wahaya na wachaga kufanikiwa katika Elimu , Biashara n.k Ni Kwa sababu wanakumbuka Nyumbani na kutunza ile Asili yao. Wahaya ukifia hata Marekani huwa wanahakikisha unaletwa kuzikwa kwenu . Pia wachaga the same. Binadamu anapatikana katika mambo mawili Energy and matter...
  7. G

    Vipara na wahaya ni dam dam.

    Wakuu kwema? Kipi kimejificha kwa hili kabila la kihaya! Kila mmoja wao akifikisha kuanzia miaka 30 tayari anakuwa na upaa. Shida itakuwa Nini wakuu. Merry Christmas.
  8. Wahaya wana akili sana kiukweli , nimemfatili Dr Ellie Waminian huyu jamaa ana hatari sana

    Leo nilikuwa natazama chomoza TV nimekutana na jamaa mmoja muhaya anaitwa Dr Ellie Waminian huyu jamaa Ana akili Sana . Nimeambiwa ni muhaya Hili kabila litakuwa na DNA Kama za wazungu
  9. Kwanini wahaya wanaukwepa mkoa wao? Buhaya Festival kufanyikia Dar, Mlimani City leo 27.10.2024

    Nilidhani wahaya wangefanyia tamasha hili mkoani kwao ili wapaone palivyochoka. Lakini wameamua kukaa Dar wakiangalia jiji linavyopendeza, huku makwao pakiwa choka mbaya. Ilikuwa ni fursa kwao kuangalia nyumba za babu na baba zao zilivyochoka, mazao ya ndizi na kahawa yalivyoanguka, jinsi...
  10. Zanzibar wana Kizimkazi, Bukoba ina Nyamukazi, wahaya hatujawahi kuchelewa

    Sio sifa, ila ndio ukweli, Bukoba ina Nyamukazi, inabidi na yenyewe iandaliwe tamasha. Munyegere
  11. M

    Wahaya na dawa za moyo

    Wakuu je nikweli wahaya wanajua dawa za magonjwa ya moyo
  12. W

    Ni jina gani maarufu zaidi kwa makabila ya wasukuma na wahaya ?

    Muhimu naomba jina liwe fupi, lisizidi herufi nane (8) kuna simulizi naiandika nimekwama kwenye majina ya koo maarufu za wasukuma na wahaya, nimekutana na majina mengi sana, natafuta jina za koo maarufu hata watu wa mbali wakisikia tu wanajua asili yake. Mfano mtu akiikia Laizer anajua ni...
  13. Dah ila kumbe Wahaya wana dharau sana hivi jamani

    Hawayuu wasomi wenzangu, Leo katika harakati zangu za hapa na pale za kutafuta mkate wa siku wakati natoka kufundisha subtopic ya quantum tunneling pale UD. Nikadandia daladala moja ya kwenda Mbezi, ilikuwa imeshona mno na kulikuwa na kafoleni kimtindo. Mimi nlikosa siti nkawa nimenin'ginia...
  14. Wahaya wana Akili sana kiukweli

    Ndugu zetu wahaya wamebarikiwa kuwa na akili Sana. wapo na IQ kubwa. Na wengi wanajua wanataka nini katika MAISHA. Hongereni Sana Sijui tungekuwa wapi bila wahaya, hongera Sana Max na wengineo. NB: Huu ni mtazamo tu tusijenge chuki. DNA factor, zina mchango wake.
  15. Wahaya shikamoo

  16. Wahaya nao wameanza kurudi nyumbani Krismasi

    Wasomi na wafanyabiashara wakubwa toka kabila la Wahaya wameanza utamaduni wa kurejea nyumbani Bukoba kama wanavyofanya Wachaga. Wengi wanatokea nje ya nchi (New York, Washington DC, Geneva, Paris, London, Sydney, Stockholm, Copenhagen) na hapa nchini wengi wanaishi Jijini Dar es Salaam, Dodoma...
  17. Mkoa wa Kagera na Ufukara

    Mkoa wa kwanza kwa ufukara ni Simiyu. Mkoa unaofuata ni Kagera (Mkoa uliotoa Maprofesa wengi nchini). Yani Simiyu tu ndio imeizidi Kagera kwa viwango vya umaskini. Ina maana hakuna uhusiano wowote kati ya SHULE na MAOKOTO? Inakuaje Wahaya wamesoma sana halafu wanaburuza mkia kwenye kusaka...
  18. Wana Kagera ( Watani zangu Wahaya ) taratibu Kadinali Rugambwa siyo wa Kwenu Bukoba, bali ni wa Tanzania kote

    Tena kwakuwa GENTAMYCINE ni Mtani wenu mkubwa kutoka Uzanakini Wilayani Butiama Mkoani Mara ( Musoma ) leo nawachana na mtulie kama mmemwagiwa Maji Baridi sawa? Kanisa Katoliki halikumteua Kadinali Rugambwa atokae Kwenu Kagera ili awe ni wa Kwenu na muanze Kumtambia na Kutukoga Sisi wengine...
  19. Kwanini watu wa mkoa wa Kagera wanaongoza kwa kipato cha chini licha ya Wahaya kutamba sana?

    Takwimu zinaonesha kwamba, Kagera ni kati ya mikoa ambayo watu wake wana kipato kidogo zaidi. Pamoja na yote tunayofahamu kuhusu wenyeji wa mkoa huo (Si unajua tena: wasomi, wenye pesa, watu wa kwenda nje ya nchi na mengine). Mkoa huo umezidi kudorora kwenye kila nyanja ya maendeleo. Toa Maoni...
  20. Nchi ambazo hazina Viwanja vya Ndege

    Sisi wahaya ni watu ambao ndio makabila ya mwanzo kuanza kuvuka border, ni watu tuliwahi kupata exposure mapema, ukibisha basi nenda Vatican umuulize Pope ni kabila gani kutoka Tanzania ambalo kila siku makadinali wake wanaongoza kuongia Vatican utaambiwa ni wahaya, Juzi kati tu Papa kamuapisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…