wahaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wahaya hatuna kawaida ya kupanda Mabasi, wengi tuna Private Cars

    Siku za hivi karibuni nimeona watu wakiiponda stendi ya mabasi ya Bukoba kuwa ni stendi duni, nakubaliana nao ila nawakumbusha pia kuna kitu hawakijui au wanakijua ila hawataki kusema, sasa leo nitakisema hapa ili kumaliza utata. Iko hivi, sisi wahaya tunapenda kutumia private cars au ndege...
  2. Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Warangi, Wakerewe na Wanyamwezi mlioko Msibani Masaki kwa Mkono punguzeni Ulafi

    Chakula kimepikwa kwa ajili ya Wazanaki (na hasa Sisi Wafiwa GENTAMYCINE nikiwemo) cha Kushangaza Makabila tajwa katika Kichwa changu cha Habari yenye Washamba wengi kila mkiletewa Chakula cha Msiba mnataka Kuongezewa Sahani zingine kwani mmekuja Kula hapa Masaki nyumbani kwa Marehemu Wakili...
  3. UTEUZI: Amos Makalla ahamishiwa Mwanza, Chalamila apelekwa Dar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho wa baadhi ya Wakuu wa Mikoa kama ifuatavyo: 1. Bw. Amos Gabriel Makalla amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza. Alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. 2. Bw. Adam Kighoma Malima amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa...
  4. Mbona wasukuma na wahaya wana akili sana za darasani ๐Ÿค”

    Wakuuu za sahizi, Kwenye safari yangu ya elimu nime bahatika kukutana na wasukuma na wahaya wengi kwanzia shule za msingi mpaka saivi chuoni Lakini jambo linalo nishangaza ni kuwa hawa jamaa wana akili mingi sana za darasani wengine hata hawasomagi ila combi ngumu ngumu kama PCM NA PCB...
  5. Watani zangu Wahaya leo Mtani wenu Mzanaki nawachana 'Live' ili mbadilike kwani tumeshawachoka

    1. UKIMWI umeanzia kwenu Kagera 2. Ajali za Kuua kwa Jumla Jumla ( Watu wengi za Meli ) kama ile ya MV Bukoba imeanzia kwenu Kagera 3. Tetemeko Kubwa la Ardhi nchini Tanzania limeanzia kwenu Kagera 4. Ajali mbaya ya Ndege ( hii ya Majuzi ya Precision Air ) ni ya Pili Kihistoria bado imetokea...
  6. Ndugu zangu Wahaya, tuache upotoshaji, Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris hana asili ya Kanyigo, Bwanjai wala Kanyangereko

    Baada ya nchi kupata taarifa za ugeni wa Makamu wa Rais wa Marekani, ndugu zetu wahaya wameanza propaganda kwamba huyu mama ana asili ya mkoa wa Kagera, natumia fursa hii kuweka wazi kwamba hana nasaba yoyote na Mkoa wa Kagera.
  7. Nakubaliana na alichokisema Kamishina wa Polisi Jamii Tanzania dhidi ya Wahaya na Mkoa wao wa Kagera ( Bukoba )

    "Haiwezekani Mkoa wenye Watu Wasomi na Walioelimika kwa kuwa na Watu wenye Degrees, Masters na Doctorates wa Kagera kuna Uvunjifu wa Amani unaotokana na Wivu wa Mapenzi, Migogoro ya Ardhi na Ushirikina. Ni Aibu sana Kwakweli na lazima Ukweli huu usemwe na wenye Mkoa wabadilike na Elimu Kubwa...
  8. Wapare tunajivunia Mshana, Wanyakyusa Bujibuji, Wahaya GENTAMYCINE na Wasukuma Paskal Mayala

    Sisi wapare wa jf tunajivunia Mshana Jr wanyakyusa wanajivunia Bujibuji Simba Nyamaume wahaya wanajivunia GENTAMYCINE na wasukuma wanajivunia Pascal Mayalla. Ni hayo tu kwa leo.
  9. Wahaya wamjibu RC Chalamila, wamtaka Rais Samia Suluhu Hassan amuomdoe haraka kabla mambo hayajaharibika

    *UHAYA WETU SIYO SHIDA, CHALAMILA TAFUTA SULUHISHO. Kagera ni mojawapo ya mikoa ambayo inajulikana katika nchi ya Tanzania. Mkoa wa Kagera umekuwa ukijulikana siku zote kwa sifa ya kuwa mkoa wenye mandhari nzuri na hali ya hewa nzuri ambayo ni nzuri kwa shughuli za kilimo na ufugaji. Mbali na...
  10. Wanawake wahaya mbarikiwe alowafundisha kupapasa mgongo vizuri tukiwa juu aishi milele

    Wasalaam, Jamani Kwa uchache hio ni sifa nzuri ya wanawake wa kihaya hawaboi mpapaso au mtomasowao ukiwa juu kama wote huku akiviringika, naomba kwa heshima wanawake wa makabila mengine sio vibaya mkaiga. Wadiz nikiwa katika meditation ya penzi la kihaya
  11. Ifike hatua tukubali wahaya wana IQ kubwa sana

    Tusimung'unye mung'unye maneno. Kama ulikuwa makini kipindi unasoma, lazima uligundua kuwa kwenye kundi la wale wanafunzi smart darasani lazima mhaya alikuwepo. Ukiangalia % kubwa ya maprofesa bongo ni wahaya. Zile ndizi zina nini? Nadhani zile ndizi zinaongeza maji na IQ
  12. Senene kutoka Bukoba

    ๐—ž๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ๐—ฏ๐˜‚ ๐˜‚๐—ท๐—ถ๐—ฝ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ฒ ๐˜€๐—ฒ๐—ป๐—ฒ๐—ป๐—ฒ ๐—ณ๐—ฟ๐—ฒ๐˜€๐—ต ๐—ป๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—บ๐˜‚ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ผ๐—ธ๐—ฎ ๐—•๐˜‚๐—ธ๐—ผ๐—ฏ๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ฏ๐—ฒ๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐Ÿญ๐Ÿฌ๐Ÿฌ๐Ÿฌ๐Ÿฌ๐—ง๐˜€๐—ต. ๐—จ๐—ท๐—ฎ๐˜‡๐—ผ ๐—ป๐—ถ ๐Ÿฏ๐Ÿฌ๐Ÿฌ๐—ด. ๐—ง๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฒ๐—ฎ๐—ฝ๐—ผ๐—ฝ๐—ผ๐˜๐—ฒ ๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ฝ๐—ผ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—น๐—ถ๐—ผ๐—ฝ๐—ผ ๐——๐—ฎ๐—ฟ, ๐—™๐—ฟ๐—ฒ๐—ฒ ๐—ฑ๐—ฒ๐—น๐—ถ๐˜ƒ๐—ฒ๐—ฟ๐˜†: ๏ฟฝS๐—ถ๐—ป๐˜‡๐—ฎ, ๏ฟฝM๐—ฎ๐˜„๐—ฎ๐˜€๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ฎ๐—ป๐—ผ, ๏ฟฝM๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—บ๐—ฏ๐˜‚๐˜€๐—ต๐—ผ ๐—ป๐—ฎ ๏ฟฝM๐˜„๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ฒ. ๐—บ๐—ธ๐—ผ๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐˜๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ฎ ๐—ฝ๐—ถ๐—ฎ. ๐—ง๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐—ฝ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ธ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—ป๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—บ๐—ฒ๐—ธ๐˜‚๐—ฐ๐—ต๐—ฎ. ๐—ง๐˜‚๐—ฝ๐—ถ๐—ด๐—ถ๐—ฒ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ ๐Ÿฌ๐Ÿณ๐Ÿฒ๐Ÿฏ๐Ÿต๐Ÿฎ๐Ÿณ๐Ÿฏ๐Ÿฑ๐Ÿฌ ๐˜๐˜‚๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฒ๐—ฒ. ๐—ž๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ๐—ฏ๐˜‚๐—ป๐—ถ...
  13. Mipango ya Wahaya kuishi kama wazungu 1950

    Buhaya we should rule ourselves and live like the developed countries and there won't be shame like there is today. Je, umewahi kusikia watu wakisema kanyigo ni ULAYA ndogo? Utangulizi. Mji Bukoba au Bukoba ya Leo ya mwaka 2019,hayajapishana sana na mji wa Bukoba wa mwaka 1915 wakati wa...
  14. Nguvu ya kielimu kwa makabila kama wahaya waliyotumia kujazana maofisini inapungua, Wakiendelea kutegemea ajira wamekwisha !! wajipanue kibiashara

    NB: Wachaga wameelimika ila niwaweke pembeni hawa hawategemei ajira pekee. Tofauti na zamani tulivyozoea makabila yaliyoelimika na kutegemea ajira kwa asilimia kubwa kama wahaya kujazana maofisini kwa vyeti vyao, kwa sasa hali ni tofauti kabisa.. Zamani elimu ilikuwa inapatikana kwa uchache...
  15. Napenda sana Wahaya (wanawake)

    Kuna kitu kinanivutia sana toka kwa wanawake wa kihaya, kabla ya kuhamia kanda ya ziwa nilikuwa sijui madini haya nilipokutana na mdada mmoja ana hiki kitu nilichanganyikiwa sana. Nilijua ni Muhaya nikaambiwa hiyo kawaida yao hao watu hadi lodge za BK nasikia wanatanguliza nylon kulinda godoro...
  16. Wahaya hatushindwi na kitu

    Tuna wasomi kite duniani hata UN wanatutambua.
  17. Dar na wakazi wake: wachaga > kimara, Wakurya > kitunda, wahaya > sinza, wapemba > ilala na kigamboni, wapi tumepaacha ?

    Dar na wakazi wake: wachaga > kimara, wahaya > sinza Wakurya > kitunda wapemba > ilala na kigamboni waarabu > kariakoo wapi tumesahau ??
  18. Wahaya walikuwa wanaunda high quality steel hata kabla ya mzungu

    Leo nilikuwa natazama teknolojia zilizopotea za kale kama vile zege la waroma ambalo lilikuwa likizidi imarika zaidi kila muda unavyopita likiwa kwenye maji ya chumvi. Basi katika hiyo video jamaa akaomgelea kuhusu steel ya wahaya. Utengenezaji wa steel wa kisasa uligunduliwa mwaka 1847...
  19. U

    Waraka wa Profesa Anna Tibaijuka kuhusu Maendeleo ya Mkoa wa Kagera. "Kagera Twafa"

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Wazalendo wote nchini na Duniani kwa Ujumla Nimeambatanisha Waraka Kutoka kwa Profesa Anna Tibaijuka kuhusu uduni wa Maendeleo kwa Mkoa wa Kagera --- KAGERA ,TWAFA Anaandika Profesa Anna Tibaijuka Kagera. TWAFA. Tumuombe Rais Samia...
  20. MSAADA: KWA WAHAYA WANAWAJUA HAWA WANYAMA NDILILA

    Habari za jioni wadau...... Anastahiki sifa njema muumba wa ardhi na mbingu. Pia kwa kuniwezesha kumalizia na kuhamia kwenye kibanda changu kipya namshukuru mungu kwa hilo , namuomba mungu ampe ambaye hajapata sehemu yake ya kujiegesha.. Amiin Baada ya maamkizi nitaenda kwenye mada tangia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ