Tafakuru!
Neno MTU kuitwa MHESHIMIWA ni heshima,kumkweza,anamamlaka,au ni ushenzi na ufinyu wa fikra.
Napendekeza wanajeshi waitwe Mheshimiwa Afande.........
Wanasiasa waitwe Ndugu........
RAIA waitwe ndugu Mwananchi na siyo wanyonge.
Viongozi hususani wa kisiasa wamekuwa wakiitwa au wakiitana waheshimiwa sijui sisi wengine tunaonekanaje hata yani!
Utakuta mtu ambae ni mbunge waziri diwani mkuu wa wilaya/mkoa mkurugenzi nk kwenye vikao/mikutano yao neno hilo limetawala hadi kero (kwangu mimi)
Nauliza hivyo maana utasikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.