waheshimiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    Kwanini Wabunge tunawaita waheshimiwa?

    Tafakuru! Neno MTU kuitwa MHESHIMIWA ni heshima,kumkweza,anamamlaka,au ni ushenzi na ufinyu wa fikra. Napendekeza wanajeshi waitwe Mheshimiwa Afande......... Wanasiasa waitwe Ndugu........ RAIA waitwe ndugu Mwananchi na siyo wanyonge.
  2. Kwanini wanaitana Waheshimiwa? Je, ni lazima kuita hivyo uwapo kwenye mazingira yao?

    Viongozi hususani wa kisiasa wamekuwa wakiitwa au wakiitana waheshimiwa sijui sisi wengine tunaonekanaje hata yani! Utakuta mtu ambae ni mbunge waziri diwani mkuu wa wilaya/mkoa mkurugenzi nk kwenye vikao/mikutano yao neno hilo limetawala hadi kero (kwangu mimi) Nauliza hivyo maana utasikia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…