Kama umemaliza Form Six mwaka huu na combination yako ilikuwa CBG, tafadhali usipite kwenye caption hii bila kuisoma.
Miaka ya nyuma, CBG ilikuwa moja ya combination zilizokuwa zinapendwa sana.
Wanafunzi wengi waliikimbilia kwa sababu walikuwa wanakwepa Physics, lakini bado walikuwa na nafasi...