Sprouts pre School
Member
- Jul 15, 2026
- 64
- 187
Kama umemaliza Form Six mwaka huu na combination yako ilikuwa CBG, tafadhali usipite kwenye caption hii bila kuisoma.
Miaka ya nyuma, CBG ilikuwa moja ya combination zilizokuwa zinapendwa sana.
Wanafunzi wengi waliikimbilia kwa sababu walikuwa wanakwepa Physics, lakini bado walikuwa na nafasi ya kuingia kwenye baadhi ya kozi za afya kama walivyokuwa wanafunzi wa PCB.
Lakini dunia imebadilika.
Sheria zimebadilika.
Na ukweli mchungu ni kwamba, CBG kwa sasa hairuhusiwi kujiunga na kozi nyingi za afya hapa Tanzania.
Kwa lugha ya mtaani...
Ukiichagua CBG ukitegemea kuja kusoma kozi za afya, unaweza kusema umeingia mkenge.
Lakini Akili Education tunasema...
Usikate tamaa.
Ulikosea combination, lakini si lazima ukosee maisha.
Badala ya kulazimisha kusoma kozi ambazo hata soko lake la ajira linazidi kuwa gumu, huu ndiyo muda wa kugeukia kozi ambazo dunia inazipigania.
Kama wewe ni mhitimu wa CBG, sisi tungekushauri kwa nguvu zako zote uangalie kozi kama:
Bachelor in Cyber Security.
Bachelor in Artificial Intelligence.
Bachelor in Data Science.
Bachelor in Biotechnology.
Piga ua, garagaza ukahitimu kwenye mojawapo ya kozi hizi, hakuna mwajiri atakayekuuliza kama Advance ulisoma PCB au CBG.
Ataangalia una ujuzi gani na unaweza kufanya kazi gani.
Usikubali watu wakushawishi kwamba suluhisho ni kwenda kusoma Bachelor of Education, Bachelor of Biology au Bachelor of Chemistry kwa sababu tu ndiyo kozi ulizobakishiwa.
Kwanza kaa chini na wataalamu. (Ambao ndio sisi Akili education 😂)
Sikiliza dunia inaelekea wapi.
Halafu ndiyo uchague future yako.
Kupitia Akili Education, kozi zote hizi zinapatikana nchini India kwa bajeti ya kuanzia milioni 8 tu kwa mwaka, gharama inayojumuisha ada, malazi na chakula.
Mzazi, kama mtoto wako amesoma CBG, usikubali afanye maamuzi kwa hofu.
Karibu Akili Education tumwonyeshe njia nyingine ambayo inaweza kubadilisha maisha yake.
👇 Comment “CBG” tukutumie mwongozo wa kozi hizi na namna ya kujiunga.