Ikiwa serikali imefanya utafiti wa kina kuwa tatizo la ajira litaweza kuondolewa na ujuzi wa VETA basi Haina budi kuwawezesha vijana Hawa wanaohitimu elimu ya juu kwenye ada na mitaji ili wakimaliza kozi hizo za VETA wajiajiri.
Tanzania ! Tanzania ! Tanzania !
Habari za leo vijana wasomi.
Naomba kutoa wazo hapa hasa kwa Serikali dhidi ya Vijana wa elimu ngazi ya Shahada.
1. Serikali tunaweza anzisha "VIJANA SECURITY FUND". Hii ikawa maalumu sana kwa vijana wa taifa letu umri kuanzia miaka 18 mpaka 44. Huu uwe...
Tazama mwenyewe huyu dada graduate anavyoteseka
huu ni Ushuhuda: Tusirudie makosa ya wazazi wetu kukariri elimu ni ufunguo wa maisha
mtoto afundishwe biashara na kuzalisha pesa kwa kujiajiri mapema.
Watoto wa zama hizi wajifunze high income skills mapema, hii itawasaidia sana
No need...
Kimbia kajifunze ufundi wa ku-design gypsum boards, tv show case outlook, outlook ya kisasa ya maduka na interior design nyingine kwa pamoja.
Kimbia kajifunze mji ulivyo, zunguka utafute nyumba, acha vipeperushi vya namba yako kuwa wewe ni dalali, kaa kitaa na wana upate dili za viwanja na...
Wakuu
Kumekuwa na video inayosambaa mitandaoni ikionyesha wahitimu wakiwataka waliopo ofisini kuwa makini, kwa ujumbe wa tahadhari na msisitizo.
Je, ni wakati sahihi wa kuwaambia ukweli kuhusu hali halisi ya ajira, au tuwaache kwanza waendelee na matumaini yao?
Wana jamvi kwema,
Leo nimeona niwajulie hali hawa ndugu zetu wenye BSc na BA na degree nyinginezo, vipi maisha yanaendaje baada ya kuhudhurishwa na kutunukiwa Shahada yako.
Vipi mategemeo uliyo kuwa nayo, yame kuwa sawa na uhalisia huko duniani? Je, kati ya BSc na BA ipi imekusaidia angalau...
UTANGULIZI
Hapa nchini Tanzania kumekuwa na changamoto ya upatikanaji wa ajira kwa wasomi hasa wanaohitimu ngazi ya chuo ambapo wanategemea kuajiriwa kutokana na walichokisomea. Ofisi ya Takwimu Tanzania 2020/21 ilionesha kuwa jumla ya watu 675,899 (2.8% ya watu wenye ajira) ni waajiriwa...
Kutokana na ukosefu wa ajira katika nchi yetu ,Elimu ya ufundi stadi imekuwa mkombozi wa vijana wengi sana ndani ya nchi yetu kwani wamejengewa uwezo wa kazi mikononi mwao lakini uwezeshwaji wa vijana kimitaji ili waendeleze shughuli zao za kiufundi kwa kufungua karakana zao binafsi na kufanya...
anthony mavunde
bodi ya mikopo elimu ya juu
fani
kisasa
kuendeleza
kuwawezesha
mfano
mfumo
mitaala
nyenzo
serikali
teknolojia
ufundi
veta
vijana
vyuowahitimuwahitimuwavyuo
wizara ya elimu
zao
Kuna wasaka fursa za ajira wenye zaidi ya miaka mitano mijini wanapambana, lakini kwa bahati mbaya hakijaeleweka mpaka sasa hivi.
Poleni sana, na pongezi nyingi kwa bidii, ustahimilivu, subra na moyo wa kutokukata tamaa katika kutimiza ndoto zako.
Hebu tafadhali vijana ndugu zangu...
Leo kuna dogo kaja ana lalamika yani kaenda kwenye interview na alipofika amewakuta wale wanaomuuliza maswali wanaelewa sana kile alichokisomea yeye na hata wao hawajasomea course hiyo. Walimwambia kuwa hawamuhitaji kwani wanachuo wengi wanafundishwa kwa theory sana na sio practice.
Kwa stahili...
Wasaalam,
Hivi karibuni humu kumekuwa na ongezeko kubwa la nyuzi(threads) zenye mlengo wa kuwadhalilisha wahitimu wa vyuo vikuu (graduates) na wanafunzi waliopo vyuoni kwamba ni useless na hawana uwezo wa kujitegemea kabisa.
Kwa utafiti nilioufanya, hii kampeni inaendeshwa kwa asilimia kubwa...
Hali ilivyo sasa.
Sheria za Kodi ya Tanzania inaelekeza ulipaji wa Kodi kwa Kampuni zote zinazoanzishwa (changa) kuwa sawia na kampuni kongwe kama Tanzania Breweries Ltd (TBL), Vodacom Tanzania, Azam, Cocacola Kwanza Tanzania na Mohamed Enterprises METL.
Mfumo unataka kampuni zote...
Ujuzi na uzoefu vimekuwa kikwazo kwa vijana (hasa wahitimu wa vyuo) kuajiriwa.Japo kuna mikakati ya kuwakomboa kiuchumi kupitia uwekezaji na miradi ya maendeleo. Bado ajira zinazozalishwa hazikidhi mahitaji ya soko la ajira nchini. Hivyo kupelekea wengi wao kuwa wazururaji mitaani.
Serikali...
Kutokana na kuongezeka kwa tatizo la ukosefu wa ajira, Serikali ya China imewaangushia wahitimu wa vyuo vikuu zigo la lawama kwamba ni wavivu, wabishi na hawataki kazi ngumu za shambani.
Hii ni kutokana na kwamba wahitimu wengi hawataki kurudi makwao vijijini kwa wazazi wako wakashiriki kazi za...
Kuna utitiri wa kozi zinafundishwa vyuoni zinazosababisha unemployment rate katika taifa letu kukua kwa kasi.
Nabadala yake watoto wanahitimu hizo kozi wanabaki hawana ajira lawama zote zinabaki kwa serikali.
Tupo kwenye mchakato wa kubadili mtaala wetu ili uendane na mazingira yetu. Basi...
Umesoma mpaka level ya Diploma ama Degree.
Je, kuna ujuzi/ maarifa gani umejifunza kibinafsi ili ikuwezeshe kupata ajira au biashara yako mpya kesho? Soko la ajira au ulimwengu wa biashara unataka ujuzi au maarifa ya ziada, husiwe na kitu ambacho kila mmoja anacho.
Mara nyingi vitu vya aina...
UTANGULIZI
Ufinyu wa ajira kwa sasa nchini Tanzania imekua ni changamoto kubwa. Wahitimu wa vyuo vikuu na vya kati ni wengi na wamekua wakiongezeka kila uchao. Mahali walipo vijana kumi sasa hivi vijana saba kati yao ni wahitimu wa vyuo mbalimbali nchini Tanzania lakini jambo la kushangaza...
Kiwango cha ukosefu wa ajira kwa vijana wenye umri wa miaka 16 hadi 24 ambacho kimekuwa kikiongezeka sana duniani kinaleta changamoto kubwa kwa hivi sasa. Kwa mujibu wa ripoti ya Kamisheni ya Ulaya, mwaka 2021 kiwango cha vijana wasiokuwa na ajira barani Ulaya kilipanda hadi asilimia 16.6...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.