wahitimu wa vyuo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    SoC02 Majuto ya wahitimu wa vyuo

    Kuna msemo mmoja wa kiswahili unaosema"MAJUTO NI MJUKUU"bila shaka wote tumeshawahi kuusikia. Majuto ni maumivu yanayozalishwa kwa kutotumia wakati na nafasi kwa usahihi na Mjukuu ni matokeo yanayotokana na kutotumia wakati na nafasi kwa usahihi. Kama ilivyo kwenye maeneo mengine ya kimaisha...
  2. Roving Journalist

    Wabunge wataka wahitimu wakopeshwe kwa vyeti vyao

    Serikali imesema inaangalia uwezekano wa kutumia vyeti vya wahitimu wa vyuo vikuu nchini kama dhamana ya kuwapa mikopo mbalimbali ya kuwawezesha kujiajiri na kuajiri wengine. Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Omari Kipanga, aliyasema hayo bungeni wakati akijibu swali la nyongeza la...
  3. GUSSIE

    Tuwahurumie Graduates, Hakuna Mwanasiasa wa kuwatetea Vijana waliomaliza Chuo

    Maisha yanaenda kasi sana na yamebadilika sana, Leo vijana wanaosoma chuo wanaona aibu kubeba bahasha ya kaki barabarani. Enzi zetu kusoma chuo ilikuwa ni sifa kubwa sana, Haikuwa rahisi kufaulu mitihani ya form six au Form four hata kidogo. Wale waliofauli form six bado kama walijiunga na...
  4. UnipromoTech Tanzania

    Mafunzo ya ujasiriamali kwa wahitimu wa vyuo vya elimu ya juu 2021

    Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam anawatangazia wahitimu wote wa elimu ya juu kuwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimeandaa mafunzo ya ujasiriamali yatakayotolewa katika mikoa kumi na moja ya Tanzania (Tanzania Bara na Zanzibar) mwezi Oktoba na Novemba mwaka 2021. Mafunzo haya...
  5. Peter Stephano 809

    Suala la ajira kwa vijana limekosa ubunifu katika kutengeneza fursa za kipekee

    Na Peter Mwaihola Sio ajabu kwa sasa kupita mtaa mmoja na kukuta Video Library zaidi ya 20 ambapo kila baada ya nyumba 3 unakuta library. Hali hii inadhihirisha ni namna gani suala la ajira kwa Vijana limekosa ubunifu katika kutengeneza fursa za kipekee. Kumekuwa na ombwe la Vijana wabunifu...
  6. Mirr

    SoC01 Ushauri kwa wahitimu wa vyuo na wanaotarajia kujiunga na vyuo mbalimbali nchini

    Ndugu wana jukwaa amani iwe juu yenu! Hakika kama tujuavyo elimu imekuwa chanzo cha maarifa tangu kuanza kwa historia ya mwanadamu lakini pia katika baadhi ya vitabu vya imani vimeandika "MKAISHIKE ELIMU" kwa maana msisitizo nikwamba elimu yenye tija na malengo ina manufaa kwa jamii na...
  7. Analogia Malenga

    Njombe: Wahitimu wa vyuo walazimika kuolewa ili kuepuka ugumu wa maisha

    WANAWAKE waliohitimu vyuo vikuu nchini wamesema wanalazimika kuingia kwenye ndoa ili kujikwamua na ugumu wa maisha wanapofika mtaani baada ya kukosekana kwa ajira licha ya kuwa na elimu ya juu. Hayo yamebainishwa na baadhi ya wadau mjini Njombe wakati wakitoa maoni yao juu ya mwenendo wa elimu...
Back
Top Bottom