Wengi wa hawa si wahubiri wa neno la Mungu wa kweli. Wataingiza tu maneno kama Yesu Kristo, Mungu Baba, Roho Mtakatifu, Biblia n.k kuwapumbaza watu ila uhalisia ni motivational speakers wanaotumia kichaka cha dini kutumia hamasa zao na kuchukua pesa za watu kwa jina la sadaka, matoleo,fungu...
Madhabahu ilikuwa ni mahali pa kutolea sada za damu katika agano la kale. Siku hizi wahubiri wakristo wakianzisha kanisa wanaita madhabahu eti watu walete pesa hapo. Huu ni wizi na watu wengi wajinga wasioijua hata hiyo biblia ndio wamejazana huko. Utapeli mtupu.
Nimemsikia nabii mmoja wa Arusha ambaye ana cheo cha daktari wa falsafa (PhD) akifundisha kwenye radio yake kwamba Mungu hujifunua kwa majina tofauti kila anapofanya agano. Sasa ananukuu pale Mungu anapoongea na Musa kumwambia alimtokea Ibrahimu kama Mungu mwenyezi lakini hakujulikana na...
Nimekaa mahali hapa kuna redio ya kanisa moja la Arusha inanguruma. Kama kawaida ya hawa wahubiri mada kuu ni utoaji.
Nilishasema habari za fungu la kumi si mafundisho ya kikristo. Hata hao wayahudi waliopewa agizo hilo wana mfumo tofauti kabisa wa utoaji tofauti na haya mafundisho ya matapeli...
Kila siku kualika watu waje kwenye makutaniko yenu ili wapate miujiza ya uponyaji. Slogan zenu za WAGONJWA WATAOMBEWA nataka muonyeshe kama kweli huyo Yesu Kristo anatenda kazi pamoja na ninyi basi: 1. Fufueni wafu 2. Waponyeni amputees ( watu waliokatwa miguu au mikono). Msilete hadithi za...
Kwa jina la Yesu × 100. Kwa damu ya Yesu× 100, Nakataa, navunja kila aina ya uonevu. × 100 raparakashaaaaaa, horooooshiba sakorabokoo shakantilal nakataa kuonewa rapa shakaraaaaraaata. kwa damu ya mwana kondoo nakataaa.
Eperiiya shakatabaka, iperrerebiya , kwa jina la Yesu🙂🙂 Jina la Yesu...
Fungulia tu hizo redio zao usikie habari za makongamano na ibada za kubariki,kukomboa, kutakasa n.k mwaka mpya ujao. Ukiwa mpumbavu fulani unajipeleka halafu unaambiwa toa sadaka au panda mbegu kwa ajili ya mwaka mpya uwe wa mafanikio. Pesa zile zinaingia mfukoni kwa mhubiri. Hivi watanzania...
Huduma ya Yesu ilihudumiwa na voluntary giving za watu walioona ukweli wa huduma yake (siyo haya mazingaombwe na motivational speeches za hawa wahubiri uchwara wa leo). Wala mitume wa Yesu wala hakuna popote kwenye maandiko ya kikristo (Agano Jipya) kumesema utoe fungu la kumi. Mtume Paulo...
Kama kweli mnasema waumini wenu wanapotoa fedha zao wanamtolea Mungu, mbona asilimia kubwa ya fedha hizo mnabaki nazo wenyewe na kuwafanya kuwa mabilionea ilhali hakuna muumini yeyote anayekuwa bilionea kwa kutoa pesa zake? Au huyo Mungu ndio ninyi wenyewe?
Najua wako wahubiri watapinga pendekezo langu lakini nipo tayari kuwajibu. Imani ya kikristo imegeuka kuwa genge la wezi. Kila kukicha anaibuka mtume au nabii na aya zake za biblia ( mostly taken out of context or not existing!) kuhamasisha kumtolea Mungu ( of course ni kumtolea huyu mhubiri!)...
Katika maandiko, Mtume Paulo anatoa mfano bora wa mhubiri ambaye lengo lake halikuwa kushawishi akili za binadamu bali kuhubiri kwa nguvu za Roho Mtakatifu. Paulo mwenyewe anasema katika 1 Wakorintho 2:4-5, "Na neno langu na kuhubiri kwangu hakukuwa kwa maneno ya hekima yenye kushawishi akili za...
Mshirika akiwa na uhitaji wa pesa anaambiwa inabidi aombwe maombi apate pesa au mafanikio lakini wahubiri wenyewe wa kisasa wakitaka pesa wanasisitiza sana washirika wamtolee mungu matoleo ya sadaka, Sasa kwa nini na wao wenyewe wasiombe na kumsubiria mungu awape baraka.
Kuna wengine wanatembea...
Biblia inasema muonye mtu muovu, la sivyo damu yake nitaitaka mikononi mwako. Ninyi wahubiri, manabii na mitume wa kisasa mnajua kweli nguvu ya jina la Yesu? Hi
li siyo jina la kutamka hovyohovyo. Unakemea sijui pepo sijui laana nusu saa nzima unataja jina la Yesu. Kwa jina la Yesu, kwa jina la...
Tatizo la umeme lilianza January Makamba aliitisha kongamano kubwa la matajiri na viongozi mbalimbali kwa fedha nyingi za serikali.
Tatizo la TANESCO lilipanuka pale ambapo wanasiasa akiwemo Naibu WAZIRI Mkuu Biteko alipoanza kufanya siasa na kuacha kusema kweli kuhusu undani wa tatizo
Tatizo...
Wanabodi
Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za kwa maslahi ya taifa. Topic ya leo, ni kutoa wito kwa Serikali yetu kuingilia kati kitu kinachoendelea kwenye baadhi ya makanisa ya wakovu yanayojinasibu kufanya miujiza, kutoa mapepo, kutoa uchawi na kufanya miujiza ya...
Wa Kimataifa/ toka Mataifa mengine ni hawa:
1. Kenneth Hagin
2. Kenneth Copeland
3. Smith Wigglesworth
4. Dr. David Oyedepo
5. Pastor Chris Oyakilome
6. Uebert Angel
7. T. L. Osborn
8. Gloria Copeland
9. F. F. Bosworth
10. Charles Capps
11. Norvel Hayes
12. Andrew Wommack
13. E. W. Kenyon
14...
Jina la Yesu Kristo linapotamkwa kutatua jambo kama ugonjwa, mauti, au kutoa pepo hutamkwa mara moja TU na jambo lile likatendeka. Iko mifano mingi kwenye Agano Jipya, mmojawapo ni ule wa Petro kumponya kiwete pale kwenye mlango wa hekalu. Hawa wahubiri wetu wa siku hizi wa kulitaja jina la Yesu...
Mtu na akli zake timamu kabisa anaenda kupanga foleni kupewa nguvu za kiume na muhubiri dini.
Hizi dini zinazidi kupoteza maana sababu ya tamaa za wanadamu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.