Mwanao GENTAMYCINE nakuomba kimya kimya agiza watu wako (hasa wa system) wafuatilie, nakuhakikishia Mheshimiwa Rais utaletewa taarifa za ajabu na za kusikitisha kuliko hata aliyoyafanya huyo Mhubiri mmoja mpumbavu, muhuni, mwendawazimu na gaidi wa Kenya.
Kuna mmoja anawaambia mabinti wapakae...
Nimepita mahala muda sio mfupi na kumkuta mtumishi mmoja wa bwana akitoa mahubiri yenye ukakasi kwelikweli huku akishangiliwa kwelikweli na hadhara yake,nimemsikia kwa masikio yangu mawili eti akisema wanawake wa sasa hivi wamekuwa mercenaries
Hii ni sawa kweli kumfananisha mwanamke na Wagner...
Nimetizama mahojiano ya huyu anayejiita mfalme Zumaridi na Mtangazaji wa Clouds, Millard Ayo na nimebaki na maswali mengi sana lakini kubwa ni kwamba ANATUCHUKULIAJE WATANZANIA?
Zumaridi anasema akiwa darasa la 3 alitokewa na Mungu akiwa na umbo la jua lakini usiku, kwa hiyo yeye aliweza...
Huwa najiuliza maana siku hizi huko kwenye redio na mikutano ya kikristo msisitizo mkubwa ni sadaka. Ingekuwa sadaka hizi haziwanufaishi hawa wahubiri( wao husema mtolee Mungu), wangekuwa kweli na bidii ya kutengeneza mafundisho haya (aghalabu mengi ni ya uongo na matisho tu) yenye msisitizo wa...
Rejea zako tu Kichwa cha Habari hapo juu kisha anza Kutiririka na Kuserereka zako.
Otherwise Asante Padre ( Kasisi ) wangu wa Misa ( Ibada ) ya Kikatoliki ya leo Saa 12 na Nusu Asubuhi hadi Saa 2 Kamili tu katika Kanisa la Mtakatifu Mikaela ( Michael ) Kawe ambapo hata CDF Mabeyo na Mkewe...
1. Hawajisifu balip humsifia sana Kristo na Baba Muumba ( Mungu )
2. Wanahubiri Kiustaarabu na hawapigi Kelele kama Walevi wa Gongo wa Kunduchi Mtongani au wa Kawe kwa Mapupu
3. Wanaenda mno na muda na Wanathamini sana Ratiba za Watu nje ya Ibada
4. Hawatuhimizi kila mara kutoa Sadaka bali...
Baada ya kuwazidi nguvu na kanisa lake kufurika watu, wahubiri wenzake wa Nigeria walimchukia TB Joshua bila sababu ya msingi.
Licha ya kutompenda lakini alizidi kuwa moto wa kuotea mbali duniani kote, kama ilivyokuwa kwa Magufuli hapa Tanzania baada ya wanafiki Chadema kujitokeza kutompenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.