Shida Kuu Simba Sports Club
1. Mwekezaji Mo na Uongo wake juu ya kuweka Tsh 20 Billion huku akifaidika zaidi na Timu kuliko Simba SC inavyofaidika nae
2. 90% ya Wajumbe wa Bodi ya Simba SC ni Wapigaji huku kila Mmoja akiwa na Mchezaji wake kwa ajili ya 10% na wasipoipata wanawalazimisha...
Kichwa cha uzi kinajitosheleza, wahusika chukueni hatua mapema.
Zege lilotumika cement ni kidogo sana, limeanza kubomoka kabla ya matumizi.
Screws, bati na zile bars miaka miwili tu zitakua zishahalibika na kutu.
Bunge la Iran limeidhinisha mapendekezo ya kutoa adhabu kali kwa wahusika wa ukatili dhidi ya wanawake, mapendekezo ambayo yanaweza kupitishwa na kuwa sheria ndani ya miezi michache.
Yakianzishwa zaidi ya miaka 10 iliyopita, majadaliano bungeni yalipelekea kupitishwa siku ya Jumapili kwa kanuni...
Leo katika kupitia pitia masuala ya nchi nakutana na article katika gazeti la mwananchi kuhusu ufisadi wa zaidi ya billion 80 kwenye ununuzi wa ndege ya mizigo. Kulingana na ripoti ya Mhasibu Mkuu na Mdhibiti (CAG) ya hivi karibuni, kasoro katika bei ya ndege mpya ya mizigo ya Air Tanzania...
Hii benki ya CRDB imekuwa na unyanyasaji kwa wateja wake. Kuna hili tawi lao la Usa-River lililoko wilaya ya Arumeru Halmashauri ya wilaya ya Meru mkoani Arusha kuna taasisi zinapitishia mishahara ya wafanyakazi wao kupitia hili tawi. Tatizo wafanyakazi wa hili tawi hukaa na mishahara ya...
Miaka ya nyuma baada ya hayati Benjamini Mkapa kuingia madarakani tulianza kusikia juu ya ukwapuaji wa pesa za umma uliofanyika. Moja ya watuhumiwa alikuwa ni Prof. Kighoma Malima ambaye alishafariki. Tukaanza kusoma kwenye magazeti kuwa alificha pesa nyiki huko Uingereza. Na baadae tuliskia...
Wakuu!
Jana asubuhi nilikuwa maeneo ya Kimara Temboni Upande wa kuelekea Mbezi huwa zinapaki Bajaji pamoja na Bodaboda kwa wingi, Kwa ndani kidogo kuna round about halafu kuna Mgahawa, nilienda kujipatia kifungua kinywa. Baada ya muda mfupi lilikuja basi la Mwendokasi lenye namba T 557 DWR...
Mti huu upo pale Arusha eneo linaitwa Mezaluna Kijenge, chini ya Gran Melia Hotel au Juu ya Impala Holet, hilo eneo ni kituo cha mabasi yanayoenda Nairobi(Shuttles).
Mti umekauka sana kiasi cha kuanza kuangusha matawi na kuleta taharuki, wananchi wamejaribu kuomba wahusika waukate lakini...
Nimpongeze Rais Samia kwa kuunda hii tume kuchunguza vyombo vytu vya dola nk.
Niombee tu mkimaliza huko tuna imani na nyie na mapendekezo yenu baada ya shuhuli tunaomba ikiwapendeza mumwombe Mh Raisi mkachungze wizara ya ardhi shida iko wapi na nini kifanyike wananchi wachwe kuporwa viwanja...
TFF ndio baba wa mpira Tanzania, ndicho chombo kikuu cha mpira nchini, ndio wenye mpira wao.
Kama TFF imethibitisha kuwa Fei Toto ni mali ya Yanga haitoshi kuishia hapo tu, bali lazima waseme ni nini kinafuata kwa wale wote (kama wapo) waliohusika na kufanya mazungunzo na mchezaji na hadi kumpa...
Ulishawahi kumuona kipofu barabarani akikosea njia,na pembeni kuna mtu mzima wa kumsaidia,lakini Cha ajabu badala ya kutoa msaada anasepa akijisemea Moyoni yupo mwingine atakayekuja kumsaidia!!
.....najua kila ck watu wanalalamika,na wahusika wanaona malalamiko kila ck!! Ila wanasubiri Hadi...
This picture speaks thousands words!.
Kuna vitu vikubwa vizuri hii picha inasema ambavyo havijaandikwa!. Inabidi uwe na observatory eagle eye kuviona!.
Kikawaida Political pictures zinafuata kanuni ya kidplomasia iitwayo reciprocity, wenyeviti wa vyama wakikutana ni wenyeviti.
Wenyeviti...
Viongozi wa madhehebu mbalimbali ya Kikristo wametoa ujumbe wa Krismasi kwa waumini wao, ukiwemo unaowataka viongozi wa Serikali kuwa makini na sifa wanazopewa na wateule wao kwa kuwa ni mbinu ya kuficha udhaifu.
Vilevile, wamewataka viongozi pamoja na watendaji watumie sikukuu hiyo...
Tar 4 nov 2022 waziri mkuu alizindua zoezi la ugawaji vishikwambi Kwa walimu na wadau wengine wa Elimu huko Dodoma,
Kwa hotuba ile na maelekezo Yale nilitegemea ndani ya wiki tu Vishikwambi vifikishwe sehemu husika!
Lakini mpaka Leo Kimya vipi kunani?
Ni siasa tu au wanasubiri uchaguzi ukaribie?
Loh
Habari za Kazi wana JamiiForums,
Katika thread hii nategemea tutaangazia ziara mbalimbali(Za nje ya nchi) za Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama Samia Suluhu Hassan na manufaa kwa taifa.
Leo tarehe 11 April 2021 Mhe Samia anafanya ziara yake ya kwanza nje ya Tanzania na ziara hii...
kimataifa
madaraka
mambo ya nje
mkubwa
nyumbani
president
rais
rais samia
rais samia suluhu
safari
safari za nje
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
urais
wahusika
Kwa sasa vitambulisho vya wanafunzi vinaweza kupatikana kirahisi sababu kuna namba za simu za shule ambazo zinaelekeza atakayeokota apige namba husika kutoa taarifa.
Ila vitambulisho muhimu kama vya uraia, leseni, kadi za benki na vinginevyo havina namba za simu za wahusika kitu ambacho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.