waislam

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Waislam msiwaite wenzenu makafiri,sio jina zuri

    Ndio, maana kimaana ya kugha ya kiswahili 'kafiri' ni mtu asiyeamini. Na hii ipo hasa kwenye hizi dini kubwa mbili duniani. Eti we muislam,mtu ambaye hakuzuii kujifuza dini yako,hakuzuii kufanya ibada,pengine mtu huyo ni mfanyakazi wako/boss wako/mama/baba yako n.k. je ukafiri wake ni upi ikiwa...
  2. Kwanini Waislam matajiri wanapenda ibada kuliko wakristo waliofanikiwa kifedha?

    Siku tqjiri wa kanisa alipoudhuria ibada za katikati ya wiki, akaudhuria na mkesha wa maombi makali japo masaa matatu mchungaji alipagawa. Akawa anamtambulisha mara kumikumi. Hii inaonekana matajiri wa kikristo hawategemewi kuwa siriasi na ibada kihivyo. Ndio maana hata mimi nikashangaa kuona...
  3. Huu mwezi mbona umeanza na nyuzi nyingi kuhusu waislamu. Wapumzisheni hawa ndugu zenu

    Yani wanaanza mfungo, mara ttiiii, nyuzi karibia laki 😂😂 Mishe mishe zao mwezi huu mnaona kama zinawakera? Anyway maisha yaendelee, mwanadamu ni zaidi ya dini ndio maana imemshinda.
  4. I

    Jinsi waislam walio wachache wanavyonyanyaswa nchini India na wahindu wenye itikadi kali

    Katika onyesho la kushangaza la kutovumiliana kidini, Wahindu wenye itikadi kali nchini India walibomoa nyumba ya raia wa Kiislamu kwa madai ya kuimba "Pakistan Zindabad" wakati wa mechi ya kriketi kati ya Pakistan na India. Kwa mujibu wa ripoti za vyombo vya habari nchini humo, tukio hilo...
  5. Waislam, Ramadan/Ramadhan Imekaribia , Kisiwe Kikwazo Kwa Dini Nyingine Hasa Masuala Ya Ulaji Na Mfumo Wa Maisha .

    Wale wanaofunga mnapaswa kuelewa kuwa si kila mtu anafunga, hivyo haipaswi kuwa ni sababu ya kuwahukumu wengine, kuwaita majina ya hovyo au kuwalazimisha dini nyingine au watu wengine kufuata mtindo wa maisha wa kufunga. . Jambo la msingi katika jamii zenye mchanganyiko wa imani. Ramadhan ni...
  6. M

    JAMANI WAKIRISTO NA WASIOKUWA WAISLAM. MNASUBIRI NINI?

    1. Maisha ya Waislamu Baada ya Kufa Kwa mujibu wa Qur'an na Hadithi, Waislamu waumini wenye matendo mema wanapokufa hupata neema katika hatua zifuatazo: a) Kaburi na Barzakh Waislamu waumini hupokea bishara njema ya Pepo wakati wa kufa: Qur'an 41:30-31 “Hakika wale waliosema: Mola wetu ni...
  7. Sudan hawana ndugu? Waliwakosea nini watu si waislam au WA Africa

    Amani iwe kwenu wakuu Kwani Sudan wana kosa walilokosea dunian hapa Wanachinjana kila siku tena maelf kwa mamia lakin husikii ostaz au padre akiwazungumzia, wala huwezi Kuta mwafirika au mzungu anawazungumzia Je walikosea nini hawa watu? Hawana ndugu? Mbona Kongo ikiguswa kidogo tu kila...
  8. D

    Na sisi wakatoliki tunaomba kilatini kiingizwe kwenye mtaala kama kiarabu kilivyo ingizwa kwa ajili ya waislam

    kwa sisi wakatoliki tunaitaka serikali ya dr. Samia, aingize kilatini katika mitaala yetu. Japo najua kiarabu kitafutwa siku raisi mwingine akiapishwa.
  9. Konganano la Mwinyi Baraka: Uislam, Waislam na Uzalendo

    https://youtu.be/flAHcqxtR2s?si=PHKyLVAvpsOunFa5
  10. Pamoja na kuwa na kalenda yao, na dunia kuwa na AI kuweza kutengeneza kalenda isiyofugamana na imani hizi kwanini waislam hutumia kalenda ya kikristo?

    Japo haijulikani wala kupewa umuhimu na kila mwanadamu, waislam wana kalenda yao. Waliamua kuwa na kalenda yao wakidukua Ukristo ulioanza kuhesabu tangu alipozaliwa Yesu. Pamoja na yote hayo, kwanini waislam, kisheria, wanatumia kalenda ya Kikristo? Je ni halali kwa mataifa yote kutumia...
  11. M

    UCHAGUZI CHADEMA UNATUFUNZA NINI WAISLAM?

    Mtume Muhammad (SAW) alitoa muongozo thabiti kuhusu namna ya kupata kiongozi wa jamii. Uongozi katika Uislamu ni jukumu kubwa na ni amana inayopaswa kutekelezwa kwa haki, uadilifu, na unyenyekevu. Muongozo wa Mtume (SAW) unajikita kwenye sifa za kiongozi, njia ya kumchagua, na maadili ya...
  12. Wokovu kwa ndugu zangu waislam

    Swali: Je, Uislamu unahakikishia wokovu wa mtu kwa hakika, au kuna kutokuwa na uhakika kuhusu hatima ya mwisho ya kila Mwislamu? Katika Uislamu, wokovu unategemea mizani ya matendo mema na mabaya (Sura Al-Zalzalah 99:7-8). Hata hivyo, hakuna Mwislamu anayehakikishiwa pepo, isipokuwa wale...
  13. Injili kwa ndugu zangu waislam

    Quran inasema injili na torati ni neno la Mungu na inakumbusha kuwa hakuna mwanadamu anawezakubadili neno la Mungu. Unaposema Bibliia iliaribiwa unakuwa kinyume na Quran, maana kwa mujibu wa Quran huwezi kuaribu neno la Mungu. Mungu aliumba mwanadamu kwa mfano wake, inaposema Mungu afanani na...
  14. Nawaonea huruma waislam waliofariki wakidhan wanapigania dini kwenye biashara za watu.

    Masheikh na vijana wa kiislam walioingia kichwa kichwa wakidhan maeneo mbali mbali ni vita ya dini ila ukweli. Leo ni ajabu neno jihad na friendly linawekwa kwenye sentence moja Wito wangu kwa vijana wa kiislam, 1. Fanya ibada zako. 2. Tenda haki, usidhulumu wala kudhulumiwa 3. Jiimalishe...
  15. Waislam wana nia ila hawana mipango. Kinachoendelea Syria ni ushahidi tosha

    Ni rahisi muislam kushawishika na kua na nia, kuatayari kujitolea au kupigania dini bila ya kua na mpango unaoeleweka. kwa sababu hiyo, watu wenye mipango wanawatumia sana waislam kwa kigezo cha itikadi kutimiza mipango yao. Ukiweza kushika kisha cha kiongozi wa kiislam akawaaminisha waislam...
  16. Kwanini Waarabu wanapendaga vurugu sana

    Wazungu ni watu wakuwapigia sana saluti wamevumilia waarabu na ndugu zao waislam naona sasa kutafika kipindi wataanza kuwaua hadharani Vita vinapigwa palestina na lebanon weo wanaandamana Canada kwa kuvunja maduka ya watu na kuunguza magari ya watu eti free palestina huu sio ujambazi ? Wao...
  17. Kitanda hakizai haramu wewe ni wa nje ama ndani ya ndoa..nini haki zako kama mtoto wa nje ya ndoa kwa waislam na wakristo...

    wapendwa mwenye kujua haki za watoto wa nje ya ndoa tupeane madodosoo hapa kwa dini zotee maana watoto wa nje ya ndoa wanaongezeka kila iitwapo leo vyema nao wakajua wazazi wakifa nn maslahi yao kufwatana na dini za wazazi wao kazi kwenu wapendwa... Operation okoa mtoto wa nje ya ndoa
  18. M

    Waislam waruhusiwe kwenda Msikitini leo Ijumaa

    Baadhi ya waislam siku kama ya Leo saa 7 wapo ktk vikao badala ya kwenda msikitini . Saa 7 vikao visitishwe Vikao virudi tena saa 8 mpaka usiku wa manane Baadhi ya mabosi huanzisha vikao siku kama ya Leo wakijua waislam wanatakiwa waende msikitini. Vikao vitoe fursa saa 7 msiktini saa 8 na...
  19. Wakristo waliotokea mikoa isiyo na Waislam wengi wana uelewa potofu juu ya Uislam na Waislam

    Katika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam. Wanawaona kama wako Backwards au wakizamani. Wapo wanaoamini ukimuona Sheikh kafunga ndevu bas ujue anamajini 12...
  20. Kitendawili cha BAKWATA na Serikali BAKWATA na Waislam 1968 - 2024

    Baada ya uhuru mwaka wa 1961 palizuka hofu kubwa sana ya kuogopa Uislam na Waislam Tanganyika. Mwaka wa 1963 ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya TANU Ukumbi wa Karimjee palizuka ugomvi kati ya Bibi Titi Mohamed na Julius Nyerere kuhusu EAMWS. Haukupita muda mrefu Baraza la Wazee wa TANU...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…