Mchengerwa peke yake ndio amethibitisha kwa waislam wote walioapishwa leo, naye ni kwasababu alikuwa hakimu, anaelewa. Kisheria, waislam tumezoea huwa hawaapi, wanathibitisha. Wakristo ndio wanaapa. Au kuna exception?
Nipo naangalia mahubiri kanisa la rise and shine naona wanawake wengi wa kiislam wengi ndio wanatoa ushuhuda wa kupitia magumu kwenye maisha.
Kweli yesu ni jibu.
USSR
Tafiti zimeonyesha binadamu meenye matatizoya figo anaweza kupona kwa kupandikiziwa figo ya nguruwe,
Kuna dhehebu linaitwa mashahidi wa yehova, hili dhehebu linazuia mtu wa dini hiyo kuongezewa damu,
Je waislam mtakubali kupamdikiziwa figo ya nguruwe?
=====
Figo ya nguruwe iliyopandikizwa...
SHEIKH MSELEM BIN ALI ALITUNUKIWA NISHANI NA WAISLAM AKIWA KIFUNGONI 2014
Katika mkutano wa mwaka uliofanyika Pongwe, Tanga mwaka wa 2014, Jukwaa la Vijana wa Kiislam Tanzania walimtunuku Shekh Mselem bin Ali Nishani Maalum kwa mchango wake katika kuisomesha Qur'an Tukufu.
Kwa kuwa Sheikh...
Vyanzo kutoka Iran, Vinasema kutatua mgogoro wa wa Karne nyingi kati ya Israel na Palestina ni kupiga kura miongoni mwa wakazi wote waishio katika maeno ya mgogoro wa kiuraia, utamaduni au udini.
'Lengo letu 'Wairani' wa utatuzi kwa Wapalestina ni kuitisha kura ya Maoni kwa kuwajumuisha jamii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.