waislam

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Feld Marshal Tantawi

    Ndugu zangu Waislam mtaniwia radhi kidogo

    Hili suala la Bandari naona baadhi yenu mmelibeba katika namna fulani ya UDINI, kila nikimuangalia kiongozi wangu wa KIISLAM akisimama mahali analizungumzia katika upande wa UDINI. Sikilizeni, TEC imejaa watu wenye ELIMU kuanzia ya Elimu Dunia hadi elimu ya DINI (THEOLOJIA), ndo maana utasikia...
  2. Ngongo

    Lini Wananchi walishirikishwa kukabidhi chuo cha TANESCO kwa Waislam?

    Rais wa awamu ya tatu mkristo Mkatoliki alikabidhi chuo cha umma (TANESCO) kwa WaIslam bila kupata baraka za wananchi. Ndugu zetu WaIslam hawana utaratibu wa kujenga vyuo kwaajili ya elimu dunia,wamewejeza zaidi elimu ahera. Kwakuwa chuo bado kipo na utaratibu wa kuwakadhi haukupata baraka za...
  3. M

    Hawa ndio waliosababisha waislam wakauwawa pale mwembechai

    Baraza la maaskofu wa katoliki (TEC) ni kikundi cha wahuni na wanasiasa na wanaharakati waliojificha kwenye kivuki cha kanisa. Nimesoma zaidi ya mara tano malengo ya kuanzishwa kwa TEC mbali na kufanya majukumu ya kiuchungaji sijaona wapi wanatakiwa kufanya siasa wanazifanya sasa. TEC ni...
  4. J

    Waislam wa Pakistan wachoma moto Makanisa na nyumba za wakirsto Tarehe 15 Agosti, 2023

    Fikiria Taifa la Pakistan ambapo Jamii ya Waislam ndyo wengi takribani 98% wakati Wakristo ni asilimia 1.5% tu, halafu bado Jamii hiyo ya Waislam walio wengi hawaonyeshi huruma hata kidogo kwa wenzao ambao wingi wao ni kama tone la maji kwenye ndoo ya lita 20. Kwa taarifa tu ni kwamba nchi ya...
  5. FaizaFoxy

    Waislam tumedanganywa kwa miaka mingi sana. Tuamke, tufanye siasa misikitini na popote pale

    Waislam kwa miaka mingi sana tumejazwa ujinga kwa makusudi kabisa kuaminishwa kuwa ni mwiko kuchanganya siasa na dini. Huo ni uongo na tumekuwa tukijazwa ujinga "brainwashed" kuamini hilo. Uislam haujatukataza popote kufanya siasa. Uislam ni mfumo kamili wa maisha ya binadam. Tusidanganywe...
  6. Pang Fung Mi

    Tusiingize mambo ya Dini, Mkataba wa Bandari ni aibu na ni Najisi kwa Sovereignty ya nchi yetu

    Wasalaam, Kwenye hili la mkataba wa bandari kuna dalili ya baadhi ya watu kujivua koti la uraia na uzalendo. Jamani akili ya uhai itumike Kwa mkataba wa kizuzu kama ule kisa tu ukichaa wa dini na kuwaaabudi waarabu kweli tunakuwa vipofu kiasi hiki. Penye kweli ibaki kweli hizi dini zimeletwa...
  7. FaizaFoxy

    Madinah sasa ruksa kwa wasio Waislam kutembelea bila vikwazo. Jionee safari ya Kutoka jiji la Jeddah kuelekea Madinah

    Nimeipenda sana hii safari ya wasio Waislam wakielezea na wakionesha wepesi wa safari yao kutokea jiji la Jeddah kuelekea Madinah. Na chini hapa wazungu wengine , watu wazima kidogo, wakishangaa zaidi na walichokutana nancho Madinah: Tena sasa kuna "virtual tour" ya Madinah, bofya chini...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Maeneo ambayo Waislam wanawapiga Bao Wakristo

    MAENEO AMBAYO WAISLAM WANAWAPIGA BAO WAKRISTO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Watibeli tunazichukulia dini kama shule na vyuo ambavyo hupika wafuasi wao na kutengeneza imani kupitia mafundisho Yao. Watibeli tunajua dini zote lengo lake ni Maadili na sio zaidi ya hivyo. Watibeli tunajua Dini...
  9. sky soldier

    Case study: Tangu nikiwa mdogo ni kawaida kukuta watoto wa kikristo wana malezi ya wazazi wote ila kwa waislam ni mama tu, nini chanzo?

    Walengwa ni watoto ambao wazazi wao walifunga ndoa, Ukweli familia nyingi za kiislamu watoto kukua na mama bila baba kuwa karibu ni kawaida sana Nilianza kuyaona haya nilipofika darasa la tano, nakumbuka nikiwa naenda kwenye nyumba ya rafiki yangu wa kiislam kwenda kucheza game namkuta mama...
  10. mdukuzi

    Waislam wa Bara hawajui kibla kiko wapi? Inakuwaje msikiti unaelekezwa Ulaya?

    Kweli nimeamini uislam uko Zanzibar, Pwani na Ujiji. Niko mkoa Fulani huku Bara kuna msikiti unaelekezwa ulaya na si Kibla kama ilivyozoeleka. Ni nadra Sana kukuta kosa kama Hili huko Pwani
  11. LA7

    Waislam hizi sheria mbona hamzifuati tena, au kuna agano jipya?

    1. Kukata kucha siku ya Alhamisi. 2. Kutokula kwa kutumia kijiko. 3. Kutokula ukiwa umekaa kwenyekiti. 4. Kutokula kwa mkristo a.k.a kafiri kwa hofu ya kulishwa kwa vyombo vilivotumiwa kwa kupika nguruwe au nyamafu. 5. Kutokwenda nyumbani au kuongea na mtoto wako aliyeamua kubadili dini. 6...
  12. kavulata

    Waislam Tuendelee kufunga na kufungua kwa kuona mwezi?

    Daah!! Mufti wa siku hizi Wana Smart phones, television na radio nyumbani, ofisini, kwenye simu na kwenye magari yao. Je, Tuendelee na utaratibu wa kufunga na kufungua kwa kuuona mwezi kwa macho yetu hapa mtaani kwetu? Ni kwanini mtume alihimiza Waislam waitafute elimu hata uchina? Uchina hakuwa...
  13. Dasizo

    EID Mubarak Waislam wote

    EID Mubarak Waislam wote popote mlipo. Ikawa sikukuu njema yenye amani, furaha na mafanikio ya kumpendeza Mungu.
  14. Baba jayaron

    Je, ni kweli kuna uwezo wa kiimani (dini) unaoweza kumbadilisha mtu na uraibu wa kitu fulani?

    Asalaam, Bwana asifiwe... Niende kwenye mada inayonichanganya saana hasa kipindi hiki. Nahitaji shughuda wa KWELI kutoka dini zote atakae zungumza ukweli pasipo uoga wa nafsi yake katika imani yake... Ni hivi je ni kweli kuna uwezo wa kiimani (dini) unaoweza kumbadilisha mtu tabia (addiction)...
  15. Hemedy Jr Junior

    Kwanini waislam wamuandame Wema Sepetu kisa kimpost Whozu?

  16. Pang Fung Mi

    Hivi Kuna uhusiano gani Kati ya uislamu na usafi hasa kwa wanawake waislam

    Hello JF, 👇👇👇 Mara nyingi kama sio mara zote mwanamke wa kiislamu ni msafi zaidi kuliko hawa wa dini zetu za magharibi, haswaa mifano hii ni kwa wanawake ambao hawana tabia mbaya kam ufuska ama uzinzi, usherati na ulevi. Mazingira wezeshi yawe sawa hawa wote wapatikane mazingira ambayo maji...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    Nawatakia Waislam wote Ramadhan njema, haya ni yangu machache

    NAWATAKIA WAISLAM WOTE RAMADHAN NJEMA, HAYA NI YANGU MACHACHE. Anaandika, Robert Heriel Kuhani katika Hekalu Jeusi. Ninapenda kuwatakia Waislam wote Ramadhan njema. Mwezi huu ni muhimu katika dini ya kiislam kwani inaaminiwa kuwa ndio mwezi ambao Quran tukufu ilishushwa Kwa mara ya Kwanza...
  18. LA7

    Nyumba niliyokuwa naisifia, leo nimeletewa jipya

    Hii nyumba nilijiona ni kama nina bahati ya kupangisha hapo maana toka nihamie huu ni mwezi wa tatu lakini sijawahi nunua umeme na kodi nimelipa tu ule mwezi wa 2 nyuma sikulipa lakini kwa habari nilizozipata. Nitawaletea mrejesho nikisha fanikiwa kuhama maana nasikia ukishapangisha hapo...
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kwanini Waislam wengi hawana majina ya kiasili?

    Utakuta mtu anaitwa Juma Mohamed Said. Yaani hata kutumia jina la babu ambalo ni la kiutamaduni hamna, why? Au wenzetu koo zenu zinatokea mashariki ya kati? Afrika Magharibi Waislamu wengi tu wanaitwa kwa majina ya asili yao tofauti na huku Afrika Mashariki Afadhali Wakristo utakuta mtu ana...
  20. D

    Dodoma: Mapokezi ya Alhad Musa Salum yazua Taharuki, Waislam Wamwandikia barua Mufti

    Barua ya Wazi Assalaam Alaykum, Sheikh Mkuu, Mufti wetu wa Tanzania, nimeguswa kukuandikia barua hii ya wazi ama kwa kuhoji na kutaka ufafanuzi, ama kwa kushangazwa na nilichokiona. Kama nilivyoshangazwa, nimefuatilia kwa ndugu zetu wengi katika imani, ama kwa hakika, tukio ninalolileta kwako...
Back
Top Bottom