Wasalaam JF
Nimekoshwa sana na hulka na tabia ya wanawake waislam, wadada, wamama na mabinti ama kweli kama dini imewapa maarifa mema sana, mna heshima, mnajua kujishusha, kuomba radhi hamchoki, unyenyekevu na utii, heshima, adabu, usikivu pia hadi raha.
Mungu awatie nguvu mshichoke wala...
Kwetu wakristo tukiachana mali huwa zinagongwa pasu kwa pasu, ni maumivu juu ya taabu?
Kwa upande wa pili ni kwamba dr mwaka hana wajibu wa kugawa mali ?
NI MAVAZI AMBAYO MTU HAWEZ KUVAA MBELE YA BABA YAKE MZAZI LAKINI ANAONA NI SAWA MBELE YA BABA MTAKATIFU .!!
Imeshakuwa kama kawaida sikuhizi wakristo kuhamia rasmi mavazi kulingana na tamaduni za wazungu na sio maandiko, mavazi haya yasiyositiri yamechangia kuleta mmonyoko wa maadili kwa...
Ni vitu ambavyo hata kwenye biblia vimekatazwa lakini mataifa mengi ya kikristo kwa sasa yamemezwa na utandawazi, imehakuwa kawaida sasa kiogozi mkubwa wa kikristo anatoa ushirikiano badala ya kukemea vitendo kama mapenzi ya jinsia moja, huko makanisani nako ishakwa kawaida wanawake kavaa nguo...
Unakijua king'ora?
Sio kile cha zimamoto au msafara wa wakubwa.
Nikiwa mdogo pale bandarini ikifika asubuhi nuda wa kazi kinapigwa mji mzima wa mzizima mnakisikia.,
Mchana pia lunch break kitapigwa.
Na alasiri jumaliza kazi kitaoigwa
Mwaka jana nikiwa unguja nilikisikia,tena chao kikali...
Kama mnavyoona na na kusikia.
Habari ndiyo hiyo. Sijui hizi dini zinatupeleka wapi.
By the way ni vitu ambavyo havitakiwi kudekezwa hata kidogo.
Bahati mbaya politicians wetu huwa wanatumia advantage za kidini na ukabila kushawishi watu. Jambo ambalo siyo Sawa hata kidogo.
Tujadili kidogo.
Wafanyabiashara wengi Kama sio waislam ni wakristo.
Lakini wengi sio waaminifu. Wanatumia juju na uchawi, wanaforce kupata faida isivyo halali, kukwepa Kodi na kukwepa taratibu rasmi
TATIZO linatoka wapi ikiwa Yesu alikuwa mfanyabiashara wa samani(furniture) lakini hakutenda...
Ifike mahala jamii ikubaliane na uumbaji wa Mwenyezi Mungu na namna alivyomuumba mwanaume.
Nchini Chad, unaweza kuoa zaidi ya mke moja hata kwa ndoa ya kikristo, hali hii imepelekea zaidi ya nusu ya wanaume wenye imani ya kristo kuoa zaidi ya mke moja....kuna asilimia kubwa ya wanaume wakristo...
Leo tarehe 1/5/2022 Rais akiwa anawahutubia wafanyakazi Dodoma katika siku muhimu ya wafanyakazi duniani, ilitokea kusitishwa hotuba Kwa dk kama 3 na Rais pale Adhana ya mchana ilipokuwa ikisika kutokea msikitini karibu na uwanja wa Dodoma.
Hivi wadau wa utaifa hili lilipaswa kufanywa na Rais...
Mwaka jana muda kama huu nilikua nachagua sehem ya kwenda kuiftar mana kwa siku nilikua napata mualiko kama 3 hivi.
Mwaka huu toka ramazan ianze sijapata mualiko, waislam wameanza kua wachoyo. Sijapenda kabisa hii tabia yao. Wiki hii ramazan inaisha ata mualiko wa uongo uongo hakuna. Kama...
Kwa utafiti niliuoufanya Waislam walio wengi hawafungi ramadhani, wengi wana pretend ili kuondoa aibu kwa wenza, majirani, marafiki, wazazi n.k
Yani ile kwamba watanionaje?
Ila ukweli wa dhati ni kwamba watu wanabonyea kama kawaida ila kwa kujificha saana.
Mungu hachezewi ipo siku tutajutia...
Wsalaam wana JF
Hakika sasa swaumu nyingi zipo malangoni mwa Mwenye Enzi Mungu. Wote kwa pamoja,wakristo na waislaam.
Mungu mwenye rehma atufanyie wepesi, autujalie riziki njema, atuondolee sukuma gang na bashite, amtunze mama yetu na kumpa hekma na subra.
Tafadhali ongeza sala yako...
Niwatakie mfungo mwema.
Nimesikia kwenye kipindi cha njiapanda leo huyo mdada alikaribishwa na mwenyeji wake huko dar, lakini juzi wakati mfungo unakaribia mwenyeji wake akamwambia aondoke maana mfungo unaanza!
Sasa mwezi mtukufu na kutimua wageni inakaaje kaaje hii? Ukizingatia mgeni mwenyewe...
Kwema Wakuu!
Nimewakumbuka Sana! Hivi wako wapi? Mko wapi? Tafadhali naombeni mnijibu!
Taikon nitawarudisha na kuwapeleka mpaka kijiji cha Makanya huko nilikozaliwa, pengine labda Waislam hao ndipo walipokuwa wanapatikana lakini hapana, nilibahatika kuwaona wakati Fulani nilipoenda Morogoro...
Nimemshangaa Mufti Abubakar Zuberi kwa maneno yake baada ya kukutana na Mhe Rais kuhusu Mhe Freeman Mbowe. Yaani kiongozi mkubwa kama mufti unaongea maneno ya uoga uoga na kujipendekeza eti Rais awasamehe kina Mbowe eti wakirudia tena wachukuliwe hatua.
Yaani kiongozi anayewaza adhabu tu...
Ni utaratibu mzuri sana wa kuwahi kuzikana, ukikata moto asubuhi mchana tunazika
Ila nina hakika kuna watu wengi wameshazikwa Ili hali wakiwa wamezimia au wakiwa kwenye coma, hasa vijijini pasipo na hospitali na daktari wa kuthibitisha kifo.
Kuchelewa kuzika ni mbaya ila ina faida zake...
Hello JF members Mugona Vihi?
Niende kwenye story, Mimi ni Mkristo, ila katika maisha yangu na safari ya mahusiano, macho yangu na nafsi yangu imetokea nawapenda na navutiwa sana na wadada na mabinti waislam na wao pia huvutiwa na mimi na huwa nadumu nao kwenye mahusiano.
Tofauti na hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.