Naifikiria sana hii kitu pale mtu anapoachwa wiki nzima hajazikwa, huwa inakuwaga huzuni mara mbili kwa wafiwa.
Solution ya hii kitu nimegundua ni mtu kuzikwa fasta fasta na sio kuchelewa zaidi ya siku mbili.
Mwaka jana kwenye family yangu kuna mtu aliumwa kinoma, nikajisemea hapa akifa nazika...
1. Unazini mwaka mzima ukija Mwezi huu ulivyokuwa mrahibu wa ngono unaharalisha ufuska wako kwa kuoa single maza ambaye unaachana nae miezi mitatu baadae (ungefunga ngono badala ya chakula ungekuwa umefanya cha maana)
2. Kila siku wala kwa meza migahawani ila leo eti unataka wakuwekee kwenye mkeka
Polisi wa Kiislamu katika jimbo la Kano, kaskazini mwa Nigeria wamewakamata Waislamu 20 waliokutwa wakila mchana hadharani wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan ambapo pia Watu watano wamekamatwa kwa kuuza chakula huku Naibu kamanda wa Polisi Mujahid Aminudeen akisisitiza kuwa msako huo utaendelea...
Yani wanaanza mfungo, mara ttiiii, nyuzi karibia laki 😂😂
Mishe mishe zao mwezi huu mnaona kama zinawakera?
Anyway maisha yaendelee, mwanadamu ni zaidi ya dini ndio maana imemshinda.
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
Sipo hapa kwa kubeza wala kukejeli nataka kupewa elimu kutoka kwa muislamu aliyesoma Quran tukufu ambayo ndio muongozo wa muislamu na usinilete hadithi kutoka muslim na tilmizu eti alimsikia mtume akisema hapana.
Nataka kwa mwenye andiko kutoka kwenye kitabu...
Isingekua kwa huyu mwamba wazungu wangesilimishwa kwa mapanga, leo bara Uropa lingekua la hovyo limevurugwa kama ilivyo Mashariki ya kati na maeneo mengine yenye hii dini.
Hii ilikua enzi ambapo uislamu ulikua unaenezwa kwa mapanga na walijaribu kushambulia Uzunguni ila wakakuta pagumu.
Huwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Taifa letu linaendelea kuwa lenye baraka na Neema kwa sababu linaongozwa na kiongozi Mwenye hofu ya Mungu, kiongozi Mcha Mungu,kiongozi mnyenyekevu, kiongozi mwenye kuishi Maisha yenye kumpendeza Mungu, kiongozi mwenye mikono safi na matendo safi ,kinywa safi na matendo...
Apartheism is a lack of interest or concern whether or not God exist.
Ukitazama matendo ya watu wanao jiita wakristu na waislamu utaona kabisa yanasadifu " Apartheism" . Matendo yao hayaonyeshi concern wala interest kwamba Mungu yupo.
Ingekuwa kinyume chake basi kusingekuwa na : wazinzi...
Karibu taasisi zote za dini ya kikristo zilizojikita kwenye sekta ta elimu zimekuwa busy mnoo kuusoma, kuuelewa, kujiandaa na kuwaandaa watumishi wake namna ya kwenda sambamba na ujio wa mtaala (sera) mpya wa elimu. Jambo hilo limekuwa likifanyika vivyo hivyo kwa jamii za waumini wa kikristo. Ni...
Kama tunavyojua kuwa athari ya uislamu uliohuishwa na Muhammad rehma na amani zimshukie ziianza Makka halafu Madina na baada ya hapo zikaenea kila sehemu ya dunia kwa njia moja au nyengine.
Bila kwenda ndani sana na kutumia muda mwingi ni kuwa kutoka Madina Uislamu ulikuwa na makao makuu yake...
Kiongozi wa waislamia duniani ajulikanaye kama HH The Aga Khan amefariki dunia akiwa na Umri wa miaka 88.
Kwa Tanzania, Aga Khan atakumbukwa sana kwa kujenga miundo mbinu mizuri sana ya kutoa huduma za afya na elimu. Shule za Tambaza (Dar), Mkendo (Musoma), Mzizima (Tanga) ni baadhi ya shule...
Huko Sengal na Gambia kuna tawi la imani ya Kiisalmu lenye umaarafu na ushawaishi mkubwa maeneo hayo linaloitwa "Baye Fall" ambalo lilianza zaidi ya Karne moja iliyopita.
Hawa Waislamu wa Baye Fall walichipukia kutoka kwa sheikh mmoja aitwaye Ibrahima Fall wa mrengo wa Kisufi miaka ya 1880's...
Kwenu Waislamu
Ingekuwa ni msikiti hapo, dunia ingekuwa imetokwa jasho kwa kelele za Waislamu mitandaoni.
Huo wala sio mujiza kwangu, jengo halijashika moto sababu ya uimara wake na pia limejengwa na saruji. Miji mingi Marekani imejengwa kwa mbao, hivyo ni rahisi kushika moto.
Waislamu...
Dr. Zakir Naik, anasema kwamba hauwezi ukawa musilamu kama haumuani Yesu Kristu. Waislamu na Wakristu wanafanana katika mengi lakini utofauti ni pale wanapoamini kuwa Yesu Kristu ni Mungu ... Anachosema ni kuwa ukisoma biblia hakuna sehemu yoyote inayosema kuwa Yesu Kristu alisema yeye ni Mungu...
Habari wadau.
Binafsi ni mkristo. Ila nimependa sana utaratibu uliowekwa kwenye makaburi ya waislamu Tabata segerea.
Kanuni yao namba moja ambayo inakataza kujengea kaburi ni nzuri sana.
Heri ya sikukuu ya mwakampya kwa wakristo wote
Waislamu wengi husherehekea Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Kidunia (Januari 1), ingawa sherehe hii si ya kidini kwao. Kwa Waislamu, mwaka mpya huadhimishwa kulingana na kalenda ya Kiislamu (Hijria), ambapo mwaka mpya wa Kiislamu huangukia katika mwezi wa...
Katika miongo ya hivi karibuni, Ulaya imekuwa ni eneo la mchanganyiko wa tamaduni, ambapo mamilioni ya wahamiaji kutoka sehemu mbalimbali za dunia wamekuwa wakielekea huko. Miongoni mwao, kuna idadi kubwa kutoka nchi zenye Waislamu wengi, wakiileta tamaduni zao mbalimbali na mitazamo tofauti...
Mwaka 2021 alipo kufa kiongozi wa nchi afande sele Alimtukana mungu akina kishki sure kipozeoo wanaojiita mashekhe walimsomeaa dua jee afande alikufaa? Au Allah hana uwezoo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.