waislamu

The National Muslim Council of Tanzania is an Islamic organisation based in Tanzania. It is well known by its Swahili acronym BAKWATA.
BAKWATA is a well-established faith-based Islamic organisation registered since 1968. The Council has branch offices all over Tanzania with a network from the national to grassroots level with 22 regional and 169 district offices served by over 3000 sheikhs.Around 10,800 mosques run under its co-ordination. It owns around 40 acres of land in
each of its 22 regions and it has 32 secondary schools, two teachers’ colleges, 30
theological colleges, and a radio station and support numerous madras schools.

From the
late 1990s, BAKWATA has organised and facilitated training for its Muslim scholars on
environmental issues.
Ongoing work on environmental issues includes: environmental education for madras
pupils in 10 coastal districts, environmental education and management clubs in 10
secondary schools owned by BAKWATA and spreading the use of environmental
theological materials in religious ceremonies and sermons on Friday prayers for more
than 80 imams and sheikhs throughout Tanzania.
from 2016 BAKWATA is Offering free education under Mufti Office. this special knowledge is offered to Islamic Imams and Qur an Teacher In Several Centers in different region
the course is aimed to empower them in computer and information Technology and conflict arbitration

the headquarter of BAKWATA is in Kinondoni shamba area, Kinondoni district, Dar es salaam Region

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Wanaotaka Sharia katika nchi za Uingereza na Ujerumani ni wakati sasa kutilia maanani onyo analotoa Mosab Youssef?

    Nawakaribsha wana JF msikilize wenyewe hotuba aliyotoa mtoto wa mmoja wa founders of Hamas, aliyoitoa kwenye Bunge la Ulaya. Kwa kifupi jamaa huyu anauonya umoja wa ulaya kuwa dhana nzima ya utaifa wa Palestine ni njama ambazo Yasser Arafat akisaidiwa na KGB ya Soviet Union walibuni kwa...
  2. Mindyou

    Maelfu ya Waislamu wenye msimamo mkali waandamana Ujerumani wakitaka uwepo wa Sheria za Kiislamu (Sharia Laws)

    Impact za illegal and mass migration zimeanza kuonekana huko Ujerumani na hii ni baada ya maelfu ya waislamu kuonekana wakiandamana huko Ujerumani wakitaka kuwepo na sheria za kiislamu kwenye nchi hiyo yaani Sharia Laws. I have no words, video inajieleza! Soma Pia: Wakristo wa Yemen...
  3. U

    Kwanini Waislamu wa madhehebu ya shia duniani hawamkubali sana Bi Aisha mkewe Mtume Mohamed

    Kwanini Waislamu wa madhehebu ya shia duniani hawamkubali sana bi Aisha mkewe Mtume Mohamed Wadau hamjamboni nyote? Tafadhali pitia maelezo zaidi hapo chini kutoka Wikipedia The Shi'a view of Aisha is generally unfavourable. This is primarily due to what they see as her contempt for the Ahl...
  4. Yoda

    Kwanini wanawake Waislamu hawaruhusiwi kwenda makaburini kuzika wapendwa wao?

    Kwa nini wanawake Waislamu hawaruhusiwi kushiriki shughuli muhimu za maziko kama hata kwenda makaburini kuzika wapendwa wao?
  5. masopakyindi

    Sasa hivi viongozi WOTE wa juu ni waislamu, Zanzibar iingie OIC- by mzanzibari mkorofi.

    Nimeona clip ya mzanzibari aliyechoka kimawazo akitaka Zanzibar sasa iwe nchi ya kiilamu rasmi na iingie OIC, Nchi za umoja wa Kiislamu. Jamaa huyu anasema Rais Samia muislamu, Rais Mwinyi mwislamu, waziri mkuu Mwislamu , waziri mambo ya ndani mzanzibari mwislamu, waziri wa mambo ya nje...
  6. MK254

    Wahindu wa Bangladesh waonywa na waislamu wasithubutu kusheherekea mambo yao

    Unafiki wa waislamu, wao wanalazimisha sharia zao uzunguni, wakiguswa kidogo hung'aka sana, ila wao wachokozi, wana ugomvi na kila dini dunia hii, mavita vita kila mahali na ukizingatia uislamu ndio dini changa kati ya zote, dini iliyobuniwa miaka 500 baada ya Yesu, kabla hapo hakuna sehemu...
  7. Mkunazi Njiwa

    Sheikh Mkuu wa Tanzania: Muislam hajiendei endei tu,bila amani na utulivu hatuwezi kufanya Ibada zetu na kuishi vyema

    Amani na utulivu.. Ametuasa TUSIJIENDEE ENDEE tu....tusifuate mambo bila kujua undani wake..... Tusipelekwe pelekwe tu kwani Uislam unataka tutumie vyema matumizi ya akili..... Amesema ,tufahamu UMUHIMU WA AMANI na UTULIVU katika nchi. #Nchi Kwanza😍 #Uwe na uchungu na nchi yako 😍
  8. K

    Ni upi ushiriki wa waislamu kuchinja katika machinjio za kisasa?

    Wakuu Inaaminika na kuheshimika katika jamii yetu hii kwamba walio na mamlaka ya kuchinja ngombe na mbuzi ni waislamu pekee ambapo hali imekuwa hivyo na tunaishi kwa amani Lakini pia waislamu hawaruhusiwi kula kitoweo kilichochinjwa na mtu ambaye si muislamu, wakristo wanaheshimu na imekuwa...
  9. Webabu

    Erdogan ahimiza umoja wa waislamu duniani kupambana na Israel.

    Kwa mara nyengine tena raisi wa Uturuki ,Tayyib Erdogan amekuja na pendekezo la kupambana na Israel ili kuwatetea wapalestina na kujikinga na hatari za kujitanua kwa Israel kwenye maeneo ya waislamu. Pendekezo hilo amelitoa hapo juzi kwenye hafla ya shule moja ya kiislamu nje kidogo ya jiji la...
  10. Webabu

    Hamas yatoa takwimu za misikiti na makanisa yaliyoharibiwa na mayahudi. Yatoa wito kwa waislamu na wakristo kulinda tamaduni zao

    Hamas kupitia wasemaji wake imetoa takwimu ya uharibifu uliofanywa na mayahudi katika kipindi chote cha vita mpaka sasa, Jumla ya misikti 610 ya Gaza na makanisa matatu yamebomolewa kabisa na kwa makusudi na majeshi ya IDF, Miongoni mwa majengo hayo ya kiibada yaliyovunjwa yamo yenye historia...
  11. Bob Manson

    Waarabu wanachezea mali alizowapa Mungu wakati duniani wapo Waislamu ambao hawapati hata mlo mmoja kwa siku

    Katika nchi za uarabuni, huko mwenyezi Mungu ametandika kwenye ardhi mali kubwa sana ya petroli. Wanaichezea na kuitumia wale wenye nafasi za juu au viongozi tu na baadhi ya watu wachache. Na wala hawaendi nayo mali ile katika njia iliyo nyooka, wanaharibu na kuchezea ilhali wao ndyo waliopewa...
  12. Bulelaa

    Waislamu wa kiarabu wametapakaa Ulaya na America kwenye nchi ambazo huziita za makafiri kufanya nini?

    🤣🤣 Acha tu nianze na kicheko Lakini pili: Napenda kujivunia nchi yangu Tanzania na Watanzania wenzangu wengi ambao licha ya kutofautiana dini, lakini bado, namna tunavyoishi, ni mfano wa ndugu wa damu moja ingaweje kuna baadhi ya wachache washika dini ambao hutaka kulazimisha kutaka...
  13. ngara23

    Nikiwa Dar Waislamu na wasomi wengi huniagiza silaha zake za kiroho kama maji na mafuta ya upako

    Hawa manabii waliozuka na kujaa kama nzige wanajipatia waumini wa kuwapa utajiri. Hao wasomi, waislamu na wanasiasa wanawapinga ovyo mtandaoni lakini pembeni utakuta wananunua maji, chumvi, mchanga na mafuta ya upako. Hapa mtandaoni jamii forums sijawahi kuona mtu akisema wazi kama ni mfuasi wa...
  14. Hammer11

    Kwanini picha ya Muhammad (Mtume wa Waislamu) imefichwa na haijulikani mpaka leo?

    Ndugu zangu mimi sina elimu sana ila nije kwenye swali, Kwanini mtume wa Waislamu kajificha wakati huyoo Muhammad alizaliwa juzi amewakuta akina Pilato, Julias Caesar, Cleopra, Firauni, Musa akina Ismail hata Yesu kamkuta. Sasa kama Muhammad ni mtume na ni mtu kaleta ujumbe kwanini mpaka sasa...
  15. Mganguzi

    Si sahihi kuwaita watumishi wezi kwani wanaotoa sadaka hutoa kwa hiari yao bila kulazimishwa

    Mimi nikiwa mkristo huru na ninaeheshimu haki na uhuru wa watu kuabudu ! Kutoa sadaka kwa mujibu wa Imani zao kwa hiari yao bila kulazimishwa na mtu yeyote ,kwenda kuhudhuria makongamano na mikutano mikubwa na midogo kwa hiari yao bila kulazimishwa na mtu yeyote nipo kinyume na dhana ya kuwaita...
  16. MK254

    China yaanza kulazimisha wanawake kuachika mimba kwenye jamii ya waislamu wapunguze kuzaliana

    Hii China ambayo husifiwa sana humu na waislamu wa JF ndio hii inatumia kila mbinu za kila aina kuhakikisha hamzaliani huko, wanalazmisha hata mimba kuachika. Kila siku mnaimba "death to America"................ ======================== The Chinese government is taking draconian measures to...
  17. Pascal Mayalla

    Waislamu mliofanikiwa kwa Elimu ya Shule za Mission badala ya Madrasa kuweni na Shukrani kwa Wakristo waliowafikisha hapo mlipo

    Wanabodi, Watanzania wote waliosoma enzi za mkoloni mpaka tunapata uhuru, tumekuwa na elimu ya aina 3. Shule za serikali, Government Schools, Shule za Mission, na elimu ya madras kwa ndugu zetu Waislamu. Shule za serikali zilikuwa chache na zilichukua wanafunzi wachache tena vichwa kweli...
  18. Mlalamikaji daily

    Sio kwa ubaya lakini wenzetu waislamu mnakera na adhana ya asubuhi

    Nipo jirani na msikiti, Kuanzia saa 10 alfajiri, Kuna shehe huyo amekuwa mtangazaji wa muda, "Sasa hivi ni saa 10 dakika 20 ewe muislamu jiandae kuamka, Swala swala,! Na anaendelea kutaja muda mpaka inafika saa 11 alfajiri.." Kwakweli hebu tunaomba msaada wenu, Ni kweli hakuna namna ya...
  19. MK254

    Taifa la Tajikistan lenye asilimia 96% waislamu, lakataza uvaaji wa hijab, na watoto kutohudhuria sherehe za eid

    Wameamua kurudia mavazi yao ya asili sio haya mambo ya kufanya wanawake wanatembea mjini kama mazombi au mizimwi wameghubika madude meusi kote...... Dunia inaendelea kupata elimu. ====================== Tajikistan, a 96% Muslim country, BANS women from wearing the Hijab. Children will also be...
  20. demigod

    Nini Sababu Wasio Wakristo Kujaza Kwenye Ibada za Kilokole?

    Nimekuwa nikitazama sana vipindi vya kimahubili luningani hasa vya wale wachungaji wakubwa mno kama Vile Much Mwamposa wa Arise&Shine TV, Kuhani Mussa Richard wa JehovaJireTV nakadhalika. Katika nyakati za kutoa ushuhuda wa Yale waliyotendewa na Mungu, iwe uponyaji au kufunguliwa kutoka katika...
Back
Top Bottom