Ukiangalia kwa makini tatizo la elimu ya Tanzania sio tahasusi au masomo mapya.
Mtu anayesoma islam kuna degree gani inayo shabihiana na islam kwenye vyuo vikuu vyetu!?
Bora hata divinity mtu atasema anaenda kuchukua philosophy na haina uhusiano na ukristo wa moja kwa moja.
Hizo ni cutting...
Pamoja na ukristo wangu yapo mambo kadhaa nayoyapenda kwa waislamu.
1. Kutoruhusu mtume wao adhalilishwe au kudhihakiwa. Huwezi kumkashfu mtume au kitabu chao cha Quran mbele yao halafu wakutazame tu. Lazima wakuletee noma
2. Mavazi ya staha kwa wanawake
Napenda sana dress code kwa wanawake...
Sakata la mchele wenye virutubisho kutoka Marekani limeendelea kuchukua sura mpya baada ya waislamu kuukataa bila kumumunya maneno. Wakiongea kupitia redio ya kiislamu ya Imaan FM inayounguruma kutokea mkoa wa Morogoro, wamesema hawautaki mchele huo na wametoa tahadhari kwa mtu yeyote...
Polisi wa Kidini nchini Nigeria wamekamata watu 11 siku ya Jumanne kwa kuonekana wakila chakula mchana katika mwezi wa Ramadhani.
Watu hao wamekamatwa katika jimbo la kaskazini la Kano.
Kano ina idadi kubwa ya Waislam, ambapo sheria ya kidini – Sharia- inatumika pamoja na sheria za kawaida za...
Hata wewe msabato unae waponda wakatoliki, kwa mantiki ya uzi huu, wewe pia unafanya ibada ya sanamu.
Kwani ibada ya sanamu nini?
Umewahi kusikia mashabiki wa mpira wanasema " kwenye timu hii golini kuna sanamu?" Je unadhani maana yake huwaga ni nini?
Maana yake ni kwamba kwenye timu hiyo...
Ukumbusho umfaa mwenye kukumbushika ndani ya mwezi huu mtukufu ndio Quran ilishushwa, hivyo tusipoteze muda mwingi katika mtandao ya kijamii, kushinda vijiwe vya kahawa, kusoma magazeti, kuangalia runinga na yanayo fanana na hayo.
Tuelekeze muda wetu mwingi katika ibada:
Swala tano
Kusoma...
Ukitaka kujua shida angalia wale kila kukicha wakikimbilia Ulaya kutafuta amani na utulivu na nchi nyingi ndio za kiislamu.
Sasa kuna Msomali mmoja alikuwa rafiki yangu sana japo Kiswahili chake cha shida kwa sasa yupo Canada, kuna neno aliniambia;
"Hawa wanaojifanya hapa Tanzania uislamu...
Kwema Wakuu!
Kama mjuavyo dunia hii ya mfumo Dume sio kazi rahisi kwa Mwanamke kushika nafasi ya juu ya Urais. Sasa ni ngumu zaidi katika ulimwengu wa kiislamu kwa Mwanamke kushika nafasi ya juu hasa ya Urais.
Lakini Tanzania inakuwa moja ya nchi za awali kuweka rekodi ya kihistoria hasa...
Habari wadau.
Binafsi naishi karibu na imamu wa msikiti mmoja mkubwa tu Temeke. hali yake ya maisha inasikitisha .
Nyumba anayoishi na hali yake kiuchumi haiendani na huduma yake anayoitoa msikitini.
Waislamu msiwasahau viongozi wenu wa dini.
Wakristo wanapojenga kanisa huwa wanajenga na...
Makanisani wakristo wengi wakishatoa sadaka kanisani ndio shughuli imeishia hapo. Ni rahisi sana kuwakuta wachungaji mabilionea wanaotajirika kwa sadaka za waumini lakini kuna waumini wana changamoto zinazoweza kutatulika kwa milioni 10 ila wanaombewa badala ya kusaidiwa, ni kweli makanisa...
Hawa wameanza kutafuta ugomvi na Wahindi...
Wenzetu mumeishiwa hoja, mtatafuta mchawi kote lakini ukweli uko pale pale kwamba acheni kujaribu kufuta Wayahudi maana Mungu wao ana nguvu kuliko huyo wenu, hayo maandiko au maagizo ya kwenye kurani ya kuwaua Wayahudi wote hayatekelezeki, yaliandikwa...
Kipindi cha Ali Hassan Mwinyi, Aga Khan alikuja nchini kwa mara ya kwanza baada ya kutokanyaga ardhi ya Tanzania kwa miaka 20. Kwa maneno ya Mohamed Said Aga Khan aliitisha mkutano wa Waislamu ambao una mchanganyiko wa BAKWATA na wawakilishi wa iliyokuwa EAMWS. Na kwenye mkutano huo HAKUKUWA na...
Mchezaji wa timu ya taifa ya Misri, Mo Salah amejiwa juu na Waislamu baada ya kuwatakia mashabiki zake heri ya sikukuu ya Christmas.
Watu wametuma maoni ya kukebei na kusema kuwa hatakiwi kuwatakia Watu heri ya Christmas kwa sababu yeye ni Muislamu...
Nchi ya Saudi Arabia ipongezwe kwa ubunifu wa chanzo kikubwa cha mapato.
Jamaa walioweka vifungu vya kuwataka watu waende Madina na Mecca waliona mbali sana.
Hili hapa ni agano la HAMAS, ambalo linasema uislamu utaifuta Israel, kwa kifupi HAMAS hawana haja na maelewano au kuishi pamoja na Wayahudi kwa amani au hata ujirani kwa amani ila kuwafuta Wayahudi kama ambavyo wanaamini dini yao imewaagiza.
Hivyo kwa asiye muislamu na unasema unawaunga mikono...
Kawaida katika mambo mengi hutajwa Tanzania haiangalii dini wala rangi ya mtu. Hata hivyo kuna mengi huendeshwa kidini na kiubaguzi mwengine ambao huwa umejificha sana.
Nilikuwa nafuatilia ile orodha ya vijana 260 waliotajwa kwenda kusoma kilimo na sijaiona.
Shaka yangu ni kuwa huenda wote...
Mzuka wanajamvi.
Poland yadai na kujigamba kuwa hamna ubakaji, wizi na uhalifu ukilinganisha na mataifa jirani na mengine ulaya wenye waislam wengi wahamiaji.
Wanajisifu na kujigamba kwa kuzuia wimbi la wahamiaji hasa waislam ambao wenyewe wanadaiwa ni waalifu sana na kupeleka nchi yao uhalifu...
Moderator naomba msi uunganishe Uzi huu na Uzi mwingine. Ninawaomba hayo kwa jina la Maxence Melo
Na declare interest. Mimi ni mfuasi wa dini za jadi za kiafrika.
1. Ukristo ni imani ila Uislamu ni dini( mfumo wa maisha)
2. Uislamu umekaa kisheria na kisayansi zaidi kuliko " imani"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.