waislamu

The National Muslim Council of Tanzania is an Islamic organisation based in Tanzania. It is well known by its Swahili acronym BAKWATA.
BAKWATA is a well-established faith-based Islamic organisation registered since 1968. The Council has branch offices all over Tanzania with a network from the national to grassroots level with 22 regional and 169 district offices served by over 3000 sheikhs.Around 10,800 mosques run under its co-ordination. It owns around 40 acres of land in
each of its 22 regions and it has 32 secondary schools, two teachers’ colleges, 30
theological colleges, and a radio station and support numerous madras schools.

From the
late 1990s, BAKWATA has organised and facilitated training for its Muslim scholars on
environmental issues.
Ongoing work on environmental issues includes: environmental education for madras
pupils in 10 coastal districts, environmental education and management clubs in 10
secondary schools owned by BAKWATA and spreading the use of environmental
theological materials in religious ceremonies and sermons on Friday prayers for more
than 80 imams and sheikhs throughout Tanzania.
from 2016 BAKWATA is Offering free education under Mufti Office. this special knowledge is offered to Islamic Imams and Qur an Teacher In Several Centers in different region
the course is aimed to empower them in computer and information Technology and conflict arbitration

the headquarter of BAKWATA is in Kinondoni shamba area, Kinondoni district, Dar es salaam Region

View More On Wikipedia.org
  1. Nawakubali sana Waislamu kwenye kuzika, nawaza niweke kwenye wosia wangu nikifa nizikwe isizidi masaa 24

    Naifikiria sana hii kitu pale mtu anapoachwa wiki nzima hajazikwa, huwa inakuwaga huzuni mara mbili kwa wafiwa. Solution ya hii kitu nimegundua ni mtu kuzikwa fasta fasta na sio kuchelewa zaidi ya siku mbili. Mwaka jana kwenye family yangu kuna mtu aliumwa kinoma, nikajisemea hapa akifa nazika...
  2. Ndugu Zangu Waislamu. Ikifika kipindi cha mfungo basi punguzeni maigizo

    1. Unazini mwaka mzima ukija Mwezi huu ulivyokuwa mrahibu wa ngono unaharalisha ufuska wako kwa kuoa single maza ambaye unaachana nae miezi mitatu baadae (ungefunga ngono badala ya chakula ungekuwa umefanya cha maana) 2. Kila siku wala kwa meza migahawani ila leo eti unataka wakuwekee kwenye mkeka
  3. Nigeria: Waislamu 20 wakamatwa kwa kula hadharani wakati wa Ramadhani

    Polisi wa Kiislamu katika jimbo la Kano, kaskazini mwa Nigeria wamewakamata Waislamu 20 waliokutwa wakila mchana hadharani wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan ambapo pia Watu watano wamekamatwa kwa kuuza chakula huku Naibu kamanda wa Polisi Mujahid Aminudeen akisisitiza kuwa msako huo utaendelea...
  4. Huu mwezi mbona umeanza na nyuzi nyingi kuhusu waislamu. Wapumzisheni hawa ndugu zenu

    Yani wanaanza mfungo, mara ttiiii, nyuzi karibia laki 😂😂 Mishe mishe zao mwezi huu mnaona kama zinawakera? Anyway maisha yaendelee, mwanadamu ni zaidi ya dini ndio maana imemshinda.
  5. Nimetafuta kwenye Quran hakuna sehemu Mungu amesema waislamu muoane

    Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️ Sipo hapa kwa kubeza wala kukejeli nataka kupewa elimu kutoka kwa muislamu aliyesoma Quran tukufu ambayo ndio muongozo wa muislamu na usinilete hadithi kutoka muslim na tilmizu eti alimsikia mtume akisema hapana. Nataka kwa mwenye andiko kutoka kwenye kitabu...
  6. Mfahamu Charles Martel, aliyeokoa bara Uropa kutoka kwa mapanga ya waislamu

    Isingekua kwa huyu mwamba wazungu wangesilimishwa kwa mapanga, leo bara Uropa lingekua la hovyo limevurugwa kama ilivyo Mashariki ya kati na maeneo mengine yenye hii dini. Hii ilikua enzi ambapo uislamu ulikua unaenezwa kwa mapanga na walijaribu kushambulia Uzunguni ila wakakuta pagumu. Huwa...
  7. L

    Soma hapa ujumbe mzito wa Rais Samia kwa Waislamu wote Nchini

    Ndugu zangu Watanzania, Taifa letu linaendelea kuwa lenye baraka na Neema kwa sababu linaongozwa na kiongozi Mwenye hofu ya Mungu, kiongozi Mcha Mungu,kiongozi mnyenyekevu, kiongozi mwenye kuishi Maisha yenye kumpendeza Mungu, kiongozi mwenye mikono safi na matendo safi ,kinywa safi na matendo...
  8. Ukweli mchungu : Wakristu na waislamu wote duniani ni ma " Apartheist"

    Apartheism is a lack of interest or concern whether or not God exist. Ukitazama matendo ya watu wanao jiita wakristu na waislamu utaona kabisa yanasadifu " Apartheism" . Matendo yao hayaonyeshi concern wala interest kwamba Mungu yupo. Ingekuwa kinyume chake basi kusingekuwa na : wazinzi...
  9. Waislamu amkeni sasa, mtaala mpya wa elimu hauna nafasi ya kuwabeba kiujanja watoto wenu!

    Karibu taasisi zote za dini ya kikristo zilizojikita kwenye sekta ta elimu zimekuwa busy mnoo kuusoma, kuuelewa, kujiandaa na kuwaandaa watumishi wake namna ya kwenda sambamba na ujio wa mtaala (sera) mpya wa elimu. Jambo hilo limekuwa likifanyika vivyo hivyo kwa jamii za waumini wa kikristo. Ni...
  10. Marekani iligunduliwa kibahati mbaya wakati wakristo wakifukuzana na maendeleo ya waislamu

    Kama tunavyojua kuwa athari ya uislamu uliohuishwa na Muhammad rehma na amani zimshukie ziianza Makka halafu Madina na baada ya hapo zikaenea kila sehemu ya dunia kwa njia moja au nyengine. Bila kwenda ndani sana na kutumia muda mwingi ni kuwa kutoka Madina Uislamu ulikuwa na makao makuu yake...
  11. TANZIA Aga Khan Afariki dunia akiwa na Miaka 88

    Kiongozi wa waislamia duniani ajulikanaye kama HH The Aga Khan amefariki dunia akiwa na Umri wa miaka 88. Kwa Tanzania, Aga Khan atakumbukwa sana kwa kujenga miundo mbinu mizuri sana ya kutoa huduma za afya na elimu. Shule za Tambaza (Dar), Mkendo (Musoma), Mzizima (Tanga) ni baadhi ya shule...
  12. Baye Fall; Waislamu wanaoamini katika kufanya kazi zaidi kama ibada muhimu

    Huko Sengal na Gambia kuna tawi la imani ya Kiisalmu lenye umaarafu na ushawaishi mkubwa maeneo hayo linaloitwa "Baye Fall" ambalo lilianza zaidi ya Karne moja iliyopita. Hawa Waislamu wa Baye Fall walichipukia kutoka kwa sheikh mmoja aitwaye Ibrahima Fall wa mrengo wa Kisufi miaka ya 1880's...
  13. Kwenu waislamu: Jengo lililonusurika kwenye moto wa Marekani ni kutokana na uimara wake wala sio muujiza

    Kwenu Waislamu Ingekuwa ni msikiti hapo, dunia ingekuwa imetokwa jasho kwa kelele za Waislamu mitandaoni. Huo wala sio mujiza kwangu, jengo halijashika moto sababu ya uimara wake na pia limejengwa na saruji. Miji mingi Marekani imejengwa kwa mbao, hivyo ni rahisi kushika moto. Waislamu...
  14. Waislamu mjibu hili

    Ety waislamu kwa mujibu wa mandiko hivii hao bicra 72 ambaoo tunakutana nao huko peponi ni warabu wazungu Latino America au wafrica?
  15. Dr. Zakir Naik: Huwezi kuwa muislamu kama huamini katika Yesu Kristu, aeleza pale Wakristo na Waislamu wanapotofautiana

    Dr. Zakir Naik, anasema kwamba hauwezi ukawa musilamu kama haumuani Yesu Kristu. Waislamu na Wakristu wanafanana katika mengi lakini utofauti ni pale wanapoamini kuwa Yesu Kristu ni Mungu ... Anachosema ni kuwa ukisoma biblia hakuna sehemu yoyote inayosema kuwa Yesu Kristu alisema yeye ni Mungu...
  16. M

    Makaburi ya waislamu Segerea yanatoa funzo kubwa suala la kutunza ardhi. Serikali ikemee kujengea Makaburi yote

    Habari wadau. Binafsi ni mkristo. Ila nimependa sana utaratibu uliowekwa kwenye makaburi ya waislamu Tabata segerea. Kanuni yao namba moja ambayo inakataza kujengea kaburi ni nzuri sana.
  17. Waislamu sikukuu ya mwaka mpya sio yenu, mligomea xmas na hii mtuachie wakristo

    Heri ya sikukuu ya mwakampya kwa wakristo wote Waislamu wengi husherehekea Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Kidunia (Januari 1), ingawa sherehe hii si ya kidini kwao. Kwa Waislamu, mwaka mpya huadhimishwa kulingana na kalenda ya Kiislamu (Hijria), ambapo mwaka mpya wa Kiislamu huangukia katika mwezi wa...
  18. Ndugu Zangu Waislamu, Kwanini Waarabu Wanakimbilia Kwenye Mataifa ya Makafiri Badala ya Nchi za Kiarabu Kama Saudia na Qatar?

    Katika miongo ya hivi karibuni, Ulaya imekuwa ni eneo la mchanganyiko wa tamaduni, ambapo mamilioni ya wahamiaji kutoka sehemu mbalimbali za dunia wamekuwa wakielekea huko. Miongoni mwao, kuna idadi kubwa kutoka nchi zenye Waislamu wengi, wakiileta tamaduni zao mbalimbali na mitazamo tofauti...
  19. Waislamu, nina swali

    Mwaka 2021 alipo kufa kiongozi wa nchi afande sele Alimtukana mungu akina kishki sure kipozeoo wanaojiita mashekhe walimsomeaa dua jee afande alikufaa? Au Allah hana uwezoo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…