waislamu

The National Muslim Council of Tanzania is an Islamic organisation based in Tanzania. It is well known by its Swahili acronym BAKWATA.
BAKWATA is a well-established faith-based Islamic organisation registered since 1968. The Council has branch offices all over Tanzania with a network from the national to grassroots level with 22 regional and 169 district offices served by over 3000 sheikhs.Around 10,800 mosques run under its co-ordination. It owns around 40 acres of land in
each of its 22 regions and it has 32 secondary schools, two teachers’ colleges, 30
theological colleges, and a radio station and support numerous madras schools.

From the
late 1990s, BAKWATA has organised and facilitated training for its Muslim scholars on
environmental issues.
Ongoing work on environmental issues includes: environmental education for madras
pupils in 10 coastal districts, environmental education and management clubs in 10
secondary schools owned by BAKWATA and spreading the use of environmental
theological materials in religious ceremonies and sermons on Friday prayers for more
than 80 imams and sheikhs throughout Tanzania.
from 2016 BAKWATA is Offering free education under Mufti Office. this special knowledge is offered to Islamic Imams and Qur an Teacher In Several Centers in different region
the course is aimed to empower them in computer and information Technology and conflict arbitration

the headquarter of BAKWATA is in Kinondoni shamba area, Kinondoni district, Dar es salaam Region

View More On Wikipedia.org
  1. Kijakazi

    70% ya wenye wake wengi UAE ni wageni na siyo Emirates wenyewe!

    Waislamu walioa wake zaidi ya mmoja nchini UAE ni wahamiaji hasa kutoka Afrika na other poor Asian Countries, lakini pure UAE Arabs have only one man one woman, hii inakwambia nini? Ikumbukwe kwamba UAE inaruhusu kuoa zaidi ya mke mmoja kiislamu lakini Emirate men wanaoa mwanamke moja tu na...
  2. Etugrul Bey

    Je, Waislamu tunaitendea haki Qur'an?

    Hakika Mtume Muhammad (rehma na Amani ziwe juu yake) ametuachia vitu viwili ambavyo ndio Muongozo wetu Sisi Waislamu ambavyo ni Qur'an na Sunna, ndio vituongoze siku zote katika Maisha yetu. Lakini Kwa Masikitiko makubwa kabisa hakika tumeitupa Qur'an ambao ndio msingi mama WA kuwaongoza...
  3. JanguKamaJangu

    Somalia: Al-Shabab wavamia hoteli iliyo karibu na Ikulu ya Mogadishu

    Waziri wa Mazingira, Adam Aw Hirsi amesema amenusurika katika tukio hilo lililotokea katika Hoteli ya Villa Rose inayotumiwa mara nyingi na maafisa wa juu wa Serikalini. Inadaiwa kuwa Waziri wa Usalama wa Ndani, Mohamed Ahmed naye amenusurika, ambapo Al-Shabab wamekiri kuhusika na uvamizi huo...
  4. BAKIIF Islamic

    Kifo kinatisha sana na ni chenye maumivu makali yasiyoweza kuelezeka. Uhai ni wa thamani pindi tu ukiukosa

    Utakapokufa katu hutoweza kurudi tena duniani. Ukweli ni kwamba watu wengi wanaogopa kufa, ijapokuwa wapo ambao inafikia hatua hawaogopi kifo kabisa, lakini pia inaweza kufikia hatua kwa baadhi ya watu mpaka wakakiomba kifo. Hii huwenda ni kutokana na shida na taabu walizo nazo. Lakini katika...
  5. MK254

    Hivi mbona Qatar hawajaja na sare zipasao wanaume ili kukidhi sheria za waislamu kwenye mpira wa kombe la dunia

    Nimesoma sehemu kwamba ni kosa kwa mwanaume kuonekana magoti kwa mujibu wa sheria za waislamu, sasa Qatar ambao ndio wenyeji wa michuano ya kombe la dunia wametoa miongozo kwa kuzingatia dini hiyo, mbona wameacha wanaume wanacheza mpira huku wakivaa sare zinazoonyesha mapaja nje nje, au ndio...
  6. technically

    Kuna Waislamu wanachafua Uislam

    Mimi ni catholic lakini kwenye ukweli lazima tuseme zimepita awamu Kama 5 hivi Ila kila awamu watu wenye majina ya kiislamu ndio utajwa hasa kwenye kashifa za madawa ya kulevya na uhujumu uchumi. pia fatilia majina ya Panya road dsm wengi wao ukifatilia utakuta Wana majina ya kiislamu...
  7. MK254

    15 wauawa kwa risasi Iran

    Hii yote wanampigania 'mungu' na uislamu... At least 15 people have been killed and 10 others injured in an attack at the Shah Cheragh mausoleum in the Iranian city of Shiraz, state media report. Three armed men entered the shrine at 17:45 (14:15 GMT) and opened fire at pilgrims, the Irna news...
  8. Etugrul Bey

    Waislamu Mnafeli wapi?

    Kumekuwa na dhana kwamba waislamu wanafuga majini kitu ambacho si kweli kabisa na hata Dini hairuhusu hivyo. Mwenyezi Mungu anasema hakuumba majini na watu Ila isipokuwa wamwabudu Mola wao,ebu tuangalie Maandiko; ((Nami sikuwaumba majini na watu ila waniabudu Mimi.)) 51:56 Kwahiyo Majini na...
  9. The Burning Spear

    Waislam Pemba waandamana kuzuia ujenzi wa Kanisa

    Kama mnavyoona na na kusikia. Habari ndiyo hiyo. Sijui hizi dini zinatupeleka wapi. By the way ni vitu ambavyo havitakiwi kudekezwa hata kidogo. Bahati mbaya politicians wetu huwa wanatumia advantage za kidini na ukabila kushawishi watu. Jambo ambalo siyo Sawa hata kidogo.
  10. N

    Sasa umeshakuwa upumbavu; Akilawiti shehe wakristo wanachekelea, akilawiti padri waislamu wanachekelea!!

    Ndo hali halisi humu jukwaani sasa! Hakiangaliwi chanzo tena, ikitokea habari ya kubaka/kulawiti basi watu hukimbizana kuangalia kwanza nani katenda na si ilikuaje au tatizo nini hadi limetendeka hilo. Akishajulikana tu mbakaji/mlawiti (kiimani) basi watu hukimbizana tena mbio za speed ya hali...
  11. GENTAMYCINE

    Makaburi ya Waislamu ya Kawe Mzimuni yameshajaa Mamlaka itenge Eneo jipya ili 'Marehemu' wapumzike kwa Kujinafasi

    Kinachofanyika sasa katika Makaburi ya Waislamu Kawe Mzimuni siyo Uzikaji wa Staha bali ni kutupa tu Maiti kisha Kuifukia na Waombolezaji Kutawanyika. Ni kawaida kwa Muombolezaji akienda Mazikoni hapo Makaburi ya Waislamu Kawe Mzimuni kukutana na Mifupa ya Marehemu na hata Mafuvu yao kutokana...
  12. Mwamuzi wa Tanzania

    Waislamu hutoa sadaka kisha husubiri malipo siku ya hukumu, wakristo tunatoa sadaka kisha tunasubiri baraka

    Habari! Ninaandika hapa si kwa lengo la kuichafua dini (njia) yangu ya Kikristo bali kuwapa changamoto kidogo wakristo wenzangu. Yesu alisema hazina zetu zilipo ndipo roho zetu zitakapokuwepo. Hapa alimaanisha sadaka tuitoayo ina nafasi huko mbele. Kwa maana nyingine ni kwamba tusipende kuvuna...
  13. BAKIIF Islamic

    Ili kijana wako awe mwanaume anahitajia Baba. Wavulana wanahitaji mifano ya kiume ili waepuke tabia za kike

    Wavulana wanahitaji mifano ya kiume. Wanahitaji baba anayewaongoza kwa kielelezo na kwa upole lakini anayewatia moyo kwa uthabiti. Uadilifu ni muhimu kwa wavulana. Wanaitikia vyema nidhamu iliyo thabiti, ya uaminifu na ya haki. Swahaba wa Mtume (s.a.w) aitwae `Umar alikuwa akitembea na mtoto...
  14. Teko Modise

    Waislamu kuiombea Sensa

    Mufti Mkuu amemuambia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuwa wao kama Waislam wapo tayari kuiombea sensa na kuhesabiwa. Wataiombea Sensa ifanyike vizuri kwa amani na ikamilike ili lengo la serikali liweze kutimia. Hivyo waislamu wote wapo tayari kuhesabiwa August 23.
  15. T

    Mufti Mkuu awataka Waislamu wote kuombea sensa

    Mufti mkuu wa Tanzania amewataka waislamu kuiombea sensa leo ijumaa. Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amewataka waumini wa Kiislam kote nchini kuitumia Ijumaa ya kesho Agosti 19, 2022 kuomba dua maalum kwa ajili ya kuliombea Taifa na kuiombea siku ya Sensa ya Watu na...
  16. V

    Kwanini Wahindu wanawachukia sana Waislam ambao ni ndugu zao na kuwapenda Wakristo na Wabudha?

    Hawa Wahindi wa india ambao ni waamini wa dini ya Kihindu wanawachukia sana Waislam wanakwambia wangeweza wangewateketeza kwa bomu kama lile la USA kwenda Japan. Hii chuki inatokana na nini? Tukumbuke hawa wote ni wahindi jamii moja. Zamani kutokana na hii chuki kulipelekea Waislam kujitenga...
  17. aise

    Waislamu wametufanyia uhuni mtaani kwetu kwenye hii sikukuu yao

    Inakuwaje taasisi kubwa ya kidini kama hii, watangaze kuwa watagawa nyama bure kwenye sikukuu yao ya kuchinja, halafu mwisho wa siku wagawane waislamu wenyewe huku wasiokuwa waislamu wakinyimwa? Kulikuwa na ulazima gani wao kusema kuwa watagawa nyama kwa watu wote bure? Huo si uhuni?
  18. S

    Hivi ni kweli sikukuu za wenzetu Waislamu siku karibu zote huangukia siku ya pili ya matarajio au huwa kuna namna?

    Habari Wakuu! Kwa muda mrefu sasa, nime-observe hii trend ambapo sikukuu za hawa wenzetu mara nyingi(kama sio karibu mara zote) zimekuwa zikiangukia siku ya pili ya matarajio. Swali ni je, hii trend imekuwa ni hivi hivi hata kwa siku za nyuma au ni siku hizi tu? Je, BAKWATA huwa wako sahihi...
  19. sky soldier

    Hadi sasa waislamu ndio wanaoongoza kwa waumini wengi wenye imani moja Tanzania. Wakristo wamegawanyika madhehebu mengi yasiyo na ushirikiano

    Muhimu: Uzi huu umejikita kwa mazingira ya Tanzania na sio nchi za nyingine Hii ni kwa sababu ya mpasuko mkubwa sana uliotokea katika ukristo, wapo ambao wanataka kwenda dhehebu lenye miujiza hawana mda na neno, wapo wanaotaka dhehebu wanaloweza kujichia wakate hata mauno wanavyocheza gospel...
  20. Kijakazi

    Waislamu wa Tanzania, where are Black People?

    Hiyo ni Bukoba KZ, Tanzania ambapo 99.9% ya Wakazi na Waislamu wa KZ ni Black people, wako wapi kwenye hiyo picha ukiondoa Bakwata na Serikali ? Hapo siyo Omani au Saudia, ni Tanzania, KZ!
Back
Top Bottom