waislamu

The National Muslim Council of Tanzania is an Islamic organisation based in Tanzania. It is well known by its Swahili acronym BAKWATA.
BAKWATA is a well-established faith-based Islamic organisation registered since 1968. The Council has branch offices all over Tanzania with a network from the national to grassroots level with 22 regional and 169 district offices served by over 3000 sheikhs.Around 10,800 mosques run under its co-ordination. It owns around 40 acres of land in
each of its 22 regions and it has 32 secondary schools, two teachers’ colleges, 30
theological colleges, and a radio station and support numerous madras schools.

From the
late 1990s, BAKWATA has organised and facilitated training for its Muslim scholars on
environmental issues.
Ongoing work on environmental issues includes: environmental education for madras
pupils in 10 coastal districts, environmental education and management clubs in 10
secondary schools owned by BAKWATA and spreading the use of environmental
theological materials in religious ceremonies and sermons on Friday prayers for more
than 80 imams and sheikhs throughout Tanzania.
from 2016 BAKWATA is Offering free education under Mufti Office. this special knowledge is offered to Islamic Imams and Qur an Teacher In Several Centers in different region
the course is aimed to empower them in computer and information Technology and conflict arbitration

the headquarter of BAKWATA is in Kinondoni shamba area, Kinondoni district, Dar es salaam Region

View More On Wikipedia.org
  1. Kenya: Waislamu wadai ni dhihaka IGP kupiga marufuku maandamano yaliyoruhusiwa na Katiba

    Taasisi ya Waislamu kwa haki za binadamu(MUHURI) imesema ni dhihaka kwa watu wa Kenya na sheria zake kwa Inspekta generali wa Polisi, Japhet Koome kuhutubia kupitia vyombo vya habari vya Kenya na kusema maandamano yaliyopangwa na Azimio yamepigwa marufuku kwa kiburi. MUHURI imemkumbusha IG...
  2. Waislamu tumekatazwa kuwaudhi wanawake, Abunuwasi na Vitimbi vya wanawake

    Ilikua jioni moja tulivu, mwanamke mmoja alielekea kisimani kuteka Maji.. Alipokuwa Huko Kisimani Mara Akatokea Mwanaume Mmoja Na Kumuuliza Yule Mwanamke "samahani Dada yangu Hivi Unaweza Kunitajia visa vya mwanamke?". Yule mwanamke ghafla Akaanza Kulia Huku Anapiga Makelele Kwa Sauti Sana...
  3. Biashara za chakula kuendelea kushamiri mchana hapa Dar mwezi wa Ramadhani ni uthibitisho kwamba waislamu ni wachache?

    Nimepita maeneo ya Magomeni, Ilala, Kinondoni, Buguruni, Temeke na Mbagala na kuona biashara nyingi za chakula zikiendelea Alhamisi, Ijumaa na hata leo Jumamosi asubuhi. Maeneo tajwa hapo juu yalisemekana kuwa na wakazi ambao ni jamii ya kiislamu. Sasa naendelea kujiuliza kwanini biashara za...
  4. L

    Waislamu mjini Beijing waanza kukaribisha mwezi wa Ramadhani kwa kuandaa vyakula mbalimbali halali vya Beijing

    Na Pili Mwinyi Kuanzia Machi 23 yaani siku ya Jumatano, Waislamu kote duniani wanaanza kufunga mwezi mtukufu wa Ramadhani. Katika kipindi hiki Waislamu huwa wanajiegemeza zaidi kwenye sala na ibada ikiwemo kujizuia mambo yote yaliyokatazwa yakiwa ni pamoja na kula na kunywa wakati wa...
  5. Kama 'Quran' inakataa Mwanamke kuwa Kiongozi kwanini Waislamu wa nchi zingine wanaongozwa na Mwanamke?

    Je, hao Viongozi Waislamu Wanawake hawaheshimu Maandiko na wanakubali kuwa Viongozi?
  6. D

    Ushenzi unaofanywa na wahindu kwa Waislamu India ni wa kupitiliza

    Hawa jamaa wamekua wakifanya matendo ya kinyama mika na miaka na wanaendelea bila hofu yoyote. Hii ni hali ilivyokuwa mitaani kipindi cha sikukuu zao za Holi majuzi. Halafu Watu wakipiga miripiko waitwe magaidi.
  7. Je, funga ya Waislamu ni kula na kunywa tu?

    Baada ya kuandika post ambayo ilikuwa inahusiana na Dhana ya Futari na Daku kumeibuka maswali mengi na kashfa nyingi kuhusiana na funga ya Waislamu kwamba, wamebadili ratiba ya kula,mara sijui wanakula usiku mzima na bla bla bla nyingine kibao. Sasa Jamiiforums ni jukwaa la elimu na maarifa...
  8. Je, wajua Wakristo huwasindikiza Waislamu Kufunga Ramadhan? Leo ni Jumatano ya Majivu, Wakristo tutafunga siku 40, vipi Waislamu Mtatusindikiza?

    Wanabodi Hili ni bandiko la swali kuwa Je, wajua kuwa sisi Wakristo huwa tunanawasindikizaga ndugu zetu Waislamu kufunga swaumu wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadan? Leo ni Jumatano ya Majivu, Wakristo tunaanza safari ya kufunga kwa siku 40, vipi nyie wenzetu Waislamu, je mtatusindikiza kama...
  9. Kuna wimbi kubwa la vijana wa Kiislamu kushikiwa akili au mawazo bila kujitambua kuwa wanapotoshwa

    Kujitambua kuwa wewe ni nani na kuwa mdadisi ni kitu kizuri ila ukishaunganishwa imani tu basi ndo akili inapotea. Nazungumzia ndugu zetu wenye imani ya kiislamu kwa vijana wenzangu. Maisha tunayotafuta na makazi tunaishi na watu tofauti ila bahati nzuri asilimia kubwa maeneo niliyopo na kazi...
  10. Kipi hupelekea Waislamu kutoa sadaka kiduchu licha ya ukwasi walionao?

    Ndugu zangu hapa nimekaa na masheikh wa msikiti wa hapa mtaani wanasema kuwa wao wangekuwa viongozi wa makanisa wangekuwa matajiri kwa kuwa Wakristo hutoa sadaka nyingi sio sarafu kama Waislamu. Wamenihakikia kuwa kwa ijumaa ambayo ndio siku kubwa kwa wiki wao hupata elfu sita hadi kumi kwa...
  11. Jumaa Kareem, Ijumaa ni siku ya furaha kwa Waislamu wote, Hakikisha leo unafika Msikitini

    Mtume Muhammad (s.a.w) anatujulisha mambo mawili muhimu yanayofanya siku ya ijumaa iwe bora miongoni mwa siku za juma. Kwanza ni kwamba, hii siku ya Ijumaa ndiyo aliyoumbwa Adamu. Pili ni kwamba siku hii ya ijumaa, baada ya Adamu kumkosea Mwenyezi Mungu aliomba msamaha na toba yake ikapokelewa...
  12. Swali Kwa Waislamu: Sababu gani ya msingi kuwataka wanandoa waanze na line (namba) mpya za simu baada ya kufunga ndoa

    Wasalaam JF Rejea muktadha wa jicho la habari ulivyosomeka, naomba michango ya majibu yenu, wanandoa sio misukule wana kumbukumbu, wana akili za aina mbalimbali ikiwemo unafiki. Je, kama ni kweli wanandoa hasa mwanamke kwa msisitizo kwa nini sharti abadili namba yake ya simu? baada ya kufunga...
  13. Mambo ambayo Mungu hayapendi lakini Waislamu na Wakristu wamefichwa

    Kabla sija enda kwenye mada nauliza hivi wewe ambae unawaachiaga siti wazee kwenye daladala tangu uanze kufanya hivyo ni mambo mangapi ambayo umeshafanyiwa wepesi kwenye maisha yako? Tafakari! Chukua hatua! HAKI ELIMU. Back to the point. Yapo mambo ambayo kiuhalisia Mungu hayapendi ila...
  14. M

    Jinsi Muungano unavyoathiri Waislamu wa Tanganyika wakati wale wa Zanzibar wakineemeka

    Katika nchi hii, Muhimili wa Power upo katika makundi makubwa mawili. (a) Wakiristo wa Tanganyika (b) Waislamu wa Zanzibar. Haya Makundi ndiyo makundi makuu yenye mamlaka za kisiasa hapa nchini. Hali hii inawaathiri sana Waislamu wa Tanganyika, nitaeleza. a) Kutokana na kwamba kule Zanzibar...
  15. Merry Christmas from Mohamed Salah. Je, anapima upepo? Waislam wamshangaa!

    Jamaa ame_tweet hii picha sasa hizo comments kutoka kwa jamii ya kiislam wamegoma kumuelewa jamaa wakidhani anataka kuokoka!.
  16. Samia Suluhu Hassan aingia kwenye orodha ya watu wenye ushawishi mkubwa Duniani miongoni mwa Waislamu

    Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Tanzania aliyeingia madarakani baada ya kutokea kwa kifo cha mtangulizi wake John Magufuli Machi 2021. Ameweka rekodi ya kuwa mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo wa juu zaidi nchini Tanzania. Pia anakuwa rais wa pili wa Tanzania kutokea Zanzibar, wa kwanza akiwa...
  17. Waislamu hawawezi jibu swali hili : Quran 15 :26 "Trinity"

    Kuran 15 : 26 " Na tulimuumba mtu kwa udongo unaotoa sauti, unaotokana na matope yaliyo tiwa sura. " Quran 15 : 26 " We brought man into being out of dry ringing clay which was wrought from black mud " Waislamu huwa wanapinga Utatu(Trinity), lakini trinity ipo kwenye Kuran. Katika Biblia...
  18. T

    Leo sijalala sababu ya kipaza sauti cha msikiti

    Naandika kwa masikitiko makubwa sana juu ya kelele zinazopigwa na Waislam kwenye vipaza sauti vyao Usiku wa kuamkia leo sijalala kabisa sijui kulikuwa na shughuli gani Misikitini basi mpaka Saa 8 usiku wanasikika wao tu wakapumzika saa 10 wakarudi tena mpaka sasa Zamani nilidhani adhana ni ya...
  19. Waislamu na walokole punguze kidogo unafiki

    Hellow Mimi huwa na chukizwa sana na baadhi ya watu ambao wanapenda sana kujiona bora kuliko wengine especial waislamu na walokole Waislam wao wanajiona wapo sahihi kwa asilimia 100 na wengine ni watenda dhambi hua nachukizwa sana Unakuta mtu anasema huyo ni najisi mala amelaaniwa nani...
  20. Ushauri kwa wazazi wa Kiislam: Wapelekeni watoto Madrasa

    Natumai nyie ni wazima wa afya, Leo nimeona nilete huu ushauri kwa wazazi wa kiislam kuwa tujitahidi sana watoto wetu waende madrasa wapate elimu ya dini. Elimu ya kawaida tunajua ni muhimu sana na kwasasa kila muislam kaamka kuhusu elimu ya kawaida ila naombeni tu msiache kuwapeleka watoto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…