wajasiriamali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wajasiriamali mnaitwa kuchangamkia mikopo ya asilimia 10

    Wakati wimbi la mikopo ya kausha damu likiendelea kutikisa nchini, wajasiriamali wilayani Serengeti mkoani Mara wametakiwa kuchangamkia fursa ya mikopo nafuu ya asilimia 10 inayotolewa na halmashauri. Hayo yamesema na Mwenyekiti Wa UVCCM Mkoa Wa Mara, Mary Joseph wakati akizungumza na...
  2. Dkt. Gwajima: wanawake wameitika, hatukuwa na makongamano ya kuongea-ongea bali maonesho ya wajasiriamali

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt. Dorothy Gwajima, amesema mwaka huu wanawake wameitika kwa kushiriki katika makongamano ya wanawake yaliyofanyika sehemu mbalimbali nchini. “Hii inaonesha kuwa wanawake wameitika… hatukuwa na makongamano ya kuongea-ongea...
  3. Kuna haja ya Elimu zaidi Kwa wajasiriamali na wawekezaji wadogo wadogo.

    Habari za jioni jamii forum Kazi ni maisha,kila hatua na kila siku tunahitaji ubunifu mpya kwenye mishe zetu ikiwa ni njia ya kujikwamua na kuuacha umaskini haswa Kwa sisi watu wa kipato cha chini. Lakini je,tuna elimu ya kutosha Kwa tuyafanyayo,au tunayoyaanzisha? Au ni tamaa na kuiga tu...
  4. Kufanya biashara na wajasiriamali ni kazi ngumu sana

    Hizi ndo hints; 1. Wengi wao wanahali mbaya 2. Wengi wao hawana ela 3. Wengi wao huwa wanahisi wanataka kuibiwa muda wote ingawa hawana cha kuibiwa 4. Wengi wao ni walalamishi. 5. Wengi wao mpaka anunue kwako ujue wamekosa mwingine, yaani wamehangaika Sana. MTU yupo radhi aagize kitu china ili...
  5. N

    Mashine Portable kwa Wajasiriamali wadogo wa Unga wa Lishe/Dona/Sembe

    Mashine hii portable itakusaidia kufungua au kurahisisha biashara yako ya unga wa lishe, sembe, dona n.k Inatumia umeme wa nyumbani tu na ina uwezo wa kusaga kilo 300 kwa saa na kukoboa kilo 200 kwa saa. Complete na mota na kila kitu bei ni million 2 tu. Tupigie 0636751473 Mbezi mwisho (mbezi...
  6. Tabora: Wajasiriamali wa Kachoma walaumu kuvunjwa kwa vibanda usiku wa manane na kupoteza mali zao

    Wajasiriamali wadogo waliopewa eneo la gati la maji nje ya soko la Kachoma, Kata ya Chemchem Manispaa ya Tabora ili wafanyie biashara zao kwa muda huku serikali ikiwatafutia maeneo mapya na sahihi ya kufanyia biashara, wamelalamikia kuvunjwa kwa vibanda vyao usiku wa manane pasi na kutafutiwa...
  7. Wajasiriamali wenzangu naomba ushauri kwenye hili

    Hapa dukani kwetu tuna binti mmoja ambaye mwaka jana alipata ujauzito. Ulipofika muda wa kujifungua tulimpa likizo ya miezi 3 ambapo pia tuliendelea kumlipa. Mwezi huu wa kwanza tarehe 1 alirudi tena kazini ila akiwa na mtoto wake. Binafsi nilidhani baada ya miezi 3 angeweza kurudi na kuchapa...
  8. Wajasiriamali wanaofanya biashara pembezoni mwa msikiti wa Mtoro Kariakoo watimuliwa

    Wajasiriamali wanaofanya biashara pembezoni mwa msikiti wa Mtoro wameitaka serikali kuingilia kati mgogoro unaoendelea kati yao na uongozi wa msikiti huo ambapo umewataka wafanyabiashara kuondoka eneo la barabara ambalo wanafanyia biashara kabla na baada ya matengenezo ya barabara. Akizungumza...
  9. OFA KWA WAJASIRIAMALI, TUNACHAPA(PRINTING) PRODUCT LABEL KWA GHARAMA NAFUU

    Je, wewe ni mjasiriamali na unajiuliza ni vipi utaongeza ubora wa bidhaa zako na kuongeza mauzo. Leo Digital Sprayer tunalo jibu la maswali yako. Tumekuletea huduma ya uchapaji(printing) na ubunifu(design) wa label za bidhaa za aina zote kwa gharama nafuu na ubora wa hali ya juu. LABEL NI...
  10. Wajasiriamali mnaojihusisha na biashara ya chakula cha binadamu na vinywaji mnazingua sana

    Ukiachana na hii video.., 1. Kuna video moja niliona njemba zinakanda unga wa ngano kwa kurukiarukia tena peku. 2. Nimewahi kushuhudia jirani yangu (mpangaji mwenzangu) akitumia chupi kama chujio cha chai. Alikua ni mama ntilie pale mtaani kila asubuhi alikua anaenda kuuza uji, chai na...
  11. Wakina Mama Wajasiriamali wa Dodoma Wamshukuru Rais Samia kwa Fursa za Kiuchumi

    WAKINA MAMA WAJASIRIAMALI WA DODOMA WAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA FURSA ZA KIUCHUMI ▪️Wajipanga kujiimarisha kiuchumi kwa fursa za kiuchumi kwa fursa zilizopo Dodoma. ▪️Wajipanga kujenga Maduka ya kibiashara na eneo maalum la uwekezaji ▪️Wampa tuzo Mbunge Mavunde kwa mchango wake kwa wakinamama...
  12. Benki ya Biashara Tanzania (TCB), yazindua bidhaa ya LIPA POPOTE ili kurahisisha miamala kwa wajasiriamali wadogo na wa kati (SMEs)

    Dar es Salaam, Benki ya Biashara Tanzania (TCB), yazindua bidhaa ya LIPA POPOTE ili kurahisisha miamala kwa wajasiriamali wadogo na wa kati (SMEs) na wamiliki wa biashara Benki ya Biashara Tanzania (TCB) inajivunia kutangaza uzinduzi wa bidhaa ya LIPA POPOTE, suluhisho la malipo lililobuniwa...
  13. Naibu Waziri Kigahe: Wajasiriamali Wapewe Elimu ya Kurasimisha Biashara

    NAIBU WAZIRI KIGAHE: WAJASIRIAMALI WAPEWE ELIMU YA KURASIMISHA BIASHARA Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe amezitaka mamlaka za Serikali zinazosimamia sekta ya biashara nchini kutoa huduma bora na kuwalea wajasiriamali ili waweze kufanya uzalishaji wenye tija na kuongeza...
  14. Tuwekeze kwa wajasiriamali wadogo wanaojituma

    Habari wakuu, Nina wazo la 'win/win situation' inawezekana wewe ni mjasiriamali uko kwenye kundi hili:- Muuza genge Muuza mishikaki/ nyama mapande Muuza matunda Mama ntilie Mtembeza karanga, soda, biskuti n.k Chinga wa nguo Muuza nyanya, vitunguu n.k sokoni Muuza vyombo kwa kutembeza Unachoma...
  15. Vikundi 8 vya Wajasiriamali Ludewa vyawezeshwa mitaji ya shilingi milioni 101

    Vikundi nane vya Wajasiriamali kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa vimenufaika na mtaji wezeshi kutoka Benki ya CRDB kiasi cha shilingi milioni 101.6 kwa ajili ya kuimarisha biashara zao na kukuza mitaji. Hafla ya kukabidhi hundi hiyo imefanyika leo Septemba 18,2024 sambamba na ufunguzi wa...
  16. Benki ya biashara Tanzania (TCB) kushirikiana na Bunge la Tanzania kuwainua wajasiriamali nchini

    Katika jitihada za kuimarisha ushirikiano baina ya taasisi za kifedha na mihimili ya Serikali, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB), Bw. Adam Mihayo, amemtembelea na kuzungumza na Spika wa Bunge la Tanzania, Mheshimiwa Tulia Ackson. Bw. Mihayo ameambatana na Mkurugenzi wa...
  17. Mbunge Tauhida Gallos Atoa Wito kwa Wajasiriamali Kushirikiana na Kubuni Mbinu

    MBUNGE TAUHIDA GALLOS: WAJASIRIAMALI SHIRIKIANENI NA KUBUNI MBINU Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi Mhe.Tauhida Gallos amewataka wajasiriamali kushirikiana na kubuni mbinu mbalimbali zitakayoweza kuwaletea maendeleo katika familia zao. Mhe. Tauhida ameyasema hayo huko Mazizini mara...
  18. Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation (MIF) Yagawa Mitungi ya Gesi 2,000 (Kg 30) kwa Wanawake Wajasiriamali Mkoa wa Kusini, Zanzibar

    Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation (MIF) Yagawa Mitungi ya Gesi 2,000 (Kg 30) kwa Wanawake Wajasiriamali Mkoa wa Kusini, Zanzibar Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) chini ya Mwenyekiti wake, Mhe. Wanu Hafidh Ameir tarehe 04 Julai, 2024 imegawa Mitungi ya Gesi 2,000 ( KG...
  19. Movies gani nzuri kutazamwa na wajasiriamali?

    Mimi siyo mtazamaji sana wa movies, si kwa sababu sipendi, ila ni vipaumbele. Ninapenda zaidi kusoma, hivyo mara nyingi nipatapo nafasi, hutumia kwa kusoma. Ukinikuta natamaza TV, ujue ni ama taarifa ya habari au documentary ya Kisayansi, n.k. Lakini nimesoma mahala kuwa kuna movies zinazoweza...
  20. B

    Benki ya CRDB yaadhimisha Siku ya Wajasiriamali Duniani ikitooa Shilingi Bilioni 995 mpaka Mei 2024

    Afisa Mkuu wa Uendeshaji wa Benki ya CRDB, Bruce Mwile (kulia) akiwa pamoja na Mkurugenzi wa Wateja wa Awali na Kati wa Benki ya CRDB, Bonaventure Paul wakizindua rasmi Akaunti ya Biashara 'CRDB Biashara Account' kwenye hafla ya maadhimisho ya Siku ya Wajasiriamali Duniani iliyofanyika kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…