WAFANYABIASHARA NA WAJASIRIAMALI MKOANI LINDI WAPATA MWAMKO WA KUTHIBITISHA UBORA WA BIDHAA ZAO MARA BAADA YA KUPATA ELIMU KUTOKA SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA (TBS)
Na Mwandishi Wetu, Lindi
WAFANYABIASHARA na wajasiriamali mkoani Lindi wamepata mwamko wa kuthibitisha ubora wa bidhaa zao pamoja...
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limewajengea uwezo Wasindikaji na Wajasiriamali Mtwara kuhusu viwango katika bidhaa zao
Na Mwandishi wetu Mtwara
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limetoa mafunzo kwa Wajasiriamali na Wasindikaji wa korosho mkoani Mtwara ili kuwajengea uelewa kuhusu viwango...
TBS: WAFANYABIASHARA NA WAJASIRIAMALI JITOKEZENI KUTHIBITISHA UBORA WA BIDHAA MNAZOZALISHA
Na Mwandishi Mwanza
WAFANYABIASHARA na wajasiriamali wa mikoa ya kanda ya ziwa wametakiwa kujitokeza kwa wingi kupata huduma katika Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa ajili ya kuthibitisha ubora wa...
Wakuu salaam!
Kama ambavyo iliasisiwa na Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dr JPM kwamba kila siku ya Jumamosi ya mwisho wa mwezi itumiwe na wananchi kwa ajili ya kufanya usafi katika maeneo yao yanayowazunguka.
Awali siku hii ya usafi ilizingatiwa na kupewa...
Wakaguzi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) wakikagua baadhi ya maduka ya vyakula na vipodozi pamoja na viwanda vya wajasiriamali wilayani Liwale mkoani Lindi.
TBS imeanza kampeni ya kutoa elimu kwa wajasiriamali na wenye viwanda juu ya umuhimu wa kupata alama ya ubora sambamba na kukagua na...
Biashara (kuuza na kununua au kubadilishana bidhaa) imedumu duniani tangu enzi za kuumbwa kwa dunia. Kazi hii imekuwa ikifanywa na watu wa kila aina. Hapo awali biashara ilifanyika kwa kubadilishana bidhaa (barter). Mwalimu wa sayansi ya jamii (Anthropology) Prof. Chapurukha Kusimba kutoka chuo...
Wakuu habarini za leo, nahitaji kufaham kiji-senta kilicho changamka au mji mdogo ambao unawajasilia Mali wadogo wadogo wanao uza chakula, chips, wamama wanye magenge ya vyakula.
Ki miji hicho kiwe kinajiendesha kibiashara kila siku kisiwe watu wake wanasubiri mavuno ili wafanye biashara. Kama...
Mbunge wa jimbo la Vunjo Mhe Dkt. Charles Stephen Kimei akizungumza na Azam TV ameeleza umuhimu wa serikali kuanzisha mfuko maalum wa kuwawezesha wajasiriamali na wafanyabiashara wa kati kwa mikopo ya masharti nafuu, riba ndogo na ujuzi katika kuendesha na kusimamia biashara zao au kuziongezea...
Je, kwa muda mrefu unasumbuka namna bora ya kuiendesha biashara yako kisheria na kuiongezea thamani biashara yako? Kama ndio basi nina jambo jema kwaajili yako.
Biashara yoyote ili itambulike kisheria lazima iwe na vibali vyote vitakavyo muwezesha kufanya biashara yake.
1. TIN ya biashara
2...
"Asubuhi panda mbegu zako ,Wala jioni usizuie mkono wako ,kwa maana wewe hujui ni zipi zitakazofanikiwa,Kama ni hii au hii ,au zote zitafaa sawasawa"mhubiri11:6
salute!!
Waswahili walisema maisha ni hatua na Kila hatua DUA,wazungu wanasema "don't give up keep on grinding...
Habari ya leo wakuu,
Nna wazo moja ambalo tunaweza kushirikiana vijana 10 WAJASIRIAMALI tunaojihusisha na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali.
Pia ni muhimu tusajili kikundi chetu ili kiweze kutambulika na bidhaa zetu tunazozalisha zitambulike.
Lengo la kuungana
1.Kushughulikia vibali vyote...
Habari za muda wadau na wanajamvi,
Tony Elumelu ni mwana wa afrika, mjasiriamali, mpambanaji na mkarimu pia. Alianzisha foundation ya Tony Elumelu, mnamo mwaka 2010. Nia ilikuwa ni
Mnamo mwaka 2015, mlango ulifunguliwa kwa ajili ya kuwafadhili wajasiriamali barani Afrika, kupitia kampuni ya...
Waziri wa viwanda na biashara Mhe. Mwambe ametembelea maonesho ya bidhaa za wajasiriamali katika viwanja vya saba saba jijini Dar es Salaam.
Mwambe amekagua bidhaa za wajasiriamali hao na kuwataka waendelee kujikita kwenye ubora na viwango ili waweze kupata masoko ya uhakika.
Maonesho hayo...
Habari za wakati huu,
Kwanza nianze kwa kuwapa pole wale ambao katika kipindi hiki cha COVID wamejikuta katika wakati mgumu kwa sababu moja ama nyingine katika biashara zao na maisha kwa ujumla na kwa wale ambao wameifariki dunia katika kipindi hiki wapumzike kwa amani.
Nirudi kwenye mada kwa...
Top Quality Website & Hosting Package - 50% Off!
We're pleased to offer our Top Quality Website & Hosting Package to new and small businesses at Over 50% OFF our regular prices for either a new or re-designed websites. With the current 2019 tight economy we recognize that many businesses need to...
Juzi kuna jamaa yangu kanipigia simu akawa ananieleza vitu sivielewi elewi.
Ni kitu kinaitwa Mr. Kuku Farms akidai ni mradi mkubwa wa ufugaji kuku una physical presence na ni kampuni iliosajiliwa ndio inaendesha huo mradi.
Yeye ameshawishika kuwekeza huko kwamba kuna faida nzuri compared na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.