KAZI ni mojawapo kati ya nguzo muhimu katika maisha ya mwanadamu. Mahitaji muhimu katika maisha ya mwanadamu ni matokeo ya kazi. Unapokatiza mitaani, katika mitandao ya kijamii, majarida na wavuti mbalimbali, maombi na matangazo ya kazi vinapewa kipaumbele kikubwa. Wengi hudamka asubuhi...