Kuna hili suala la Bandari linaloendelea Nchini, limekuwa lichukua sura tofauti tofauti kila kukicha, na kadri siku zinavyozidi kwenda, mambo mbalimbali yamekuwa yakijitokeza hasa mara baada ya Bunge la Bajeti kutenga muda wakati fulani siku ya Jumamosi kwa ajili ya kujadili jambo la Bandari...