wajibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    Mikataba mibovu ya gesi asilia nini wajibu wa Bunge letu?

    Majuzi nilisoma uzi wa ndugu yetu Mayala Pascal unaoelezea namna tulivyoingia mikataba ya hovyo kabisa ya Gas yetu ya Mtwara kwa wageni kijinga kabisa. Nimejiuliza sana haya; 1. Nini kilitokea hadi wabunge wakapitisha mikataba ile kwa 'hati ya dharura'? 2. Kwanini wabunge wa upinzani walikataa...
  2. J

    Yaliyojiri katika Mjadala wa Club House ya JamiiForums: Nini kifanyikeili nchi ipate tija stahiki kutokana na misaada inayopata kutoka nje ya nchi?

    Mjadala wa leo katika Club House ya Jamiiforums unahoji "Nini kifanyikeili nchi ipate tija stahiki kutokana na misaada inayopata kutoka nchi za nje. Kujiunga na mjadala huu tafadhali gusa link hii hapa chini https://www.clubhouse.com/join/jamiiforums/LYWyFrn2/PQDz7y5w Mjadala umeanza...
  3. Analogia Malenga

    Wajibu washauri CAG achunguze COVID-19 ilivyoathiri Uwajibikaji wa Serikali

    Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imeonesha kushindwa kukagua ofisi 43 za balozi za Tanzania kwa mwaka wa fedha 2019/20 kutokana na janga la #COVID19 Kutokukaguliwa kwa balozi hizo kunafanya wananchi washindwe kujua uwajibikaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na...
  4. beth

    WAJIBU: Umuhimu wa Ukaguzi wa Hesabu

    Ukaguzi wa Hesabu kwenye Sekta ya Umma ni utaratibu wa kupitia usahihi wa taarifa za Mapato, Matumizi, mali, madeni pamoja na utendaji ili kubaini kama Sheria, Kanuni, Taratibu na thamani ya fedha zimezingatiwa Ni muhimu kuelewa taarifa za ukaguzi ili kufahamu jinsi Rasilimali za Umma...
  5. Mukulu wa Bakulu

    Wanaume mliooa jitahidini kutimiza wajibu wenu kadri inavyowezekana

    Huu ni ushauri kwa wanaume wenzangu mliooa, jitahidini kadri ya uwezo wenu kutimiza wajibu wenu. Naomba niwakumbushe, hakuna mwanamke rahisi kutongoza na kumla kama mke wa mtu, ni rahisi sana. Lakini pia hakuna mwanamke mgumu wa kumtongoza na ukamla kama mke wa mtu ambae mume wake anatimiza...
  6. Denis1729

    SoC01 Wajibu wa Serikali katika kuleta Maendeleo ya Jamii

    Maendeleo ya jamii hutokana na jamii kwa kushirikiana na serikali kuhakikisha huduma za jamii zinapatikana kwa urahisi kutokana na demokrasia imara pamoja na utawala bora ambao utaongozwa na katiba ya nchi katika kuweka vipaumbele vinavyoleta maendeleo bila kuathiri maisha ya mwananchi, kutambua...
  7. BAKIIF Islamic

    Wajibu wa mtoto kuwafanyia wazazi wake mambo 10

    Assalamualaikum Mambo 10 unatakiwa kuwafanyia wazazi wako wakiwa hai. 1-Ikiwa umeshafikia balekhe na una jitegemea kimaisha, ni wajibu wako kuhakikisha wazazi wako hawalali njaa. (BABA na MAMA kula yao ni wajibu wako mtoto): Utawahudumia chakula kama wao walivyokuwa wakikuhudumia wakati wa...
  8. C

    SoC01 Uvuvi haramu, athari zake na wajibu wa wananchi katika kuzuia uvuvi haramu ziwa Victoria

    Nimeamua kuandika kuhusu swala la uvuvi haramu hapa nchini hasa nikiangazia ziwa Victoria Kwa sababu nina uzoefu mzuri kwenye shughuli za uvuvi. Nitaanza kwa kueleza maana uvuvi haramu na hali ya uvuvi haramu hapa nchini (hasa ziwa Victoria), athari zake na wajibu wa wananchi katika kuzuia uvuvi...
  9. J

    Waziri Dkt. Kijaji aikumbusha Menejimenti ya Wizara ya Habari kutekeleza wajibu

    DKT. KIJAJI AIKUMBUSHA MENEJIMENTI YA WIZARA YAKE KUTEKELEZA WAJIBU Asema Tuko Hapa Kuwatumikia Wananchi Prisca Ulomi na Faraja Mpina, DODOMA Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt. Ashatu kijaji ameitaka Menejimenti na watumishi wa Wizara yake itambue kuwa lengo na...
  10. LellozWho

    Kusaidia Ndugu/familia ni wajibu au lazima?

    Nimeona sehem nyingi, familia nyingi na hata mmoja wa polisi aliyefariki kwa tukio la Juzi inaonesha kua alikua tegemeo la familia nzima mpaka mtoto wa kaka yake. Hoja yangu ni moja. Hii ni tamaduni au ni vipi!? Unamaliza shule, unapata kazi baada ya hapo unatakiwa kusaidia familia nzima na...
  11. ImanHB

    SoC01 Hatua za msingi na wajibu katika jamii na Serikali yake ili kujenga taifa endelevu

    Sadoth H. Balilonda ( Mjasiliamali ) sadothhenry250@gmail.com +255756536474/+255676436474 Makala hii inatoa muamko ambao unalenga kuchochea mabadiliko katika nyanja mbalimbali za uchumi kupitia biashara, kilimo, sayansi na teknolojia, afya, maendeleo ya jamii na uajibikaji kwa ujumla. Lengo...
  12. J

    SoC01 Makuzi ya watoto ni wajibu wa jamii nzima

    Kila mara tumekuwa tukishuhudia na kusikia matukio ya ukatili na unyanyasaji wa watoto yakiongezeka na kuripotiwa nchini Tanzania. Kutokana na ongezeko hili, jitihada mbalimbali zimechekuliwa na serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali kupunguza ukatili na unyanyasaji wa watoto. Kwa...
  13. Kifurukutu

    SoC01 Ni wajibu wetu kujitoa kuwasaidia watu wenye mahitaji muhimu katika jamii

    JF Katika jamii kuna makundi ya watu mbalimbali, wapo watu wanaojiweza kumudu mahitaji yao yote lakini pia kuna makundi ya watu hawajiwezi kumudu mahitaji yao ya kila siku katika maisha Mahitaji muhimu katika maisha ya mwanadamu ni Chakula, malazi na mavazi,, katika jamii yetu hii kuna watu...
Back
Top Bottom