UTANGULIZI.
Nafungua kamusi yangu ya kiswahili na Kutambua kuwa Neno "DINI" ni neno la kiarabu lenye maana ya jumla ya imani ya binadamu pamoja na mafundisho wanayotoa kuhusu yale ambayo wanayazingatia ama kuyasadiki, yaani mambo ya roho, kama vile kuhusiana na Mungu, maisha na uumbaji (...
WAJIBU WA SERIKALI ZA MITAA KUWALINDA WATU WENYE ULEMAVU.
Leo napenda kuelezea wajibu wa serikali za mitaa katika kuwalinda watu wenye ulemavu.
Mamlaka ya serikali za mitaa ina wajibu wa kulinda na kukuza haki na ustawi wa watu wenye ulemavu katika eneo lake.
Jukumu hili linatekelezwa na...
Salama wandugu kwa kweli adui akiwa na chuki na mtu hachoki fitina Sasa viongozi wa magharibi baada ya kuishiwa hoja wamsema vibaya Raisi Putin tabia ya kupiga picha kifua wazi na yeye Putin awajibu kwamba wao hawana umbile la kuacha kifua wazi kwani wamevimbiana ovyo ovyo kwa ajili ya mapombe...
HAKI NA WAJIBU KWA WAFANYAKAZI WA KAZI ZA NDANI.
[PLEASE USIACHE KUSOMA HAPA]
Kazi za ndandani ni kazi zinazofanywa ndani au nje ya nyumba.
Mfano: usafi wa nyumba, kufua, kupika, kulea watoto, kutunza mifugo nk.
Mfanyakazi wa kazi za ndani ni mtu yeyote anayefanya kazi za ndani, ndani ya...
Shoo Shoo Kali ni Kali !
Kwa ufupi tu unapotaka kula njaa ni yako na kushiba ni jambo binafsi na kuridhika na msosi ni jambo binafsi hasa ladha ya ulimi wako, ubora wa meno, test ya chumvi, potion size etc, uwezo wa tumbo, mazoea, na etc.
Hii ni akili kubwa tu karibu kwa misumari, mateke...
Kwa sasa nchi inapitia kwenye wakati mgumu kutokana na kupanda kwa gharama za maisha, mfumuko wa bei na milipuko ya magonjwa.
Kiongozi mkuu wa nchi kila mara yuko nje ya ofisi. America, Zanzibar, Uganda nk.
Je, kazi za mabalozi ni zipi?
Je, safari hizo zina tija kwa taifa?
Mabinti wa Shule ya Makongo Juu Secondary ( zamani Londa Secondary ) kama Wewe ni Mzazi au Mdau tu wa Maadili na Maendeleo ya Elimu ukibahatika kukutana Barabarani kuanzia Saa 9 Alasiri wanapotoka unaweza ama ukalia kwa Uchungu au hata Hasira Kukupanda na ukawachapa na Kuwaadhibu vikali...
Nimekuwa nikiskia kuandamana ni haki ya kikatiba.
Lakini duniani kote kuandamana ni ugomvi wa wazi kati ya serkali na waandamanaji kias kwamba ni kama uasi. Hadi kutangaziana ubabe.
Mtaalam wa sheria na siasa za uongozi na utawala anisaidie kujua dhana ya kuandamana ni wakati gani inakuwa...
Kwa ufupi ni kuwa yule dada wa kinigeria alimpenda mlinzi wa kimakua na akaona haiwezekani kulala mwenyewe ila baadae akamgeuka, na walifikishana mpaka kwa mkuu wa wilaya ili kusuluhisha.
Lakini yuke binti wa kiniger akagoma mpaka alipwe kitita cha US dollar 10,000 takribani 23.5mil ili...
Ninawaza kwa kina majibu sipati, hawa waheshimiwa wanatekeleza wajibu wao kikatiba kweli?. Ninaona wenzetu hawatangulizi masrahi ya taifa mbele badala yake wamejaa chuki binafisi, kujipendekeza na kulinda masrahi Yao binafisi.Ninamuangalia Luhaga mpina wa 2015-2020 si huyu wa 2021-2025.Musukuma...
Mada hii aliwahi kuandika... Prof.Mkumbo (kabla hajakengeuka!) kuwa tumeweka viwango vya chini mno kuwapima viongozi wetu!
Ukifuatilia mijadala inayoendelea hapa nchi kuhusu masuala nyeti kama umeme, maji, kilimo, nk utabaini jambo hili!
Mfano mdogo tu, ni lawama zinazoelekezwa kwa Januari...
Kuwajibika ni wajibu wa kila mtu na siyo watu fulani tu kama wengi tunavyodhani. Hakuna anayepaswa kuacha kuwajibika kwa sababu kila mmoja wetu anao wajibu huo.
Suala la kuwajibika si la viongozi tu ila baki na wanaoongozwa pia. Jamii au mtu mmojammoja anaweza kufikia malengo yake ikiwa...
Sheria ya Mtoto inamtafsiri mtoto kama mtu mwenye umri chini ya miaka 18. Watoto ni sehemu muhimu ya jamii na ndiyo tegemeo la uendelevu wa taifa lolote, hivyo hawana budi kulelewa vizuri na kuendelezwa.
Aidha, watoto wanayo mahitaji ya msingi ambayo kote Duniani yanatengeneza haki zao...
Pamoja na matatizo mengi Tanzania ilyokuwa nayo kabla ya mwaka 2016 lakini ilikuwa katika njia nzuri na ilikuwa inapiga hatua, Then akaingia Magufuli ambaye wengi, ikiwemo mimi nilidhani atatatua matatizo mengi ya nchi yetu kwa kipindi kile
Lakini Magufuli alikuja na siasa mpya ambazo...
Nitangaze mapema kwamba
1. Mimi ni graduate na ni jobless kama walivyo vijana wengi
2. Mimi Sina chama chechote na siyo msenaji wa yeyote.
Lakini najiuliza sana Hawa wahindi na wazungu waliohamia kutoka nje na kuwawekea watoto wao misingi ya mafanikio na Sasa wengi wa watoto wao under 35 ambao...
Mimi kama Mtanzania natangaza Kumuunga kauli ya Ndugai. Kwa mambo yafuatayo.
1. Lazima tujitathimi tunataka kukopa kwa nini? Deni linapozidi kukua ni lazima bunge na spika wakemee Hilo.
2. Hatuwezi kukopa kwa ajili ya Kujenga Madarasa na Vyoo na Kununua madawati. Hivi ni vitu visivyo produce...
Nilipokuwa mdogo niliamini Jeshi la Polisi ni taasisi inayo mulika kila mahali!
Niliamini Polisi ni Dubwana kuuubwaa lenye kuona yaliyopita, yaliyopo na yajayo!
Hii Imani ilinifanya nivimbe kichwa na kutembea kifua mbele!
Sikuogopa ujambazi kwasababu niliamini jeshi lipo!
Nilikatiza popote...
Tumeshuhudia watu wengi wasio na ufahamu wakisema eti kesi ya Mbowe tuiachie Mahakama iamue na kusiwekwe shinikizo la serikali kuiondoa kwa vile ni ya kubumba.
Tumeona pia Bunge la EU lililaumiwa eti liache kumshinikiza Rais Samia kuondoa kesi hii kwa vile tayari iko mahakamani. Tukumbuke...
Nini majukumu ya kila siku ya Ofisi hii ya msajili wa vyama vya siasa ikiwa vyama havifanyi kazi za siasa Nchini.
Inakuwaje Mwenyekiti wa chama kimojawapo anatoa tamko shughuli za siasa hadi apende yeye.
Ofisi hii ikaungane na Rita kupunguza matumizi ya fedha.Msajili asiwe mteule wa Rais