wajinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mystery

    Waziri Mwigulu anatufanya Watanzania wote wajinga, atawezaje kutujaza wananchi shilingi trillion 5 mifukoni mwetu?

    Hii siyo hadithi ambayo nimejitungia, bali nimemnukuu Waziri Mwigulu Nchemba, wakati akizungumza kwenye uzinduzi wa benki mpya biashara Tanzania (TCB) siku 2 zilizopita, eti serikali yake ina mpango wa kutujaza wananchi shilingi trillion. 5 mifukoni mwetu, katika mzunguko wa pesa katika bajeti...
  2. Q

    Wabunge wanatuona ‘SISI’ wananchi ni wajinga sana

    Tunategemea Wabunge wawe watetezi wa wananchi kwenye masuala mbalimbali kurahisisha maisha yetu badala yake wao ndio wamekuwa wawakilishi wa serikali kutugandamiza. Wabunge wameridhia serikali kupunguza kodi kwenye bia na kuongeza kodi kwenye mafuta ya petrol, hawaoni kuwa ni mzigo kwa...
  3. Lituye

    Hayati Magufuli hapa alisema ukweli, tatizo sisi ni wajinga

    Nikikumbukaga kauli za Magufuli hasa ile ya kusema nchi hii imechezewa sana huwa napata hudhuni sana kwa nini watanzania wengi ni wajinga hawana upeo wa kuchanganua mambo. Magufuli akatuonesha wazi wazi kuwa nchi hii inachezewa kwa yeye kwenda kujijengea uwanja wa ndege wa kimataifa kijijini...
  4. MEXICANA

    Wanasiasa msitufanye wajinga kuhusu mikutano ya kisiasa

    Specifically naongea na wanaodai kwamba hakuna uhuru wa kufanya mikutano ya kisiasa. Rais kasema hajazuia mikutano yenu ya wanachama wenu ndani ya chama. Wabunge wafanye kwenye maeneo yao pia. Marekani wametoka kwenye uchaguzi juzi kati, je? Bado wanaendelea na mikutano ya siasa? Tunataka...
  5. F

    CAF sio wajinga kuwanyima marefa wa Tanzania mechi za CAF champions league

    Tazama mwenyewe picha .. Sehemu ya kuweka ukuta refa anakubalije mechi ianze wakati ukuta bado anaelekeza pa kukaa.. Tazama morrison alipo.. tazama refa alipo na anafanya nini huyo refa
  6. S

    Mwigulu Nchemba, Mnalofanya Serikali ni ukiukwaji mkubwa wa kanuni za kodi na mnadhani Watanzania hawaelewi

    Mwigulu Nchemba, ambaye siku zote ametueleza kwamba yeye ni mchumi mbobezi aliefaulu degree yake ya uchumi pale Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa daraja la kwanza, anakuja kutufafanulia Watanzania kwamba serikali imefanya ufikirio saa katika suala la kodi ya laini ya simu ili isiwaumize...
  7. D

    Mfano siku ikibainika kula bila kumenya kunaongeza umri wa kuishi hadi miaka 200, tutajiona wajinga sana

    Hivi kwa mfano; Ikabainika kwamba kula vyakula bila kumenya ndiyo chanzo cha umri mrefu duniani itakuwaje! Ujue ukitafakari sayansi ya watu wa zamani kuishi miaka mia 600 au mia 400! Unashindwa kabisa kuelewa siri imefichwa wapi hadi sahivi watu waitafte 100 kwa mbinde! Mi nazani siri hii...
  8. Erythrocyte

    Kati ya Viongozi hawa Tumuamini nani , mbona wanatufanya Watanzania ni wajinga kiasi hiki?

    Inawezekana ni kweli kwamba Watanzania ni wajinga na hawatunzi kumbukumbu kutokana na ujinga wao , lakini siamini kama watu hawa ni mbumbumbu kiasi cha kudanganywa kibwege namna hii.
  9. Miss Zomboko

    Serikali yatangaza awamu ya pili ya ajira 5000 za Walimu

    Serikali imetangaza awamu ya pili ya ajira ya walimu 5,000 ili kufikia idadi ya walimu 13,000 kutokana na kibali kilichotolewa na Rais John Magufuli. Septemba 7, mwaka jana Rais John Magufuli alitoa kibali cha ajira mpya za walimu 13,000 wa shule za msingi na sekondari pamoja na mafundi sanifu...
  10. Nyankurungu2020

    Ndugai acha kuwaona watanzania ni wajinga. Kama Hayati Magufuli alipotoshwa, wewe kama Spika kwanini haukumshauri?

    Tunapoenda tunaelekea pabaya sana. Na hii ni dalili mbaya sana ya kuwepo kwa viongozi wanafiki na wasiofaa katika jamii yetu. Rais wa JMT ni sehemu ya bunge, bunge la JMT lina mamlaka ya kuisimamia Serikali na kuhoji pale serikali inapofanya ndivyo sivyo, hili lipo wazi kabisa kwa mujibu wa...
  11. Pascal Mayalla

    Pamoja na ufisadi wake wote, Chenge is one of the best brains kwenye Bunge full of ignorants

    Wanabodi, Natanguliza kwa kuomba msamaha kutumia maneno makali kwenye uzi huu, kwasababu kwa hapa nchi yetu ilipofika, labda kwa kutumia maneno makali kama haya, ndio yatasaidia tuweze kuelewana na kutubadilisha to change for the better!. Baadhi ya wananchi wa Tanzania ni ma ignorants, baadhi...
Back
Top Bottom