Habari wanajukwaa, nina hii sakata nahitaji msaada wa mawazo nini kifanyike.
Nilikua na nimeajiriwa kwa biashara ya mtu, mzigo/malighafi nachukua kwa watu watu kwa mali kauli na mwenye ofisi alikua anafahamu.
Baada ya mda mwenye biashara kanigeuka kwamba yale madeni ni yangu binafsi sio ya ofisi...
Aisee hivi kuna ishara yoyote ya kiimani ukiwaona popo wengi sana? Aisee leo nimejikuta nimepigwa na mshangao kiukweli wakuu maana kuna sehemu nimekaa chini ya mti nikawaona popo wengi sana Wanaruka ruka then wakaishia juu ya mti ambapo mimi nipo wametulia aisee! Sasa nauliza kuna ishara yoyote...
Hivi kuna uhusiano gani kati ya wanyamwezi pamoja na wasukuma na zanzibar?
Au kati ya Wanyamwezi pamoja na Wasukuma na zanzibar?
Maana Zanzibar kuna idadi kubwa ya Wanyamwezi pamoja Wasukuma kila mahali.
1. President-elect; kwa Kiswahili tafsiri yake ni Rais mteule.
Rais aliyechaguliwa anakuwaje rais mteule? Mteule si yule anayeteuliwa?
President - rais.
Elect-chagua/ chaguliwa.
Kwa nini huyo anayeitwa rais mteule asiitwe ‘Rais-mchaguliwa’, badala yake?
2. Nini Kiswahili cha haya maneno...
Muhimu: Wanywaji wanakunywa bila kuharibu ratiba za shughuli zao muhimu, ni tofauti na walevi.
Haimaanishi kwamba ni wote lakini kuna kundi kubwa si haba la wanywaji wa pombe wana maendeleo kwenye jamii kwa levels kama ngazi ya familia, ukoo, mtaa, ofisi, soko, n.k.
Ukienda pale kariakoo jamii...
Mfano magari yote yanatumi carnot cycle invention! Mengine yote baada ya carnot cycle invention, I can call it Industrial designs tu ndizo tofauti!
Sasa hawa Youtube na Tiktok wanatofaunian namna gani technologywise!
Habari ndugu zangu
Naomba kufahamishwa. Ndoto kuhusu kusafisha choo zinaweza kuwakilisha kitu gani,tafsiri yake ni nini katika ulimwengu wa mwili?
Asante.
Juzi nilienda Town kutafuta simu ya samsung A15,Katika pita pita kuna wanaiuza 380,000.Maduka mengine hapa Moshi mjini wengine 480,000.
Mpaka Leo najiuliza kwanini yule auze 380,000 na specification ni zile zile?.Nilienda duka moja anauza mzee akaniuzia kwa 470,000 akaniambia tunaiscan uone ni...
Habarini za weekend hope mko poa na pole kwa wenye changamoto mbalimbali.
My point kwa wenye uelewa je kuna namna naweza kuzuia namba moja itakaponipigia apate taarifa kuwa sipatikani kwa muda huo ilihali nipo hewani a part from call forwarding au call barring au kumblock mana hii uwa inampa...
Habari wana jf, nina mdogo wangu amemaliza kidato cha nne ,2023 na kupata div 1 ya 15. Kuhusu ufaulu masomo yote ya sayansi amepata B.
Aliomba chuo kupitia utaratibu wa shule ule wa kuchagua selection alikosa, ( chuo cha afya kozi ya dental),sasa je nauliza akiomba kawaida kupitia nacte anaweza...
Gęby Sikiliza namna kina tokują na double standard, na hivyo kuifanya jamii ya mashariki ya Kati kuendeleza chuki dhidi ya jamii zingine
https://youtu.be/5iWJVXaFTxo?si=-7Cp87y_su-0l7qs
Napenda kufahamu tofauti kati ya official state visit na official visit, nimeshangaa kusikia karibu miaka 15 imepita ndiyo Ruto anakuwa kiongozi wa kwanza kutoka Afrika kufanyiwa official state visit huko USA!
===
1. Kenyan President William Ruto will become the first African leader in more...
Wakuu kama mada inavyojieleza, kuna nimepata dili la kupekeka kirosho kilo 500, ni wapi naweza kupata kwa bei ya jumla?
Tax itakuwa bei gani?
Nahitaji kusafirisha kwa njia ya meli.
Nipo Dar es salaam, msaada wenu tafadhali.
Mimi si mshabiki wa mno
Bali nimetokea kufanya tathmini kiduchu ila hii inanichanganya.
Hizi timu zinazopambania kuepuka kushuka daraja ligi kuu ya uingereza. Zinapigapiganaje hapa. Kati aya hizi nne au tano.
Ni kama hizo. H
Kwa mfano Bailey ammkomalia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.