wajuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Mtumishi wa umma akipata uhamisho wa muda anastahili kulipwa nini!?

    Wakuu kama nilivyoeleza,,mtumishi wa Umma akipata uhamisho wa muda kwenda kufanya kazi sehemu flani atastahili kupata malipo ya namna gani!? Ikipendeza niwekee na waraka au sheria inayoongoza malipo hayo.
  2. Crocodiletooth

    Wajuzi wa mambo naomba kufahamu za kulipia gari iliyokuwa exempted mwaka 2012

    Waungwana nimenunua mkweche uliokuwa exempted. Naomba kujuzwa wastani wa kulipia kwa gari ya namna hiyo, Discovery Landover. Msaada tutani.
  3. O

    Mke wangu ananiweka njia panda

    Aisee kama ndoa zenyewe ndizo hizi aisee sio poa kabisa nitajiengua kabisa muda si mrefu maana nahisi maluwe luwe kila siku na mbaya zaidi nimetoa mahari si haba lakini naona uzalendo unanishinda kabisa aisee Hivi inakuaje mke wako anamtumia picha zake mwanaume mwingine? Hata akiwa kaka yake...
  4. W

    Wajuzi wa mambo, hivi kwanini Biden bado ni rais wa USA pamoja na maboko yake yote?

    1. Mara kadhaa ameshaanguka tu hadharani. 2. Kusahau sahau anachotaka kusema. 3. Kumtukana, "What a stupid son of a bitch", mwandishi aliyemuuliza swali khhusu inflation.....huku kipaza sauti kikuwa on (alisahau kukizima). 4. Kupotea njia...n.k Sasa nachukulia ukubwa wa USA, kiranja wa...
  5. M

    Kwa wajuzi wa sheria, mgawo wa urithi kwa kesi kama hii mnaisolve kivipi?

    Habari wana JF naleta mrejesho wa kesi ile ya mgogor wa urithi. Baba aliyezaa na wanawake tofauti. Baada ya kwenda mahakamani ikaonekana ilikuwa ni kampuni na si mali ya mtu binafsi. Na katika mgawanyo wa kampuni kuhusu share mke wa ndoa yani mke wa baba yao aliyezanaye mtoto mmmoja ambaye ni...
  6. M

    WAJUZI WA SHERIA: Mgao wa urithi kwa kesi kama hii mnaisolve kivipi?

    Ni familia ya rafiki yangu mmoja. Iki hivi baba yao alioa mke wa kwanza akazaa nae watoto 2. Baada ya mikaa 3 mke alifaliki. Akabaki baba na watoto 2. Ila baadae baba yao akazaa na mwanamke mwingine tuu bila ndoa. Jumla akawa na watoto 3. Ila hawakufanikiwa kufunga ndoa. Ila mwaka 1996 alioa...
  7. K

    Wajuzi nishaurini, nataka kujiunga na Jeshi la Magereza

    Wakuu habari za muda? Nataka kujiunga na Jeshi la Magereza lakini kabla sijachukua uamuzi nimejaribu kudodosa maslahi nitakayopata nikiwa Askari Magereza. Baada ya dodoso langu nimeambiwa yafuatayo; - Mshahara 590000 kwa form 4 leaver anayeanza kazi. - Posho ya chakula 300,000 kwa mwezi...
  8. IBRA wa PILI

    Wajuzi wa Mambo tujuzane hii

    Nilinunua flash drive Ali express ya 64 GB iliandkwa usb 2.0 Alafu Nika nunua tena flash drive ya Lenovo 256 GB hii iliandkwa usb 3.0 Pia nilinunua OTG ambayo ilikua na sehemu ya (adapter ,flash drive na memory card) nayo hii iliandkwa usb 3.0 Sasa nataka kujua utofauti wake ni nini? Kati ya...
  9. enzo1988

    Wajuzi wa lugha ya kiingereza!

    Hili ni gazeti la lugha ya kiingereza la leo 12/09/2023 kutoka Tanzania! Kichwa cha habari ni sahihi? Najua ujumbe kusudiwa umefika! Najua ni makosa ya kibinaadamu! Tatizo wakenya wataanza nongwa! Hatari sana hii!
  10. kitonsa

    Wajuzi wa bei ya naomba kujua bei za mafuta huko duniani

    Mimi sio mtaalamu wa masoko yoyote ya dunia, nimekuja hapa kuuliza bei za mafuta katika soko la dunia ni bei gani? Dhumuni la kuuliza bei ni kutaka kulinganisha bei ya hapa tanzania ni sawa kwa uwiano na bei za dunia? Kuna komenti moja nimesoma humu jamaa kasema bei ya pipa moja iran na urusi...
  11. D

    Muliro kuongezewa muda kazini baada ya kustaafu akitenda kosa atashtakiwa kama raia au askari?

    Naam waungwana, hebu mnisaidie labda na wengine pia. Kamanda wa Polisi Kanda maalumu ya Dar es salaam Jumanne Muliro alistaafu rasmi mwaka jana. Kwamba siyo askari kiongozi tena. Akaongezwa miaka miwili. Swali langu. Je, akitoa amri kwa sasa na amri hiyo ikaleta madhara kwa umma au askari...
  12. M

    Kwa wale wajuzi wa mambo ya Dini, andika jina la Mtume na nchi aliyozaliwa

    Nimekuja na hii maada ili watu wapate kujua historia ya Mitume wa Mwenyezi Mungu, inchi walizozaliwa na walikuwa wangapi, Hapa tunazungumzia Mitume wa Mwenyezi Mungu, siyo wanafunzi wa mitume,Mtume ni yule aliyechaguliwa na Mungu peke, ambaye hata riziki yake anayokula hutoka kwa Mungu...
  13. W

    Kofia ndogo wanazovaa Wayahudi huwa zina maana gani?

    Nawaona sana wanavaa hao jamaa; watu wa kawaida hadi viongozi. Ina maana gani kuwa vidogo vile?
  14. Mwachiluwi

    Ushauri: Eneo gani kwa Dar linafaa kwa biashara ya car wash?

    Hello 👋 Natarajia kupata pesa kiasi, fulani sasa nilikuwa natamani kufungua biashara ya car wash. Napenda nijue ni eneo gani kwa Dar litafaa kwa car wash, na je, eneo hilo linakodishwa bei gani kwa mwezi? Pia vijana wa car wash wanalipwa bei gani kwa mwezi? Na vifaa vitanigharimu bei gani au...
  15. Poppy Hatonn

    Swali kwa wajuzi wa Kiswahili:"executioner" inatafsiriwa vipi Kiswahili.

    Mtu anayefanya kazi ya Mahakama ya kunyonga watu,anaitwa vipi? Jina lake limenitoka. Najiuliza miaka kumi sasa. (Kiswahili anaitwa vipi)." The hangman",siyo "assassin", just the hangman,anaitwa vipi Kiswahili? Naona tafsiri hapa;"mchinjaji","mnyongaji". Certainly ni "mchinjaji" na...
  16. M

    Chemsha Bongo

    Nishawahi kusikia au kasoma kuwa; Ujaama ni imani, CHADEMA ni imani, dini ni imani, taifa halina dini bali lina imani, 1. Nini tofauti kati ya KUAMINI na KUJUA 2. Kujua na kuamini je ni kitu kimoja au tofauti. 2. Je, Ujamaa, chadema, dini tunapaswa kujua au kuamini 3. Je, mama yako...
  17. marehem x

    Kwa wajuzi wa majeshi na vita. Menes Tarimo alikuwepo kwenye sanduku??

    Ni msiba wa yule jamaa aliyepigana vita nchini Ukraine. Hiv atakuwepo kweli au
  18. Expensive life

    Hivi kuna wanawake wajuzi kitandani na watamu kama wamakonde?

    Ndugu zangu kabla sijaowa nimekuwa kimahusiano na baadhi ya wanawake wa makabila tofauti tofauti japo siyo yote. Ila haya makabila yanayosifika kuwa mwanaume akiingia hatoki, kwa maana wanajua sana mavituzi nimeruka nao kiasi ila sikuwahi kuona maajabu yao. Nimepita na wamakonde kama watatu...
  19. Expensive life

    Huu mlango wa Emergency wa ndege unaozungumzwa ndio upi wajuzi naomba mnijuze

    Kumekuwa na sinto fahamu mitandaoni kila mmoja akiongea lake ikiwemo manusura wa ajali ya ndege iliyotokea mkoani Kagera. Ni kweli ukisikikiza maoni ya watu kwa makini unaona kuna hoja hapa ya kujadili, je mlango wa Emergency wa ndege ni upi hapa, muokoaji alitumia dhana gani kuufungua? Au...
  20. Tunzo

    Wajuzi naomba utofauti wa hizi tv wanaita smart 4K na hizi smart za kawaida

    Hasa kwa upande wa Hisense tv, nana bei ya 4k ni tofaut na bei ya smart ya kawaida, nini cha ziada?
Back
Top Bottom