Wakubwa shikamooni, madogo mambo vipi, poleni wote na makali ya tozo. Mimi ni kijana wa kiume miaka 30 makazi yangu kwa sasa yapo Iringa
Twende moja kwa moja kwenye point., katika kuchanganyika vizuri na watu kuna jamaa kanisaidia kunipa msaada wa molds za kutengeneza maua na mikanda ya gypsum...