Simba Sports Club tumepigwa mweleka mkubwa kuanzia Ngao hadi FA sasa siwakati wakucheza na Yanga pigeni vichwa kwakutafuta wachezaji wazuri na vijana ili Msimu ujao muwe na nafasi nzuri ya kuchukua ubingwa vinginevyo mtakuwa mnawachosha funs wenu kwani wao wanategemea matokeo mazuri na sivinginevyo.
Mi naona kama nina gundu. Sijui kwa nini, sipendwi na mademu wakali. Najaribu sana kutengeneza mazingira ya mimi pia kupendwa lakini wapiiiiiiiiiii nakutana na mademu tu wa kawaida kabisa. Kuna wenzangu unakuta wanapata sana zali la mentali, mimi najiuliza nakosea wapi?
Shida nini? Naumia sana...
Wasoma mita wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) wamelalamikia kitendo cha baadhi ya watu kuwanyanyasa kwa kuwafungulia mbwa na kuwafukuza wakati wakitekeleza majukumu yao ya kuandaa ankara za maji.
Chanzo: ITV Tanzania
Na nimeshanunua Mbwa wengine jana.
Heshima kwenu wakuu...?
Naomba msaada wa kujua huu Wimbo niliuskia kama miaka mitatu nyuma wakuu.
Huu Wimbo ni Wimbo wa South Africa kama skosei, upo kimajonzi flani hivi, natumai kuna wadau ambao ni music addicted wanaweza kutupa jina la Wimbo au walioimba Wimbo huu.
Natanguliza shukran...
Mimi mtanzania nina kazi yangu kama ya mwezi ntakuwa hapa .
Tatizo sijui jiji hili raha mnakula wapi hela ninazo sijui pa kwenda kidogo nilienda nairobi west baa inaitwa alaska nikahisi nipo dar mitaa ya sinza.
Nnalo kwenye sim hili game nashukuru nimevuka hatua kama 4 ila nimekwama hapa kila nikitia mkono nagongwa
kama nguruwe nwaza sijui ningekuwa na watoto wangap😅😅
Msaada wenu tafadhali
Hivi ni kwa nini mwanaume akigundua mke wake anachepuka, ama mpenzi wake anamsaliti huwa mkali na mwishowe kuvunjika kwa ndoa, ilihali na yeye huwa anachepuka?
Wadau hebu tujadili hapo tuone tatizo ni nni hasa, kwa nini asichukulie kawaida?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.