wakamatwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Wanachama wa ACT Wazalendo wakamatwa kwa kufanya fujo kwenye Vituo vya Uandikishaji Zanzibar

    Kama ambavyo niliwapa habari awali juu ya zoezi la Uandikishaji kwenye Daftari la wapiga kura Mkoa wa Kusini Unguja kuanzia tarehe 08/03/2025 hadi tarehe 13/03/2025; zoezi ambalo Jeshi la Polisi lilikuwa na dhamana ya ulinzi na Usalama wa vifaa, watendaji wa Tume, mawakala wa vyama, wananchi...
  2. Dar: Wafanyabiashara wawili wa bucha wakamatwa kwa kuchezesha mizani Mitaa ya Mbezi - Dar

    Wakala wa Vipimo Mkoa wa Kinondoni Dar es Salaam wamekamata Wafanyabiashara wawili waliokutwa na kosa la kuuza bidhaa ya nyama kwa kutumia mizani yenye kupunja uhalali wa vipimo. Akibainisha hayo Machi 1, 2025, Meneja wa Wakala wa Vipimo Mkoa wa Kinondoni, Lilian Mwombeki amesema wamefanya...
  3. B

    Burundi yaimarisha Operesheni Usalama, Wageni Wasio Na Vitambulisho Wakamatwa

    17 February 2025 Bujumbura, Burundi https://m.youtube.com/watch?v=WQg06wGKXV0 Jeshi la polisi laimarisha usalama, na kuendesha operesheni kukamata wageni wasio na vitambulisho Wakati wengine wakisema katika mitandao wanavumisha ni Banyamulenge ndiyo wwanakamatwa, Waziri wa Mambo ya Ndani...
  4. Tetesi: Wanaodhani kuwa ni Yanga wakamatwa na ushirikina huko KMC Complex

    Leo jioni KMC Complex wamekamatwa vijana wanaodhaniwa kuwa ni Yanga wakiwa na vifaa vya kufanyia ushirikina. Hii inaelezwa kuwa maandalizi ya kuelekea mechi ya kesho dhidi ya KMC. Zana hizo ni pamoja na sanda ya mtoto, wanja, vijiti, spray, vijiti nk
  5. Wawili wakamatwa kuhusiana na taarifa ya raia wa kigeni kutekwa na kupigwa Arusha

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watuhumiwa wawili kuhusiana na taarifa inayosambaa katika mtandao wa kijamii ikieleza kunusurika kuuawa, kutekwa na kupigwa nyundo kichwani kwa raia mmoja wa kigeni aitwaye Suzan Mary Shawe (75) raia wa Afrika Kusini. Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa...
  6. Wahalifu waliowatumbukiza Wazazi kwenye shimo la choo kisha kuondoka na mtoto wakamatwa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limefanikiwa kumpata mtoto mwenye umri wa miezi sita aliyechukuliwa na watu wasiojulikana, baada ya kuvamia nyumba ya Melksedek Mrema na mkewe Joan Gabriel, ambao nao wakati wa tukio hilo walitupwa kwenye mashimo ya choo, kabla ya watuhumiwa kuondoka na mtoto huyo...
  7. Trafiki wawili wakamatwa baada ya kunaswa kwenye video wakipokea Rushwa hadharani

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema askari wawili wa Kikosi cha Usalama Barabarani walioonekana kwenye video wakifanya vitendo ambavyo ni kinyume cha maadili ya Jeshi la Polisi kwa maana ya kupokea rushwa, tayari wamekamatwa na wako mahabusu na hatua za...
  8. Zambia: Waganga wakamatwa kwa jaribio la kutaka kumroga Rais Hichilema

    Polisi inawashikilia Wanaume Wawili, Jasten Mabulesse Candunde na Leonard Phiri waliokamatwa huko Lusaka, wakituhumiwa kuwa Waganga wa Kienyeji waliokuwa na jukumu la kujaribu kumroga Rais Hakainde Hichilema Taarifa ya Polisi imesema Candunde na Phiri walikuwa wameajiriwa na Nelson Banda, mdogo...
  9. Polisi wawili wakamatwa kwa wizi wa ng'ombe Kenya

    Askari wawili wa Jeshi la Polisi baada ya kukutwa wakichinja ng’ombe ambaye aliripotiwa kupotea katika Kituo cha Polisi cha Kaptagat. Askari hao, Chrispus Butali na Samwel Mbugua Njuguna wanashikiliwa kutokana na kukutwa katika tukio hilo. Taarifa ya Polisi imeeleza Josephine Kandie aliripoti...
  10. Jeshi la Polisi Mkoani Iringa limewakamata Watuhumiwa watatu kufuatia mauaji ya aliyekuwa Katibu wa CCM Wilaya ya Kilolo

    Naona Polisi lipo na kasi ya 5G kuwakamata watuhumiwa waliofanya makosa kwa viongozi wa CCM ila upande wa vyama vingine uchunguzi unachukua muda mrefu sana. Kwani kuna siri gani kwenye chunguzi zao? ================ Jeshi la Polisi Mkoani Iringa Limesema limewakamata Watuhumiwa watatu kufuatia...
  11. Rufiji: Wawili wakamatwa na Shehena ya Kopa Tani 7.7 waya za kopa Kilo 2,628.5 7.7 za TRC na TANESCO

    Baada ya kutoa taarifa Desemba 12, 2024 ya kukamatwa kwa watuhumiwa wawili wenye asili ya Asia katika operesheni iliyofanyika katika Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Kipolisi Rufiji wakiwa na nyaya za copper ambazo zilitambuliwa kuhujumiwa kutoka miundombinu ya TANESCO na Shirika la Reli Tanzania...
  12. Kondakta na Utingo wa Basi la Abood wakamatwa kwa kusafirisha bangi kwenye basi Mbeya

    Katika kipindi cha mwezi Novemba, 2024 jumla ya watuhumiwa wa makosa 97 wa makosa ya mauaji, kujeruhi, kupatikana na dawa za kulevya, kuingia nchini bila kibali na kupatikana na silaha bila kibali walikamatwa katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Mbeya kutokana na oparesheni na misako. Novemba...
  13. Njombe: Watu 7 wakamatwa kwa kutishia kuwaua Mwenyekiti wa Mtaa, Katibu Kata wa CCM, Mtendaji Kata na Mtendaji wa Kijiji

    TAARIFA KWA UMMA. Jeshi la Polisi mkoa wa Njombe linapenda kutoa taarifa kwa umma kuwa linawashikilia watu saba kwa kosa la kutishia kuua kwa Maandishi huko katika kijiji cha Ngelenge Kata ya Luhuhu wilaya ya Ludewa Mkoa wa Njombe watu hawa saba walitenda kosa hilo tarehe 3.12.2024 kwa kubandika...
  14. Polisi: Tumewakamata watuhumiwa waliokula njama ya kutaka kumteka Tarimo - Kiluvya

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam linaendelea na operasheni maalum kali ya kuzuia vitendo vya kihalifu maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam. Kwa ujumla hali ya usalama Dar es Salaam inaendelea vizuri. Pia soma: Watuhumiwa waliotaka kumteka Deogratius Tarimo (Deo Bonge) wafikishwa...
  15. S

    Maafisa wa kampuni ya Barrick wakamatwa nchini Mali

    Maafisa wanne wa juu wa kampuni ya Barrick wamekamatwa na serikali ya nchini Mali kwa tuhuma za kampuni hiyo kutokulipa kodi stahiki. Maafisa hao wanashikiliwa tangu Novemba 26 mwaka 2024 na watapelekwa mahakamani iwapo serikali ya kijeshi ya Mali na Kampuni ya uchimbaji dhahabu ya Barrick...
  16. Mbeya: Wanandoa Mbaroni Baada ya Kumshushia Kipigo Hadi Kifo Mtoto Wao wa Miaka Minne

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili ambao ni Ramadhan Tembo Mwakilasa [28] maarufu kama Rama Love ambaye pia ni Mwandishi na Mtangazaji pamoja na Mariamu Charles Mwashambwa [28] wote wakazi wa TEKU Viwandani Jijini Mbeya kwa tuhuma za mauaji ya mtoto Chloy Ramadhan...
  17. LGE2024 Kilombero: Wanachama wa CHADEMA wakamatwa wakidaiwa kufanya vurugu

    Mshikemshike umeanza Imeelezwa kuwa wanachama takribani 19 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jimbo la Kilombero, mkoani Morogoro wanashikiliwa na Jeshi la Polisi wakituhumiwa kuwafanyia vurugu wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya kijiji na kata Akizungumza na Jambo TV leo...
  18. Watumiaji TikTok wawili kutoka Uganda wakamatwa kwa kutukana familia ya Rais

    Raia wawili wa Uganda wamewekwa kizuizini kwa madai ya kumtusi Rais Yoweri Museveni, mke wa rais Janet Museveni na mtoto wa rais Jenerali Muhoozi Kainerugaba kwenye jukwaa la la TikTok. Hakimu Stella Maris Amabilis amewaweka rumande David Ssengozi, 21, almaarufu Lucky Choice, na Isaiah...
  19. Watanzania wakamatwa Kenya wakiuza Pembe za Ndovu

    Maafisa wa Huduma ya Wanyamapori ya Kenya (KWS) huko Mombasa wamewakamata raia wawili wa Tanzania kwa tuhuma za kujihusisha na biashara haramu ya pembe za ndovu zenye thamani ya Ksh milioni 3.3. (Takriban Tsh. Milioni 56) Katika operesheni ya pamoja na maafisa wa Kituo cha Polisi cha Mtwapa...
  20. J

    Kadogosa: Kuna njama zinafanywa Kuhujumu treni ya SGR na hazijaanza Leo na tumeshawabaini Wanaotuhujumu!

    Kufuatia changamoto za hapa na pale zinazoipata TREN ya SGR boss wa TRC Masanja Kadogosa amesema Kuna njama zinafanywa Kuhujumu mradi huo Njama hizi hazijaanza Leo ni za muda mrefu na tayari wameshawabaini miongoni mwa wanaowahujumu na watawashughulikia ipasavyo Source Mwananchi Mlale unono 😃
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…