TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Dar es salaam, 12, Oktoba, 2021
KUKAMATWA KWA WATU WATATU KWA TUHUMA ZA MAUJAJI YA MTENDAJI WA SERIKALI YA MTAA.
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za mauaji ya afisa mtemtendaji wa Serikali ya mtaa wa Mbezi Msumi...
Kama ni mla K Vant na Moet, basi hii ni kwa ajili yako. Yasemekana hao mabwana kutoka Asia ya Mashariki wamekamatwa jijini Dar wakiwa kwenye ‘karakana’ yao la kufyatua kopi za vinywaji hivi murua.
Hivi huwa wanapataje vifungashio visivyotia shaka?
Kwa uchafu wa hayo madumu, huenda yanahifadhia...
Taarifa kutoka Bukoba mjini zinasema kuwa Jeshi la Polisi mkoani Kagera limewakamata viongozi wa CHADEMA na makada wa chama hicho waliokuwa wanafanya kikao cha kawaida katika ofisi za CHADEMA mkoani humo.
Hivyo ndivyo Jeshi la Simon Sirro lilivyogeuka kuwa jeshi la uonevu, uonevu huu mpaka...
Hii ndio taarifa ya sasa kutoka Dar es Salaam, kwa sasa Mwendo ni ule ule wa kuhakikisha Haki za kisiasa za CCM kujibu hoja za wapinzani zinaporwa na Jeshi la polisi , ambalo sasa ni dhahiri limechukua sehemu ya CCM kwenye siasa za Tanzania , hasa baada ya CCM yenyewe kuishiwa hoja za utetezi...
Vyombo vya habari vya nchi wanaoisaidia Tanzania tayari vimeanza kutumulika.
Kufuatia Polisi mkoani Mwanza kuwazuia wana CHADEMA kufanya kongamano lao la kudai katiba mpya.
Wahenga walisema kuwa hata mbuyu ulianza mdogo kama mchicha na sasa ndiyo naona wana CCM na viongozi wao wameanza...
Walikuwa kwenye maandalizi ya kongamano la Katiba mpya
Ni Askofu Mwamakula, Dkt. Lwaitama na Twaha Mwaipaya
Pia soma
Mwanza: Polisi wazuia Kongamano la Katiba Mpya
Uoga: Kongamano la Katiba lazua balaa Mwanza. RPC aanza kumung'unya maneno, amsingizia Rais
RAIA wawili wa Nigeria, Prince Uche Igwilo(39) mkazi wa Bunju na Hanifa Ally Chig'wele( 22) mkazi wa Tegeta kwa Ndevu wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam wakikabiliwa na shtaka la kusafirisha kilo sita za dawa za kulevya aina ya Heroin.
Katika hati ya mashtaka...
Serikali imesema katika kipindi cha miezi mitatu imefanikiwa kukamata wahamiaji haramu zaidi ya elfu moja katika maeneo mbalimbali nchini.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mh.George Simbachawene amesema hayo bungeni mkoani Dodoma.
Amesema kwa sasa kuna operesheni maalum ambayo imeanza tarehe...
Kwa masikitiko makubwa naangalia jinsi wasafirishaji wa Madawa ya kulevya wameona kuwa huu ni muda muafaka kuanza biashara yao haramu.
Baada ya lile tukio la kukamatwa kwa kiwango kikubwa zaidi ya tano moja kule lindi ambapo ukisoma muendelezo wake kwenye magazeti utaona hati ya mashtaka...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga limefanya Operesheni maalumu ya kukabiliana na kuzuia makosa ya uhalifu na kufanikiwa kukamata wahalifu 231 wanaojihusisha na unyang’anyi wa kutumia silaha, wakata mapanga na waganga wa jadi wanaojihusisha na upigaji ramli chonganishi ambazo ni chanzo na...
Mbwa ni mnyama ambaye amekuwa akitumiwa na binadamu kwa muda mrefu kwa ajili ya ulinzi katika maeneo mbalimbali, ikiwamo majumbani.
Ni mnyama ambaye amekuwa akitumia nyama kama chakula chake kikuu. Pamoja na kuwa na sifa hizo, miaka ya zamani mnyama huyo alikuwa akitumiwa kama kitoweo na kabila...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
KUKAMATWA KWA WATUHUMIWA 56 KWA WIZI WA MAGARI NA PIKIPIKI, MAGARI 12 YA WIZI NA PIKIPIKI 28.
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam katika kipindi cha kuanzia Mwezi Machi hadi Aprili 2021 limefanya oparesheni ya kupambana na wahalifu vinara wanaojihusisha...
Watu wanane wamekamatwa na polisi wa Kiislamu katika jimbo la kaskazini mwa Nigeria Kano kwa madai ya kukataa kufunga Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Polisi wa Hisbah wanasimamia sheria za Kiislam huko Kano – moja ya majimbo 12 ya Waislamu kaskazini mwa Nigeria wanaotumia mfumo wa sheria wa...
Wapiga debe 30 wamekamatwa katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli kilichozinduliwa siku mbili zilizopita na Rais John Magufuli.
Akizungumza na Mwananchi leo Ijumaa Februari 26,2021 Meneja wa kituo hicho, Maira Mkama amesema wapiga debe waliokuwa Ubungo, Riverside na Mbezi wamevamia na kusababisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.